King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,531
- 94,197
Wawape fedha kama walivyoahidi Madame Ritta asilete janja janja kama alizozifanya kwa kina Kayumba.
Asante Mkuu kwa kumuona yule BigIla yule bonge mkongo ni hatari
Kayumba mswahiliWawape fedha kama walivyoahidi Madame Ritta asilete janja janja kama alizozifanya kwa kina Kayumba.
Fainali huwa inakuwa liveHivi nasikiaga shindano lilishsgaisha hadi mshindi kapatikana wanachofanya n kupost tu
Hata Mimi wamenishangaza sana wale wawili waliotolewa walistahili na yule jamaa wa kurap freestyle aliyeingizwa kama mgeni mpya nae alizingua sema ni vile ana back up ya Madam Rita ndio maana wakamtoa jamaa kafaraLeo BSS wamenishangaza kumtoa Joshua
Nahisi Joshua ataurudishwa tena kutokana na Kelele za mashabiki lakini ningekua mimi ningekataa kurudiHata Mimi wamenishangaza sana wale wawili waliotolewa walistahili na yule jamaa wa kurap freestyle aliyeingizwa kama mgeni mpya nae alizingua sema ni vile ana back up ya Madam Rita ndio maana wakamtoa jamaa kafara
Kwanza walivyoanza kuingiza mshiriki katikati ya pambano nikaona uswahili na utapeli umeanza.Hata Mimi wamenishangaza sana wale wawili waliotolewa walistahili na yule jamaa wa kurap freestyle aliyeingizwa kama mgeni mpya nae alizingua sema ni vile ana back up ya Madam Rita ndio maana wakamtoa jamaa kafara
Hata mimi nisingekubali kurudiNahisi Joshua ataurudishwa tena kutokana na Kelele za mashabiki lakini ningekua mimi ningekataa kurudi
Mimi toka last week nisemaHata Mimi wamenishangaza sana wale wawili waliotolewa walistahili na yule jamaa wa kurap freestyle aliyeingizwa kama mgeni mpya nae alizingua sema ni vile ana back up ya Madam Rita ndio maana wakamtoa jamaa kafara
Shida Wala sio masterjay shida ni Madam Rita huyo ndio aliyemlets huyo mshiriki ingawa Salam Jabir alipinga na Master Jay akamchana huyo mshiriki kwa kweli hakuna ubunifu wowote aliyouketaKwanza walivyoanza kuingiza mshiriki katikati ya pambano nikaona uswahili na utapeli umeanza.
Leo wanayaoga tu matusi huko Insta.
BSS hii hapana Kwa kweli ishapoteza uhalisia.
Jana wamefanya zaidi ya ujinga..
Master J nashangaa sana mbona jamaa Kawa chawa, hasemi tena ukweli.
Mapenzi yake binafsi na nguvu aliyonayo ndio anashinikiza maamuzi yake.Hili la mgeni alishapinga Salam Jabir kitambo Sema ndio hivyo Hana nguvuMimi toka last week nisema
Huyu mgeni kaja kukamilisha Mipango ya utapeli wao wa kutoa watu wenye uwezo
Mshiriki anaingiaje katikati ya pambano?
Alikuwa wapi?
Kwani Rita anakufa?au amefilisika kiasi kwamba mwakani hakutakuwa na BSS,kwanini asisubiri mwakani ifike aguate procedure?
Rita amekuwa Bure sana yaani anakera.
Mi nilimsifu sana salamaMapenzi yake binafsi na nguvu aliyonayo ndio anashinikiza maamuzi yake.Hili la mgeni alishapinga Salam Jabir kitambo Sema ndio hivyo Hana nguvu
Master J sasahivi ye ni kusifia tu na kukubaliana na Rita kila kituShida Wala sio masterjay shida ni Madam Rita huyo ndio aliyemlets huyo mshiriki ingawa Salam Jabir alipinga na Master Jay akamchana huyo mshiriki kwa kweli hakuna ubunifu wowote aliyouketa
Coy walimuweka kwasababu ya talented comediansMaster J sasahivi ye ni kusifia tu na kukubaliana na Rita kila kitu
Coy sijui hata wametumia kigezo gani kumuweka pale ajaii hadi waimbaji.
Coy anajua nini kuhusu muziki?
Kwanini asijaji comedy zake tu ,mambo ya uimbaji wangebaki walewale
Kwa Samarelah kwa upande wangu alistahili kutoka ila sio JoshuaJoshua mkongo na Samarelah hawakustahili kutoka
Samarelah alikuwa na shida gani mkuuKwa Samarelah kwa upande wangu alistahili kutoka ila sio Joshua
Of course hakuimba vibaya lakini ilikuwa kawaidaSamarelah alikuwa na shida gani mkuu