Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
- Thread starter
- #41
Amechagua wimbo ngumu na bado akashindwa kuimba.. performance yake ya j2 ilikuwa mbaya kiukweli.Sio kweli kwenye waimbaji wote wale Saint Anne hakuna anayemfikia Praise kwenye uimbaji ni vile tu nyinyi hampendi nyimbo za kiingereza, nyimbo anazochagua kuimba yule dada ni ngumu kama vocal yako ni ya kawaida
Hivi umejaribu kusikiliza Freya?
Yeye pia anaimba kiingereza tangu ameanza.
Ila uwezo wake huwezi kumlinganisha na huyo dogo..
Mshindi wa BSS mwaka jana alikuwa anaimba sana kiingereza pia
Na alishinda na nilikuwa fan wake.
Hatumsemi Praise Kwa sababu anaimba kiingereza
Ishu si yeye kuimba kiingereza
Ishu ni juzi aliboronga.