Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,514
- 235,219
- Thread starter
- #81
Nje ya jukwaa alikuwa anajigamba mnoSamarelah alikuwa na shida gani mkuu
Japo hakustahili kutoka
Yaani Sherida kama yupo na Zion
Basi huwezi mtoa Samarela mbele Yao.
Nje ya jukwaa alikuwa anajigamba mnoSamarelah alikuwa na shida gani mkuu
Majigambo ndo yame mtoa? Kati yake na sherida nani alikuwa bora?Nje ya jukwaa alikuwa anajigamba mno
Japo hakustahili kutoka
Yaani Sherida kama yupo na Zion
Basi huwezi mtoa Samarela mbele Yao.
Alikuwa anaongea sanaMajigambo ndo yame mtoa? Kati yake na sherida nani alikuwa bora?
Samarella ndio mwenye mdomo?Alikuwa anaongea sana
amerudishwa Kwa sababu alionewa ,
Ila akirudi apunguze mdomo.
NdiyoSamarella ndio mwenye mdomo?
Hivi Samarela si ndio yule anaimbaga taarabu?Ndiyo
Alijiamini kupita kiasi
Japo ni mzuri sana kwenye uimbaji.
Sasahivi ajikite kwenye kuimba kuliko kuongea.
Wote wamerudishwa,Joshua pamoja na Samarela.
Kumbe karudishwa, afadhali alikuwa anatoa burudani sana Joshua naye arudiAlikuwa anaongea sana
amerudishwa Kwa sababu alionewa ,
Ila akirudi apunguze mdomo.
Joshua nae karudishwaKumbe karudishwa, afadhali alikuwa anatoa burudani sana Joshua naye arudi
Wamerudishwa lini? Huwa sifuatilii siku nyingine isipokuwa jumapiliJoshua nae karudishwa
JuziWamerudishwa lini? Huwa sifuatilii siku nyingine isipokuwa jumapili
Praise anakubalika sanaWiki hii Samarela aliimba vizuri sana.. but mi mshindi wangu ni Freya lakini pia yule demu wa Rwanda alifanya poa hua naona anazingua huko mwanzo
Sio praise i mean Bella NatsPraise anakubalika sana
Ndio nimekuambia ushindi upo kwa Praise kwasababu ndio mshiriki anaonekana kukubalika zaidi na majaji kuliko hata huyo uliyemtajaSio praise i mean Bella Nats
Mimi pia mshindi wangu ni FreyaWiki hii Samarela aliimba vizuri sana.. but mi mshindi wangu ni Freya lakini pia yule demu wa Rwanda alifanya poa hua naona anazingua huko mwanzo
Samarellah wanaweza kumchukulia poa but kwenye fainal akipiga nyimbo zake za kiswahili ataondoka na kijiji huwa hizo nyimbo zinamashabiki wengiJambia
Zion Sax
Waliyaaga mashindano
Finalist
1 Sophia
2 Wa Drama
3 Samarellah
4 Zacksoul
5 Sheridah
6 Bellanuts
7 Praise
8 Joshua
9 Tel ur vision
10 Freya
Yah leo ndio fainale vipi utabiri nani atakuwa mshindi?hivi ndo leo eeh