win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,916
- 30,308
duuh kwenye utabiri sinaga kipaji kabisa hebu ngoja tusubiri judgesYah leo ndio fainale vipi utabiri nani atakuwa mshindi?
duuh kwenye utabiri sinaga kipaji kabisa hebu ngoja tusubiri judgesYah leo ndio fainale vipi utabiri nani atakuwa mshindi?
Je wewe unataka nani ashindeduuh kwenye utabiri sinaga kipaji kabisa hebu ngoja tusubiri judges
kwanini ajiengue siku ya mwisho angekaza tuBSS final
Master J amejirngua kwenye jopo la majaji
Hujuma zitakuwepo leo
Anarithisha vipaji kwa kizazi kipya ndiomaana kumuachia S2kizkwanini ajiengue siku ya mwisho angekaza tu
Sasa kama wameshapanga mshindi waokwanini ajiengue siku ya mwisho angekaza tu
Na Leo naona wamepanga wakape ushindiHii niliangaliaga siku moja tu. Nikajipatia mshindi dada bonge wa kikongo.
Niliona majaji wakikapenda kabinti cha kiganda.
I have that feeling as wellNa Leo naona wamepanga wakape ushindi
Wana zawadi zaoHivi wadrama si bado yupo ?
Kama yupo anachukua ubingwa huo
Umeona performance ya Praise?Sasa kama wameshapanga mshindi wao
Aendelee kufanya nini?
Hata ningekuwa mimi nibgejiengua
Ameperform vizuri sanaUmeona performance ya Praise?
Umeona performance ya PraiseSasa kama wameshapanga mshindi wao
Aendelee kufanya nini?
Hata ningekuwa mimi nibgejiengua
Umechambua vizuri we unavyoona wawili wanostahili kutokaAmeperform vizuri sana
Shida ya praise ana struggle kuimba funguo za chini,,low key inamtesa,,rejea alivyoanza,,na wimbo ukifika I will sing the goodness of God,,anaenda low sana
Sor far
Performance nzuri kutoka juu
Ni
Samarellah
Praise
Bellanuts
Sofia
Joshua
Freya
Zacksoul
Sheridah.
Maoni yangu Kwa 1st round
Waliotaliwa kutoka ni SheridahUmeona performance ya Praise
Umechambua vizuri we unavyoona wawili wanostahili kutoka