Daa mungu aiweke roho ya dada yetu mahali pema.
Mimi nachotaka ni baba yake awe na moyo wa kujiamini aseme yale ambayo amina alikuwa anataka kusema akamkataza.
Bongo naona kunawatu wanajidai ma mafia usiseme ama utaumia na hii tumeona kama mfano mwingine. Lakini hii gang mimi ntaimaliza hata kama sio leo lakini ntaimaliza na hawa watu wa kina nchimbi na timu yake najua mpo huku lakini tutaonana tu sio leo lakini ipo one day.