Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Hayo mambo usemayo yapo zaidi nchi za kiarabu na hapa kwetu Tanzania yapo zaidi mikoa inayoongoza kwa uislam. Kwa mfano:Tanga na mikoa ya Zanzibar.

Kama ukristo unaendana na ushoga kwanini Ruvuma, Mbeya na Rukwa ambako kuna wakristo wengi hakuna mashoga wengi kama Tanga na Zanzibar ambako kuna uislam mwingi?
Si kweli kama wazungu hawakufika mikoa ya Pwani,na kupeleka ukristo,mikoa ya Pwani kuna makanisa ya kwanza na makubwa kuliko bara.Kama Zanzibar kanisa la kwanza,kanisa la Anglican,stone town,lilijengwa 1873,na ndio kanisa la kwanza kubwa na la aina yake.
Huko mikoa ya Pwani,ukristo pia upo.Kwa mfano Mkoa wa Tanga,wakazi wake ni nusu kwa nusu ni waislamu na wakristo.Wilaya ambazo zina waislamu wengi ni Lushoto,99%ni waislamu,hakuna ushoga wala 99%waislamu,hakuna ushoga wala hawaujui.Pangani 99% ni waislamu hakuna ushoga wala hawaujui,Mheza ni nusu waislamu nusu wakristo,hakuna ushoga,Korogwe nusu nusu kwa nusu.Mkinga waislamu wengi hakuna ushoga pia.Tang mjini ni mchanganyiko,waislamu na wakristo,hakuna ushoga,wapo wawili watatu,wa kikristo na wanaojita majina ya kiislamu(katika uislamu,ushoga ni haramu,na katika uislamu,unapotenda tendon kinyume na uislamu,uislamu wako unavyuka wakati huo huo,huhesabiki ni muislamu)
 
Waweza ukawa sahihi ktk maelezo yako juu ya uanzishwaji wa makundi hayo lakini swali linabaki pale pale lini waislamu walisimama kidete kuyapinga hadharani makundi hayo iwe opresheni misikiti yote.
Simaanishi waislamu wote ni wabaya,elewa hoja yetu.Tunahitaji kupinga lakini tunajua chanzo ni msikitini huko madrasa.
Ingekuwa makundi haya hayapigwi vita na waislamu.Wewe usingeishi kwa amani,,nina hakika unaishi na majirani waislamu,unafanyakazi nao,unanunua bidhaa kwao,wapo wakristo wanafanyakazi kwa waislamu,ulisikia lini hao au wewe umefanyiwa mabaya na waislamu
Hivi vikundi vya kigaidi,vinaundwa na wazungu,wasio waislamu,kwa kaslahi yao.Waislamu duniani wako billions,iweje katika hao 0000.1%ndio wafanye uhalifu kama ni uslamu ndi umewatuma.Au hivi vikundi havina nchi,wala serekali wala viwanda vya silaha,vinapata wapi silaha,nzito nzito za vita,kama hawapewi na nchi zinazotengeneza silaha.Zinduka,ujuwe dunia INA kwenda wapi.
 
Yawezekana kweli akili yangu hata fubza akawa ananiovertake lakini je akili yangu kuwa hivyo ndiyo kitenganishi kuwa alshababu siyo wapendwa wenzenu wanaopanga hila chafu wakiwa msikitini?.
Uislam na mwislamu ni kama mhindi na mbelewele kwa hiyo si tatizo.Siwezi kukwazika nawe kwa matusi bali naililia akili yako ipate kupona kutoka ktk utumwa wa dini na kuingia ktk imani sahihi ya kuleta amani,upendo,utu wema kama mtume wako alivyokuahidi.
Sasa huwezi kuwa huru bila kuivisha akili yako uelewa na ujenge hoja.Kuna mambo mnaogopa kuyasema hapa jukwaani.
Jiulize hawa hawana viwanda vya silaha,wala hawana nchi,wala serekali,wanapata wapi silaha?Kama ugaidi haufanywi na nchi zinazotengeneza silaha?
 
Watake radhi waislam!

Boko haramu ni kikundi cha kigaidi kinachotumia mwamvuli wa dini ya kiislam. Waislamu hawaungi mkono kabisa ugaidi

Ni kama tu sisi wakristo wanapotokea wahalifu wanaotumia jina la Yesu huku wakitumia nguvu za giza. Si umeona wachungaji kadhaa wakitoa mapepo kwa kupulizia watu dawa ya mbu? Je, huo ni Ukristo?

Dini zetu zote ni nzuri. Tatizo ni waovu wachache wanajificha kwenye kivuli cha dini kutekeleza maslahi yao ya kiuchumi, kiitikadi na kisiasa!
Umefafanua vizuri sana,hii post yako ni post bora sana,kwa mwaka huu.Maneno machache,yenye ufafanuzi mpana.Asielewa hapa,itakuwa shule kenda somea ujinga(Faiza Foxy)
 
Ingekuwa makundi haya hayapigwi vita na waislamu.Wewe usingeishi kwa amani,,nina hakika unaishi na majirani waislamu,unafanyakazi nao,unanunua bidhaa kwao,wapo wakristo wanafanyakazi kwa waislamu,ulisikia lini hao au wewe umefanyiwa mabaya na waislamu
Hivi vikundi vya kigaidi,vinaundwa na wazungu,wasio waislamu,kwa kaslahi yao.Waislamu duniani wako billions,iweje katika hao 0000.1%ndio wafanye uhalifu kama ni uslamu ndi umewatuma.Au hivi vikundi havina nchi,wala serekali wala viwanda vya silaha,vinapata wapi silaha,nzito nzito za vita,kama hawapewi na nchi zinazotengeneza silaha.Zinduka,ujuwe dunia INA kwenda wapi.
Waislamu tunaoishi nao mtaani ni wachache sana hawawezi kupandikiza lolote baya tena ni wema.
Haya huingizwa maeneo na nchi ambazo ni muslim majority.Kwanza bara hakuna uislamu uislam upo zanzibar na baadhi ya maeneo ya mwambao huku kwingine ubabaishaji mtupu.
Kule zanzibar wakati wa mfungo hakuna mgahawa wa kuwa wazi uwe mwislam ama mkristo sasa huko ndiko makundi hayo yanaweza kusastain kirahisi.
Angalia nigeria,somalia,iran huko ndo utajua uislamu halisi.
Usilinganishe waislam wababaishaji hawa tunaogonga kitimoto nao mtaani acha hao.
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
kuna jambo nyuma ya pazia...jiongeze...
 
TAtio ni kwango chako cha uelewa. Ndiyo sabbu unamwita shetani Mungu!
Waislsan bwana, sijui mtu akijiung ahuko shetani huwa anakwngua akili zote!

Halo, ebu ishia bwana.
wewe mwenyewe unaabudu shetani hapo ulipo
 
Jiulize hawa hawana viwanda vya silaha,wala hawana nchi,wala serekali,wanapata wapi silaha?Kama ugaidi haufanywi na nchi zinazotengeneza silaha?
Iko hivi kama hujui,silaha zinatengenezwa na mataifa mengi duniani ya kiislamu na yasiyo ya kiislamu.Wanahitaji kuuza kwa yeyote kwa kuwa ile nibiashara.
Makundi yote hayo alshabab,bokoharamu na wadogo zake wote wanafanya biashara ya madawa ya kulevya.Wanauza na kusafirisha nchi mbalimbali.
Kwa njia hiyo wamejipatia pesa nyingi ambayo kununua silaha ya aina yoyote hata mizinga wanaweza.Maisha ni pesa.Makundi hayo yana pesa kwa njia ya madawa ya kulevya ongea swala lingine siyo ukosefu wa pesa kwao hawahitaji msaada hapo.
 
Mimi nataka ujenge hoja kwamba bokoharamu ni wapentekoste siyo waislamu ,isis siyo waislamu nimashahidi wa yehova,alshababu ni warc siyo waislam,alkaida ni wamoravian siyo waislam hapo nitakuelewa.
Kuvaa vazi refu kwa mwanamke bila kuvaa chupi haisaidii,kuficha uso wakati macho yanaona hakukuepushi usishawishike na unayoyaona.
Kufunika masikio yasionekane haimaanishi kuwa husikii unapoitwa ama kutongozwa,kutengana wakati wa ibada hakuzuii tamaa isipenye.
Huwezi kuzuia tamaa kwa kujenga ukuta,kuweka walinzi,kuvaa dela na mbwa wakali.Tamaa ikikuingia hata uwe ibadani utaanza kumuwaza hadija wa marekani na jane wa uswisi hata mawazo ya kumsikiliza shehe wala mchungaji hayatakuwepo tena.
Tamaa hutenganishwa na mindset yako pekee na siyo hayo mavazi.Mnatenda dhambi sirini lakini matokeo yanakuwa hadharani.
Tunajua leo wanawake wakibeba mimba zanzibar bila ndoa mnawatesa nusu ya kuua na ndio maana mkiwabebesha mimbanawaleta bara wajifungue na kuishi huku.Tunaona mengi.Nataka ujenge hoja niko nawe kolikoli.
ADOLF HITLER aliua watu wengi kupita hao book haramu....Israel wanaua watoto wa Kipalestina ni wakristo
 
Naona hapa sasa imeshakuwa mnyukano wa Waislamu na Wakristo.........ngoja mi nijiache
 
Hayo mambo usemayo yapo zaidi nchi za kiarabu na hapa kwetu Tanzania yapo zaidi mikoa inayoongoza kwa uislam. Kwa mfano:Tanga na mikoa ya Zanzibar.

Kama ukristo unaendana na ushoga kwanini Ruvuma, Mbeya na Rukwa ambako kuna wakristo wengi hakuna mashoga wengi kama Tanga na Zanzibar ambako kuna uislam mwingi?
nani kakudanganya MBEYA kunaongoza kwa uchawi na makanisa..........NJOMBE kunaongoza kwa ukimwi na kumejaa wakristo tupu
 
ADOLF HITLER aliua watu wengi kupita hao book haramu....Israel wanaua watoto wa Kipalestina ni wakristo
Kwahiyo wanashindana kuua wamfikie Hitler?.Ni nani aliyeungana na hitler dunia yote ilimlaani kwa tukio lile ndiyo maana ile vita iliitwa ya dunia iliwahusu watu wote bila kujali itikadi zao za imani wala utaifa.
Na inaendelea kupingwa hadi sasa.
 
Aya yoyote unayoiona katika Qur'an,imeandikwa kwa sababu maalumu na na wakati maalumu.Hiyo aya haihusiani na sasa,hiyo iliandikwa wakati hao walikuwa maadui wa kuwapiga waislamu na kuwavamia waislamu,sasa kulikuwa na waislamu,ambao sio waislamu wa kweli wakipeleka siri za waislamu kwa hao watu.
Ni sawa sisi Tanzania wakati wa Idi Amini,Uganda alikuwa adui wetu,kipindi chote cha utawala wake,alipoangushwa katika utawala wake,maandishi yanayohusina na uadui wa Uganda kwa Tanzania,hata kama yapo,lakini sasa sisi sio tena maadui na Uganda.Kwa sababu kipindi kimepita cha uadui huo,haupo tena.Tumia akili unaposoma maandiko yoyote.Ujuwe kwa nini andiko hilo liko,ni kama andiko la Yesu
"Asiye na upanga,auze koti anunue mmoja".
Andiko hili ukilisoma juu juu,utaona Yesu ni mtu chinja chinja,anaamrisha wafuwasi wake,wauze makoti wanunue silaha.Na kazi ya silaha ni uwaribifu na uchijanji,kumbe sivyo.
Haya yote umesema wewe kuleta taqqya, Sijui wewe na mungu wako Allah nani anasema ukweli?
Kumbuka huwezi kuutetea uislam wakati dini yenyewe imekaa vibaya pia mafundissho yake ni potofu.
 
Kwahiyo wanashindana kuua wamfikie Hitler?.Ni nani aliyeungana na hitler dunia yote ilimlaani kwa tukio lile ndiyo maana ile vita iliitwa ya dunia iliwahusu watu wote bila kujali itikadi zao za imani wala utaifa.
Na inaendelea kupingwa hadi sasa.
unajua kundi la kigaidi la MAFIA lililoanzishwa ROME ITALIA na PAPA ndio linaloongoza kwa kuua watu wengi duniani
 
Tatizo waislam wengi wamejazana ujinga sijui ni vitabu vyao au ndio imani yao kama mtu yuko tayari kufa aache familia yake anaenda kuvaa mabom ili kuuwa mkrito,, lakini pia nchi nyingi za kiislam ndizo zinaongoza mauaji ya kikatili, na baadhi ya waislam ni makatili sana
 
Iko hivi kama hujui,silaha zinatengenezwa na mataifa mengi duniani ya kiislamu na yasiyo ya kiislamu.Wanahitaji kuuza kwa yeyote kwa kuwa ile nibiashara.
Makundi yote hayo alshabab,bokoharamu na wadogo zake wote wanafanya biashara ya madawa ya kulevya.Wanauza na kusafirisha nchi mbalimbali.
Kwa njia hiyo wamejipatia pesa nyingi ambayo kununua silaha ya aina yoyote hata mizinga wanaweza.Maisha ni pesa.Makundi hayo yana pesa kwa njia ya madawa ya kulevya ongea swala lingine siyo ukosefu wa pesa kwao hawahitaji msaada hapo.
Wewe bado uko katika dunia ya zamani.Hawa magaidi wanatumia silaha za kisasa,na kila silaha inayotumika,kwa wataalamu wa silaha,wanajuwa hii silaha,imetengenezwa na nchi gani,na ni kiwanda gani na mwaka gani.Kwa nini kama kweli,wanataka kukomesha ugaidi,hivyo viwanda vinavyotengeneza silaha,visifuatiliwe,na kufungiwa,na wenye hivyo viwanda kufungiwa.
 
Haya yote umesema wewe kuleta taqqya, Sijui wewe na mungu wako Allah nani anasema ukweli?
Kumbuka huwezi kuutetea uislam wakati dini yenyewe imekaa vibaya pia mafundissho yake ni potofu.
wale wakristo waisraeli wanaoua watoto wa kipalestina mafundisho yao sio potofu
 
Back
Top Bottom