His performance was normalSijafurahishwa na kutoka kwa Zack Soul
Ila wako vizuri.Nacheka comment za Kiingereza kutoka kwa judgges
Sawa ndio atoke zack madancer bado wapoo !?His performance was normal
Na ilitakiwa atoke since last week
Ile siku Jambia ametoka
Soul's performance was worse
Ukweli first round Samarellah kaimba aiseeAmeperform vizuri sana
Shida ya praise ana struggle kuimba funguo za chini,,low key inamtesa,,rejea alivyoanza,,na wimbo ukifika I will sing the goodness of God,,anaenda low sana
Sor far
Performance nzuri kutoka juu
Ni
Samarellah
Praise
Bellanuts
Sofia
Joshua
Freya
Zacksoul
Sheridah.
Maoni yangu Kwa 1st round
Zack leo kaimba kawaida sana.Sawa ndio atoke zack madancer bado wapoo !?
Ila performance yake siyo mbaya kama ya sheridahZack leo kaimba kawaida sana.
Hao dancers sana zawadi zaoSawa ndio atoke zack madancer bado wapoo !?
Mimi kwenye kubaki sheridah pia sijapaelewa naona majaji wamejitoa ufahamu. Nilijua atatokaIla performance yake siyo mbaya kama ya sheridah
How comes
Sheridah anabaki mbele ya Bellanuts,!!
Huu ni zaidi ya upuuzi
Rita huyoMimi kwenye kubaki sheridah pia sijapaelewa naona majaji wamejitoa ufahamu. Nilijua atatoka
Upo sahihi kabisa. Leo ndio ameharibu kabisa, angekuwepo Master Jay angemchana.His performance was normal
Na ilitakiwa atoke since last week
Ile siku Jambia ametoka
Soul's performance was worse
Mbona nimeona walioperformed level za chini kama sheridah, Bellah na madancerHis performance was normal
Na ilitakiwa atoke since last week
Ile siku Jambia ametoka
Soul's performance was worse
Hilo ndio ninamfanya nisimkubaliFreya kitachomkosesha ushindi ni machaguo ya nyimbo
Angeenda na nyimbo zake zile zile tulizozozoea
Freya ni mkali sana, ila Bolingo kelele nyingi. Akitaka Kuimba za kikongo labda achague Rhumba maarufu Kali sana, labda Mayday ya iPupa, halafu aitendee haki.Freya kitachomkosesha ushindi ni machaguo ya nyimbo
Angeenda na nyimbo zake zile zile tulizozozoea
Leo amenikera.Hilo ndio ninamfanya nisimkubali
Leo amejichanganya sanaFreya ni mkali sana, ila Bolingo kelele nyingi. Akitaka Kuimba za kikongo labda achague Rhumba maarufu Kali sana, labda Mayday ya iPupa, halafu aitendee haki.