Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
Mzee Mswahili,

Ahsante kwa kutuletea hizi habari mkuu wangu, ni habari nzito hizi, tena sana, ninamuombea Marehemu kwa mwenyezi Mungu amlaze pema peponi, ni ustaarabu kuwapa muda ndugu na jamaa wa marehemu waweze kuzika na kuomboleza,

But, nina promise one thing!, kuwa hapa forum tuta-get to the bottom of this thing, enough, hiki kifo kinafanana sana na Marehemu Ipyana, ambaye in his case ilikuwa sambusa, nasikia safari hii ilikuwa ni samaki!

Sasa fasten Your Belt, kuna mzee mmoja ambaye amekuwa akiwatumia text message watu mabli mbali toka kifo kilipotokea, tunauliza baba kulikoni ya Ngoswe yakakuhusu mpaka kutumia hela zako zote hizo kutuma hizo message?

Mungu amlaze pema marehemu, Amina!

Mzee ES: Please keep your promise, ninakuaminia. Haya mambo tuyajue yafike mwisho. We've got to end these things, it cannot continue this way for ever, no, it is too much! Hapana bwana. Tunahitaji kujua chanzo cha kifo hiki, kwa hivyo wale mlio karibu na ndugu tunaomba muwaombe wasifunike postmoterm, tujue ukweli utatufungua, please!
 
Yeah!

Kwa hiyo jamani Mungu katuonyesha hapa.. hili ni somo kubwa sana kuwa tujaribu kuwa binadamu wenye akili na tuondokane na ignorance!..

Mwanakijiji alipokuwa akisema haya alipigwa matuis ya kila aina, akaonekana mnafiki na mtaka sifa, leo mbele ya macho yetu yametokea yaleyale alokuwa akihofia...

Na ajabu huyu binti alikuwa Naibu waziri, mbunge ambaye hata siku moja hatukuona viongozi wa serikali wakijihusisha na maradhi yake acha mbali kutembelewa Hospital.. hiyo ndio CCM.
Wapo ambao wangekimbizwa Uingereza, South Africa na kwingineko na wapo ambao kwamba ni waosha vyombo!..

Well, Ipi aliondoka akiwa mgombea wa CCM vijana na leo hii mwanamke mwingie aondoka kwa sababu ya kugombea nafasi hiyo hiyo! -

Coincidence?
 
duh ! another poisoned victim ! haki ya nani kweli watu hawana huruma, yaani kutoa roho ya mtu hivi hivi halafu utakuta watu hao hao wanaenda kwenye msiba, si ndio unafiki huo.
 
Mkandara,

Mbona unaleta politics tena, jamani tuendelee na maombolezi na mambo ya siasa yatakuja baadaye.

Kuna mengi kweli ya kuongea hapa, wacha msiba na majonzi yaishe
 
Mzee Kichuguu,

Hutaki kumjua huyo mtu aliyekuwa akituma messages kibao huko majuu toka kifo kilipotokea, maana kwanza ni mwanachama wa hii forum, halafi ni aibu hata kumtaja ndio maana tulisema tuna data, mkabisha tena wewe ukiwa nambari one, aibu hii kwa mtu mzima!

Lakini subiri tuzike kwanza, Mzee Mswahili tuletee yanayoendelea na ssi tunaendelea kukusanya data, Mswahili ninakusikilizia mkuu wangu katika hili ukisema fungulia mbwa tu, mwanangu tunaanza kumkoma nyani hapa hapa giladi!
 
jamani, naomba kuuliza na kama nitakuwa nimekosea samahanini sana wanaJF. nilipokuwa bongo miaka ya nyuma, kuna mtoto wa kike fulani hivi wa miaka kama 24 nadhani alikuwa ametoka kujifungua mtoto. haikueleweka ilikuwaje, lakini huyu msichana aliamua kunywa sumu kwa madai kwamba mama yake hampendi na watu wakamnyweshwa maziwa then hospitali baadae akapona kabisa. sasa kwa njia moja ama nyingine hii kesi ina-realate na hii ya marehemu mbunge wetu Chifupa. yaani familia, madaktari walikuwa hawajui marehemu alikuwa anasumbuliwa na nini ? na kama walijua, walimpa maziwa ( inasemekana yanasaidia though i have no proof scientifically ). naomba tu kuuliza jamani ! au ndio wazazi nao walifichwa, na hao waliotaka kutumiza njama yao ili isijulikane alikuwa anasumbuliwa na nini ? i'll be so naive to believe it wasnt a planned murder that took her life, either bu the use of poison or whatever the case it is.
 
Yanayosemwa mjini ni matano (naomba msinihukumu mimi nimeyaleta kama nilivyoambiwa na wadau mbalimbali):

1. Amina alimsihi mumewe warudiane na kwamba yote yalikuwa majungu. Mumewe aka-suggest kama ni majungu wasome "albadr" kuthibitisha. Amina akakubali kikapigwa kisomo kikali. Matokeo yake Mheshimiwa akawa "mental" ndo ikaishia huku.

2. Katika kumthibitishia mumewe hakufanya haya yote yanayosemwa, Amina alitafuta Shehe akamwambia Mpakanjia yuko tayari wasome "albadr", wakati Amina kishakubaliana na Shehe wake yule wasome "albadr" feki. Unfortunately, siku ya kisoma Mpakanjia naye akaja na Shehe wake kwahiyo ika-end up kusomwa a real albadr kali mno. Immediately baada ya hapo, Mheshimiwa akawa mental, ndo tukafika hapa tulipo leo.

2. HIV/AIDS: kuna wadau, hata kabla ya sakata na Zitto, walikuwa wanasema Mheshimiwa is on ARVs kwa muda. Baada ya dharuba hii ya kuhusishwa na Zitto, she went off meds na hali ika-deteriorate.

3: Amerogwa/Amepewa sumu na Nchimbi (hii naona ni popular hapa JF).

4. Drug lords alioanza kuwazonga wamekamilisha yale yaliyokuwa yanategemewa kutoka kwao.

5. Malaria na Kisukari - hii ndio "official" line ya familia ya Chifupa, na it is highly likely kwamba madaktari, kama wataongea na media, ndivyo watakavyosema.

All is all, it is very interesting to note kwamba kumbe wengi wetu humu hatujaitupa asili yetu - ya kuamini katika "bush science" or kipapai.

Msiba huu ni shock kubwa kwetu vijana. Alikuwa mwenzetu. Masikini Mzee Chifupa!
 
Bahati mbaya naanza kuchangia humu kwenye habari ya msiba. Jamani hili jambo ni kubwa mno. Hebu wanaojua mtuweke mambo hapahapa, tuache kuumauma. Hakuna mwingine wa kutujulisha zaidi yenu nyie hapa wana jambo.

Mungu airehemu roho ya Amina.
 
Jamani Amina,Amina kweli umetutoka.Bila huruma na umri wako mdogo wametoa uhai wako.Baradhuli wakubwa hawa,siku zote genge la majambazi ni wauaji.Mimi naanza kuwa na wasiwasi na ile taraka ilikuwa inajua kinachoendelea.
 
I bid farewell to you my friends
For my stay with you here ends
I came with a purpose
I came with reasons

Now I wish you all well for all the coming seasons
My departure was sudden
Because it was my hour and fate
I had a merry time with many of you
Before the divine power opened its gate

As I leave you for my final abode
I truly know how blessed I was
For all the love I was shown
A new family in you all I have known

Do not weep for me
For it would hurt my soul
But if you think of me any time
Wear a smile with my thoughts
Because that is how I wish to be remembered
Long after I am gone.
 
R.I.P AMINA

2%20%281%29.jpg


Amina%20Chifupa%20wa%20Mpakanjia%21.jpg
 
Jamani wana-JF ninaomba kuungana na wenzangu waliosema kuwa tuwe watulivu kwa sasa hasa katika kipindi hiki cha majonzi na tuiunge mkono familia ya Chifupa kwa hali na mali katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Ni kitu cha kushtusha mno,Mheshimiwa MKJJ alilisema hili hapo mwanzoni (Rudieni post zake) kwa sababu alijua ukweli.Ninaogopa zaidi kwa sababu kuna mtu aliniambia kuwa Hon Chifupa hamalizi wiki!.Sio kitu cha kukaa kimya,kwani mauaji haya sio matakwa ya Mwenyezi Mungu kuna mikono ya watu.Naomba watu wa Jambo mlifuatilie hili kwa Ukaribu wake!Tunaanza kukuza utaratibu wa silence assasination ndani ya Utawala wetu!Mtasikia mengi,wengine uwezo wetu wa kuchangia unavunjwa nguvu!,Mpeni nafasi ya kutafakari MKJJ kwani nae anatishwa na hawa Vibaraka Uchwara,Tujizatiti na kila Ovu linalotudhoofisha kufichua UOZO.Tulipofika ni pabaya, Jambo Forum inatakiwa tujizatiti na kuficha ID zetu!Kwani tunaonekana kama kero kwa WATAWALA.

Mwenyezi Mungu ailale roho ya marehemu mahali pema peponi!
 
RIP Amina Chifupa. Mwenyezi mungu amlazi mahali pema peponi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom