Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Weweee,, sio kwmba anapenda ni vile dizaina katonywa tu aharibu wapate Chaka
Madame anavyopenda vijana wapendeze halafu mcongo anakuja rafu kwa stage!!!!!
Haki yake ya kupendeza ataipatia kutoka jeshi la TikTok na ndio hapo praise atakapoanza kulia kiganda.
Kilio chako kimesikiwa! Jpil hii kavaa gauni la njano, wig, full make up kapendeza hatariii
 
Mtoto pendwa wa Majaji haguswi
Hata akiimba vibaya
Wao ni kusifia tu.
Na kisa yeye leo kaboronga
Basi hawatoi mtu.
Wanasubiri Watanzania waboronge wawafyekee mbali .
Hili shindano lishakuwa na upendeleo wa wazi kabisa.

Ni kweli Watanzania wana uwezo mdogo kiuimbaji
Ila leo Nafasi ya Zion na osndi Dangerzone alitakiwa kukaa Bellanuts from Rwanda
Na praise from Uganda.
 
Switney wamemroga
Mwanzo alikuwa moto sana
Mi nilikuwa shabiki yake
Ila alivyokuja Freya
Nimehamia mazima Congo
Wacongo wawili wote wa moto sana.

Huyo praise sijui Kwa vile ni mimi sijui muziki
Mtu anapayuka payuka
Mitetemo hovyohovyo
Praise anajua ile mbaya yule dada anaimba nyimbo ngumu alafu anaifanya iwe rahisi ambayo kama una sauti ya tia maji tia maji lazima ikushinde
 
Praise inaonekana wazazi wake wapo jiran sana na madama ritha

Belanuts nahisi ananyota ya kupendwa zaid

Ila kale kadada kanakochana kanajitahid SANA NAKAOMBEA KACHUKUE TAJI KABISA
Praise anajua sana kwangu yule ndio namba 1 kwenye uimbaji sio kwamba anabebwa uwezo wake ndio unambeba ni vile wa bongo hampendi nyimbo za kiingereza ndio maana mna mtazamo huo. Nyimbo anazoimba ni ngumu kama una uwezo wa kawaida huwezi kuimba
 
Mtoto pendwa wa Majaji haguswi
Hata akiimba vibaya
Wao ni kusifia tu.
Na kisa yeye leo kaboronga
Basi hawatoi mtu.
Wanasubiri Watanzania waboronge wawafyekee mbali .
Hili shindano lishakuwa na upendeleo wa wazi kabisa.

Ni kweli Watanzania wana uwezo mdogo kiuimbaji
Ila leo Nafasi ya Zion na osndi Dangerzone alitakiwa kukaa Bellanuts from Rwanda
Na praise from Uganda.
Sio kweli kwenye waimbaji wote wale Saint Anne hakuna anayemfikia Praise kwenye uimbaji ni vile tu nyinyi hampendi nyimbo za kiingereza, nyimbo anazochagua kuimba yule dada ni ngumu kama vocal yako ni ya kawaida
 
Back
Top Bottom