Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Tatizo waislam wengi wamejazana ujinga sijui ni vitabu vyao au ndio imani yao kama mtu yuko tayari kufa aache familia yake anaenda kuvaa mabom ili kuuwa mkrito,, lakini pia nchi nyingi za kiislam ndizo zinaongoza mauaji ya kikatili, na baadhi ya waislam ni makatili sana
makatili ni wakristo waliotengeneza bomu la nyuklia kwa ajili ya kuwaangamiza watu
 
wale wakristo waisraeli wanaoua watoto wa kipalestina mafundisho yao sio potofu
Unaleta uisrael tena,waisrael na wapelestina wana ugomvi wa kisiasa kila upande ukimuwahi mwenzake unamchapa na sio ugomvi kati ya waislam na wakristo.
Alafu unatakiwa kujua kuwa waisrael sio wakristo lakini wana dini yao ya kiyahudi.
 
Huo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
wewe Mungu wako ni shetani na dini ako ni ya mashetani
 
Unaleta uisrael tena,waisrael na wapelestina wana ugomvi wa kisiasa kila upande ukimuwahi mwenzake unamchapa na sio ugomvi kati ya waislam na wakristo.
Alafu unatakiwa kujua kuwa waisrael sio wakristo lakini wana dini yao ya kiyahudi.
kwa hiyo Yesu hakuwa mkristo sio? ndugu zake Yesu waisraeli ndio wauaji wakubwa
 
Nani kasema ushetani haupo? Ushetain upo, kama vile uchawi utaendelea kuwepo hadi Yesu atakapokuja kuwahukumu!. Ungelikuwa na ufahamu sahihi, ungegombana na waislam hao unaoema wanaharibu uislam ndani ya usilam. Sasa ukanza ku attack watu wanaoona ushetani mtupu, na wewe unayeona wanamsingizia mungu wako, bado hudiriki kutengeneza jambo la kuwazuia, kwa nini tusiamii kwamba uboko harabu na hayo mengine ni matawi ya uislam ambao hata mafundisho yake yameamurisha kufanya ushetani?

Wewe pigana na hao wanaokuchafua kama vinogozi wako watakubali. Inavyoonekana wewe ni mpchanga sana katika hili eneo. Waasisi wako, hao walio kwenye chungu, wananodoto za kuondoa watu wengine wote duniania wabaki peke yao. Na huo ni mkakati tu wanafnay.

Kwamba wakiwa sehemu ambayo wanazidiwa nguvu, wawe wapole na waonyeshe ushirikiano.

wakiwa sehemu wako wachache, waonyeshe upole and ushirkiano.

Sehemu wakipata nguvu, na wakiwa wengi, waanzishe vita vya kuhakikisha wanabadili watuwote kwa mapanga ama kubadki peke yao.

MIfano hapa tz. Wakti wa mwal. kwa sababu aikuwa mtu mwenye macho ya ndani ya nje, wakati huo mkiwa wachache sana, mliishi na binadamu kama watu bila kuwa na nia ovu na tulishirikian wote kwa upendo kama vile wote tu ni watu wa Mungu.

Baada ya nyerere, mkaanzisha mambo kwa kujua mmepata nguvu, tukaona na nyaraka za Kigom. Mlaima zinakwenda kwa tilte za "Huu ndio wakati wetu".

Mara tunaona maanznisha na vurugu za vita vya maguruwe kwa uwongo uwongo tu,. Hivi asingekuwa Mrema Augustino, mngetufikisha wapi? Mkaanzisha ma mihadhara ya matusi, kwa fujo sana mkidhani mmebak i peke yenu sasa, mkasahau kwamba kichwa bila mwili hakiweza kufanya yote.

Baadae tena hapo kati kati mkabaki mmedumaa baada ya kugundua kwamba kumbe hapa kwetu ninyi hamjafikia kimo ch akuanzisha fujo.

Tumeona hatua iliyofuata tena mkaja na mengi sana hadi kuchinja Mchungaji kule geita kwa sababu tu amehubiri washirkia wake "Wachinje mifugo yao, na wale wenyewe". Tumeona mmefanya mengi ya kipumgavue na bile watu wa Mungu, sijui ingekuwaje. Tumeona namna kichwa chenu kilivyoua elimu nchini eti kuwapa anfasi na nyinyi muwe wengi. Lakini uwezo mdogo na ndiyo sababu mnapwaya sana.

Mmeanzisha mambo mengi sana ikiwa na kuwaambia vijana wenu wa kike na wakiume waolewe ama waoe wa Kristo ili muwapunguze kwa idadi, na kisha mzae watoto wengi ii muongezeka. Kuna wengi waliotimiza hili jukumu walituzwa na fedha si kwa sababu ya kuwasaidia katika sherehe za arusi ama ndoa, bali ni kuwapongeza.

Mkajigundua bado mnapwaya, mkaanzisha shuruti eti kwenye sensa kuwe na tawkimu za dini!. Nani hakujua nia yenu? Eti mkantaka ujua mmekuwa wengi kiasi sgani mijpange kwa vurugu. Mengine ninaficha sitaki kuwapa faida.

Ninaomba nisizungumze mengi.

Kwa ufupi, mnatakiwa kushawishi dunia kwmba hizo vurugu si sehemu ya usislama. Mnavyozidi kuwa attack watu wanaolalamikia mienndo yenu ya vurugu, n akuwalinda hayo matawi yenu ya growth and sustainability (those who are waging war), mnazidi kuonyesh adunia kwamba ninyi ni tatizo kwa ulimwengu.

Njooni na matusi yenu, ambayo ndiyo karama yenu kubwa hapa mtukane kwa kuwa ni ibada kwenu, lakini kamwe hamtaubadilisha ukweli kwamba "shetani kazi yake ni kuiba, kuchinja na kuharibu', na kwamba kwake hakuna amani, na diyo sababu kila mahala alipo, (kwa maana ya wafuasi wake, wanaotumia roho zake shetani), hapana amani.

Asomaye na afahamu, na mwe macho haambiwi tazama.
We ni SHETANI tu huna loote
 
Wewe bado uko katika dunia ya zamani.Hawa magaidi wanatumia silaha za kisasa,na kila silaha inayotumika,kwa wataalamu wa silaha,wanakuwa hii silaha,imetengenezwa na nchi gani,na ni kiwanda gani na mwaka gani.Kwa nini kama kweli,twataka kukomesha ugaidi,hivyo viwanda vinavyotengeneza silaha,visifuatiliwe,na kufungiwa,na wenye hivyo viwanda kufungiwa.
Ile ni biashara mkuu!.Leo zambia silaha zinaizwa kama magazeti ya mwanaspoti na udaku lakini kwetu hiyo haipo.
Utandawazi hauko hivyo na huwezi kumzuia mtu kuzalisha bidhaa fulani eti kisa inakudhuru wewe unatakiwa kuzuia akili yako tu.
Mimi sinywi bia lakini siwezi kuzuia wazalishaji bia baada ya kuwa raisi kisa siipendi.Anza kuzuia ubongo wako na matamanio yako wale watakosa wateja utakuwa umefunga.
Ni sawa na mimi siwezi kuzuia ujenzi wa msikiti eti kisa mimi siutaki uislamu ni kosa.Zuia akili yako kwanza.
 
na wanaotengeneza hizo silaha ni wakristo wazungu
 
Huhitaji kuwa na uprofesa kuujua ukweli.Katika makundi yote duniani ya ugaidi hakuna kundi lililopo la mlengo wa kikristo kuanzia isis,bokoharamu,alshababu,alkaida na wengineo.
Na uthibitisho ktk hayo waliowateka watoto nigeria ni bokoharamu ambao wamewafunza imani zao za kiislamu na mavazi hayo.
Unataka nini ili uelewe.
Mi ninavyojua ni kuwa makundi ya Kigaidi yanaasisiwa na nchi za Magharibi wakijivika katika Uislamu,lkn Waislamu wenyewe wanakuambia hayo makundi wao wenyewe hata hawayajui na yangekuwa yanaasisiwa na Waislamu yasingelikuwa yanawaua Waislamu wenzao lkn tunaona kila leo yanawaua watu wote wakiwemo hata waislamu
We hujiulizi tu kuwa haya makundi yangekuwa yanaasisiwa na uislamu yangelikuwa hayajakomeshwa? Pia hata hujiulizi muda wote pesa na siraha za kivita wanatoa wapi tena za kisasa kabisa?
Mi nayaongea haya nikiwa Mkristo safi kabisa........sipendezwi na malumbano yenu ya kidini!!!
 
kwa hiyo Yesu hakuwa mkristo sio? ndugu zake Yesu waisraeli ndio wauaji wakubwa
Mfano: wewe ni Juma kama wewe ni juma ,je watu watakuita mmjuma??
Yesu ni kristo na wanaomfuata yesu wanaitwa wakristo yaani wafuasi wa kristo,sasa anasemaje yesu hakuwa mkristo?
Utakuwa ulifoji vyeti wewe au elimu yako ni ya madrasa tu
 
Haya yote umesema wewe kuleta taqqya, Sijui wewe na mungu wako Allah nani anasema ukweli?
Kumbuka huwezi kuutetea uislam wakati dini yenyewe imekaa vibaya pia mafundissho yake ni potofu.
Usijidanganye,uislamu hautetewi,waislamu duniani wapo kwa mabilions.Mimi nakufundisha wewe,usiyejua kama kila aya unayoiona ndani ya Qur'an ina sababu yake ya kuandikwa,nimekutolea mfano wa biblia
Luka 22:36
" Na yoyote asiye na upanga,auze koti lake anunue mmoja"
Kwa hiyo vikundi vya kigaidi vya kikristo kama LRA,Ant baraka,KKK,Army of God,christian identity nk ,wanafuata maneno haya ya Yesu?
 
na wanaotengeneza hizo silaha ni wakristo wazungu
Silaha zinatengenezwa na watu wote,mataifa yote yaliyo ya kiislam na yasiyo ya kiislamu na ya kipagani pia ila yanatofautiana levels za utengenezaji.
Kwani tz silaha hazitengenezwi,zipo zinatengenezwa.
Iran,iraq,israel,uturuki,palestina wote wanatengeneza.Ukijua kuwa muislamu ,mkristo,mkenya,mkongomani ni binadamu sawa nawe basi huwezi nunua silaha kupigana naye maana ni mpendwa mwenzako.
 
Hii dini nina wasiwasi nayo!! Matendo yao yote ni ushetani mtupu
Kuwa mustaarabu na jichunguze sana na kutokana na chuki yako juu ya udini kwani hakuna kitu kibaya duniani kama kucheza na imani ya dini. Ni vema ukaamini dini yako na kuacha kubeza dini za wenzako. Hakuna vita iliyombaza duniani kama vita ya udini.
 
Tatizo waislam wengi wamejazana ujinga sijui ni vitabu vyao au ndio imani yao kama mtu yuko tayari kufa aache familia yake anaenda kuvaa mabom ili kuuwa mkrito,, lakini pia nchi nyingi za kiislam ndizo zinaongoza mauaji ya kikatili, na baadhi ya waislam ni makatili sana
Ujinga utakuwa nao wewe,waislamu duniani wako mabilions,kama wangekuwa wanavaa mabomu na kufa,si wangekuwa wamemalizika.Uhalifu ukifanywa na watu laki mbili,ni kama 000000.1%,usihusishe na 99.9% ya waislamu wote duniani.Huko shule mwaenda kusomea ujinga?
 
Usijidanganye,uislamu hautetewi,waislamu duniani wapi kwa mabilions.Mimi nakufundisha wewe,usiye jua kama kila haya unayoiona ndani ya Qur'an na sababu yake ya kushuka,nimekuoa mfano wa biblia
Luka 22:36
" Na yoyote asiye na upanga,auze koti lake anunue mmoja"
Kwa hiyo vikundi vya kigaidi vya kikristo kama LRA,Ant baraka,KKK,Army of God,christian identity nk ,wanafuata maneno haya ya Yesu?
Kwani hiyo aya ya Luka imesema watu wafute upanga kisha wawakate waislam??
Qur'an 5:51 imesema adui wa Allah ni wakristo na wayahudi,ndiomaa waislam wanajilipua kuwaua wakristo ambao kwa dini yenu ya kjinga mnawaita makafiri.
Yaani Allah ni mungu wa ajabu sana siamini kama Allah ni muumba wa ulimwengu.Kwani alah ni gaidi namba moja,namba mbili ni Muhammad
 
Ile ni biashara mkuu!.Leo zambia silaha zinaizwa kama magazeti ya mwanaspoti na udaku lakini kwetu hiyo haipo.
Utandawazi hauko hivyo na huwezi kumzuia mtu kuzalisha bidhaa fulani eti kisa inakudhuru wewe unatakiwa kuzuia akili yako tu.
Mimi sinywi bia lakini siwezi kuzuia wazalishaji bia baada ya kuwa raisi kisa siipendi.Anza kuzuia ubongo wako na matamanio yako wale watakosa wateja utakuwa umefunga.
Ni sawa na mimi siwezi kuzuia ujenzi wa msikiti eti kisa mimi siutaki uislamu ni kosa.Zuia akili yako kwanza.
Kwa hiyo hapo ujuwe magaidi ni wanaotengeneza silaha,sio wanaouwa kwa silaha.Kama kiwanda silaha,na kufika mikononi mwa anayeitumia vibaya hiyo silaha,muuwaji asingeweza kuwa.Wenyewe viwanda vya silaha ndio Magaidi namba moja.
 
Back
Top Bottom