bongo star search

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye mashindano ya 'Bongo Star Search' usitegemee kushinda kama utaimba nyimbo za bongoFleva halafu wenzako waimbe za kizungu.

    KWENYE MASHINDANO YA BONGO STAR SEARCH USITEGEMEE KUSHINDA KAMA UTAIMBA NYIMBO ZA BONGOFLEVA ALAFU WENZAKO WAIMBE ZA KIZUNGU. Anaadika, Robert Heriel Mtibeli Juzi nilikuwa Mbweni kwenye finali ya BongoStar Search(BSS). Nampongeza Madam Rita kwa kupambana katika project yake hiyo ambayo imekuwa...
  2. Saint Anne

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Season 16 Special Thread

    Bongo Star Search 2026 - Msimu wa 16 🔥 Sasa inaitwa CRDB Bank Bongo Star Search 2026 Mambo muhimu ya msimu huu: 1. Theme & Zawadi Theme: "Next Level Revolution" + "Beyond Borders" Mshindi anaenda na milioni 50+ na gari jipya 2. Sio uimbaji tu tena Msimu huu umepanuka. Sasa wanakubali...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search (BSS) ishawahi kumtoa Star gani hapa Bongo?

    Back then nakumbuka Jumanne Idd, Chiku Ketto na Kala Jeremiah. Sijui nani mwingine ashawahi toka recently. Au ni drama tu kama drama nyingine?
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search ipo kwa ajili ya kuua vipaji au kuibua vipaji?

    Binafsi naona BSS inaua vipaji vingi sana kuliko inavyoviibua. Kupitia huyu Salama kuna vipaji vingi vimezimwa kwa kauli za kikatili zinazokatisha tamaa. Naona tuikatae Bongo Star Search. Soma alichoandika WAKAZI baada ya huyu binti mdogo kutendewa ukatili...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search: Jukwaa la Ndoto, Sauti na Heshima ya Muziki wa Tanzania

    Bongo Star Search (BSS) ni moja ya mawazo makubwa na bora sana kuwahi kuzaliwa katika tasnia ya burudani Tanzania. Tangu kuanzishwa kwake hadi sasa, BSS imekuwa zaidi ya shindano la kuimba; imekuwa daraja la ndoto kwa vijana wengi waliokuwa hawana jukwaa la kusikika sauti zao. Kupitia BSS...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

    Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rita Paulsen (Madam Rita): Kupiga Kura ni Haki yako wewe mwenye sifa, sasa jiandikishe ili uipate haki hiyo

    Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama fulani, hiyo ni haki yako na una haki ya kupiga Kura Rita Paulsen maarufu Madam Rita Mwanzilishi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search (BSS) anzisheni program ya kupeleka vipaji American Got Talent (AGT)

    Kwa: Meneja wa Bongo Star Search (BSS) Dar es Salaam, Tanzania Yah: Kuanzisha Programu ya Kuwapeleka Washindi wa BSS Kushiriki Mashindano ya America’s Got Talent (AGT) Natumai barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na unaendelea vyema na juhudi za kukuza vipaji vya muziki na sanaa kupitia...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Leo BSS washiriki mmezingua hovyo kabisa nyimbo mlizochaguliwa na majaji ni bure kabisa

  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  12. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15

    Producer wa muziki Bongo, S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15.
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Madam Ritha afichua bajeti ya kuandaa Bongo Star Search. Ni Milioni 700 mnaweza kuamini?

    Habari zenu wanajamvi. Lunch mmepata? Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha. Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji machachari, Salama Jabir alidokeza kuhusu gharama anazotumia kuandaa hicho TV kwa msimu mmoja. Ritha...
  15. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search mnakosa mvuto

    Habarini za Muda Huu Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini? Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone...
  16. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji. Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia. Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
  17. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search: Sijaona alichokosea huyu kijana mpaka mumcheke na kumkejeli kiasi hiki

    Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki. Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote wakacheka kwa vicheko vikubwa na kejeli mpaka wakampotezea confidence dogo. Hili limekuwa sio...
  18. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Waache Human Abuse, BASATA na TRCA wawaangalie !

    Nimekuwa naangalia hiki kipindi cha Bongo Star Search karibuni ila Kauli chafu na maneno wanayowapa hawa vijana sio sawa kabisa. Sijajua kama hizi lugha zingeeleweka huko mbele kwa nchi za wenzetu katika ulimwengu uliostarabika. Nimeangalia vipindi vingi sana kama hivi mfano American Idol ...
  19. chongoe

    JamiiForums Tanzania Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

    Habari zenu wakuu, Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio. Hebu tuangalie nchi...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandaji wa BSS (Bongo Star Search) Msimu ujao ongezeni 'Kipengele' cha Kuwapima 'Akili' Washiriki wenu kwani tunachoka Kuwatizama 'Matahaira' tu

    Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS ambao nimeushuhudia kuwa una 'Washiriki' wenye 'Utahaira' katika 'Uuimbaji' ni huu unaoendelea sasa. Na...
Back
Top Bottom