Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Plus....Alkaida na ISIS......
 
Isome qur'ani kwa makini, ndipo ulete ushahidi wako
Mnaziponda nchi za christian majority kuwa ni makafiri leo nchi zenu za kiislamu hazina amani na mmekuwa wakimbizi ktk nchi ambazo ni za makafiri.
Wasomali kutwa kucha wanasafirishwa kwenye malori kama magunia kuelekea afrika ya kusini nchi ya kikristo ili waingie kambini kuu ya wakimbizi then waende marekani na uingereza wakaishi kwa amani wakati huko ni nchi za kikristo kwanini wasikimbilie uarabuni?.
Ijueni kweli ili mpate kuwa huru.Leta hoja kutofautisha uislam na ugaidi ili nasi tuwe wafuasi wenu.Nami nasema kuwa njia iliyo salama ya kumuona Mungu ni kukubali na kuiamini injili ya yesu kristo aliye hai.Tazama imeandikwa ana heri mtu yeyote asiye na mashaka nami(matayo 11:6).
Mimi ni njia,mimi ni kweli,mimi ni uzima tena wa milele asema bwana wa majeshi.
Mtamkataa sana huyu yesu lakini nafasi bado iko wazi kwa ajili ya wote alisema tuyahubirie mataifa yote yaani hata waarabu waujue ukweli na waiamini injili.
Bado naamini uislamu ndiyo ule ule ugaidi mpaka kesho.
 
Hongera kwa kuwa na fikra finyu. Yawezekana hata hiyo bible unayiiamini hauielewe. Hakuna haja ya kulumbana kwani kwa dalili ya uandishi uliyonayo ni vigumu kuelewa

TAtio ni kwango chako cha uelewa. Ndiyo sabbu unamwita shetani Mungu!
Waislsan bwana, sijui mtu akijiung ahuko shetani huwa anakwngua akili zote!

Halo, ebu ishia bwana.
 
Yaani tunajua uislamu na sifa zake yaani ni kinyume kabisa na matendo ya makundi haya ndg.
Uislamu ni upendo,uislamu ni amani,uislamu ni rehema.Je nchi zote za kiislamu hayo hapo juu yapo?.
Bahati nzuri nchi za kiislamu mmekataa hata kuhubiriwa injili ya yesu kristo aliye hai ili muujue undani wa imani ya kikristo kama nyie mnavyotuhubiria tukasikia.Mnahofu nini?.
Huko korea mashahidi wa jehova wametishiwa kufungiwa makanisa yao kisa mashahidi hawataki vita.
Somalia hakuna kanisa full vita.Ina maana misikiti yenu ni magenge ya kupangia njama za utekaji?.
Yesu kristo alisema tutawajua walio wa Mungu kwa matendo yao.Yaani bwana yesu asifiwe wala salaam aleykum hazititishi bali matendo ya mtu.
Ndg zetu waislam hapo mmepwaya jitafakarini upya muijenge imani yenu kama mtume wenu alivyowauru.
Ikiwa leo mtume wenu akifufuka akute haya yanayofanywa na mnaojitia wafuasi wake kuuana,kubaka,kufilana,vita tele na mengineyo atazimia afe tena.
Makundi yote ya kigaidi ni ya kiislamu kuanzia isis,bokoharam,alkaida,alshabab,mungiki na ambayo sijayataja.Hakuna majeshi yanayoongoza kusali duniani kuzidi ya kiislamu somalia alshabab lakini matendo ni zero.
Nimependa maelezo yako kwani yanavutia mjadala. Chanzo kikuu cha machafuko ya nchi za kiislam ni marekani. Na hii inasababishwa na kuusoma uislam na kuuelewa wakaona mara ukishika dola hakutakuwa na uharamia wowote ikiwemo riba katika mikopo n.k. bush alipomaliza muda wake alisema hatupambani na ugaidi bali tunapambana na uislam. Kama ni mfuatiliaji wa matukia bush alianzisha kundi la alkaida na alipoamaliza madaraka likapotea, obama ISIS na Bokoharam.Faham raisi wa nigeria m.buhari liimbo marekani imsaidie kumaliza kundi la boko haram wakakataa. Uislam uko wazi na hauna ugomvi na ukristo. Haya ni mambo ya kupangwa tuu. Kuna watu hawalali kupanga mikakati ya kuangamiza uislam.lkini kwa kuwa ni dini ya allah hawataweza.
 
Nani kasema ushetani haupo? Ushetain upo, kama vile uchawi utaendelea kuwepo hadi Yesu atakapokuja kuwahukumu!. Ungelikuwa na ufahamu sahihi, ungegombana na waislam hao unaoema wanaharibu uislam ndani ya usilam. Sasa ukanza ku attack watu wanaoona ushetani mtupu, na wewe unayeona wanamsingizia mungu wako, bado hudiriki kutengeneza jambo la kuwazuia, kwa nini tusiamii kwamba uboko harabu na hayo mengine ni matawi ya uislam ambao hata mafundisho yake yameamurisha kufanya ushetani?

Wewe pigana na hao wanaokuchafua kama vinogozi wako watakubali. Inavyoonekana wewe ni mpchanga sana katika hili eneo. Waasisi wako, hao walio kwenye chungu, wananodoto za kuondoa watu wengine wote duniania wabaki peke yao. Na huo ni mkakati tu wanafnay.

Kwamba wakiwa sehemu ambayo wanazidiwa nguvu, wawe wapole na waonyeshe ushirikiano.

wakiwa sehemu wako wachache, waonyeshe upole and ushirkiano.

Sehemu wakipata nguvu, na wakiwa wengi, waanzishe vita vya kuhakikisha wanabadili watuwote kwa mapanga ama kubadki peke yao.

MIfano hapa tz. Wakti wa mwal. kwa sababu aikuwa mtu mwenye macho ya ndani ya nje, wakati huo mkiwa wachache sana, mliishi na binadamu kama watu bila kuwa na nia ovu na tulishirikian wote kwa upendo kama vile wote tu ni watu wa Mungu.

Baada ya nyerere, mkaanzisha mambo kwa kujua mmepata nguvu, tukaona na nyaraka za Kigom. Mlaima zinakwenda kwa tilte za "Huu ndio wakati wetu".

Mara tunaona maanznisha na vurugu za vita vya maguruwe kwa uwongo uwongo tu,. Hivi asingekuwa Mrema Augustino, mngetufikisha wapi? Mkaanzisha ma mihadhara ya matusi, kwa fujo sana mkidhani mmebak i peke yenu sasa, mkasahau kwamba kichwa bila mwili hakiweza kufanya yote.

Baadae tena hapo kati kati mkabaki mmedumaa baada ya kugundua kwamba kumbe hapa kwetu ninyi hamjafikia kimo ch akuanzisha fujo.

Tumeona hatua iliyofuata tena mkaja na mengi sana hadi kuchinja Mchungaji kule geita kwa sababu tu amehubiri washirkia wake "Wachinje mifugo yao, na wale wenyewe". Tumeona mmefanya mengi ya kipumgavue na bile watu wa Mungu, sijui ingekuwaje. Tumeona namna kichwa chenu kilivyoua elimu nchini eti kuwapa anfasi na nyinyi muwe wengi. Lakini uwezo mdogo na ndiyo sababu mnapwaya sana.

Mmeanzisha mambo mengi sana ikiwa na kuwaambia vijana wenu wa kike na wakiume waolewe ama waoe wa Kristo ili muwapunguze kwa idadi, na kisha mzae watoto wengi ii muongezeka. Kuna wengi waliotimiza hili jukumu walituzwa na fedha si kwa sababu ya kuwasaidia katika sherehe za arusi ama ndoa, bali ni kuwapongeza.

Mkajigundua bado mnapwaya, mkaanzisha shuruti eti kwenye sensa kuwe na tawkimu za dini!. Nani hakujua nia yenu? Eti mkantaka ujua mmekuwa wengi kiasi sgani mijpange kwa vurugu. Mengine ninaficha sitaki kuwapa faida.

Ninaomba nisizungumze mengi.

Kwa ufupi, mnatakiwa kushawishi dunia kwmba hizo vurugu si sehemu ya usislama. Mnavyozidi kuwa attack watu wanaolalamikia mienndo yenu ya vurugu, n akuwalinda hayo matawi yenu ya growth and sustainability (those who are waging war), mnazidi kuonyesh adunia kwamba ninyi ni tatizo kwa ulimwengu.

Njooni na matusi yenu, ambayo ndiyo karama yenu kubwa hapa mtukane kwa kuwa ni ibada kwenu, lakini kamwe hamtaubadilisha ukweli kwamba "shetani kazi yake ni kuiba, kuchinja na kuharibu', na kwamba kwake hakuna amani, na diyo sababu kila mahala alipo, (kwa maana ya wafuasi wake, wanaotumia roho zake shetani), hapana amani.

Asomaye na afahamu, na mwe macho haambiwi tazama.
Povuuuu
 
Nimependa maelezo yako kwani yanavutia mjadala. Chanzo kikuu cha machafuko ya nchi za kiislam ni marekani. Na hii inasababishwa na kuusoma uislam na kuuelewa wakaona mara ukishika dola hakutakuwa na uharamia wowote ikiwemo riba katika mikopo n.k. bush alipomaliza muda wake alisema hatupambani na ugaidi bali tunapambana na uislam. Kama ni mfuatiliaji wa matukia bush alianzisha kundi la alkaida na alipoamaliza madaraka likapotea, obama ISIS na Bokoharam.Faham raisi wa nigeria m.buhari liimbo marekani imsaidie kumaliza kundi la boko haram wakakataa. Uislam uko wazi na hauna ugomvi na ukristo. Haya ni mambo ya kupangwa tuu. Kuna watu hawalali kupanga mikakati ya kuangamiza uislam.lkini kwa kuwa ni dini ya allah hawataweza.
Sawa...!

Sasa mkuu ni kwanini hawa magaidi, mfano Alshabaab wakiwavamia watu wanaua tu Wakristo tena ambao hawajawakosea chochote?
 
Wakristo wamesimama kupinga ushoga duniani kote hata marais ktk nchi ambazo ni christian majority wamepinga vikali mfano zimbabwe kwa mugabe.Nchi nyingi za kiislam ambako sheria za kufanya mapenzi kabla ya ndoa ilikuwa ni kosa la jinai ndiko ushoga ulianzia ila wengi hawajui.
Pwani yote ambayo ni muslim majority ndiyo matukio hayo ni mengi na ushoga umetokea zanzibar na kusambaa pwani yote.
Wazungu nao wanaujua vizuri ila ulikuja muda mrefu sana na ulifichama zanzibar kwa waislamu.
Ni vema wote bila kujali itikadi tukapinga haya maovu ila waislamu muwe mbele nasi tuwafuate.
Eti kwa Mugabe. Yule rais wa kwanza wa Zimbabwe unajua alifanya nini?mnafunganishana ndoa za mashoga na masagaji makanisani. Hatujakataa kuwa ushoga haupo arabuni lakini ni jambo la aibu sio kule kwa mabwana zenu ni ufakhari kuwa shoga. Ushoga upo kila sehemu lakini wenzetu wanaushabikia na kujifakharisha nao.
 
Yaani Hugo siyo win win hapo ni win lose. Serikali imepoteza Boko Haram wameshinda. Watauwa sana hao mabinti. Yaani ni hatari zaidi kuliko Boko Haram wenyewe.
 
Hawajitambui kwani chuki ndio zimejaa miyoni mwao
Chuki zimejaa moyoni wapi?

Wakristo wanafundishwa UPENDO na UVUMILIVU ndio maana hakuna kikundi chenye itikadi ya kikristo kitaenda kuwaua waislam ambao pia ni binadamu bila hatia.

On the other side, UISLAM unasema enyi waumi'nin msifanye urafiki na Wakristo na Wayahudi.

Unataka huo mstari katika Qur'an ya Muhammad ?
 
Hii dini nina wasiwasi nayo!! Matendo yao yote ni ushetani mtupu
Hebu Fanya utafiti ukiwa huru kichwani i mean ukiwa hujala hata kipande cha nguruwe utapata ukweli dini ipi ni ya kishetani kwa matendo yake.
 
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better
d8aec10fab91d118d68008633cab7580.jpg
Bado wana Marinda ?
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Unataka kuniaminisha kwamba hujui Nani yupo nyuma ya hii kitu?
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Kweli kabisa mkuu huko pote amani hakuna bila kusahau Congo,South Sudan,Burundi,Ukraine,Syria na nchi nyingine za kiislamu.
mabinti wengi wamegoma kurudi kwao kwa raha walizokuwa wanapewa na Boko Haram
 
Hii dini nina wasiwasi nayo!! Matendo yao yote ni ushetani mtupu
Usingalie watu wanaosema sisi ni waislam wanafanya Au wanataka nini. Angalia uislam unataka nini. Soma. Usikariri Kila unachoona kwenye chombo cha habari. Uislam hauruhusu hata kidogo kudhuru watoto. wanawake. Au hata mimea. Hii inamaanisha hata kama ndo imebidi waislam waingie kwenye vita. Soma. Shida hapa ni boko haram. Si uislam
 
Huo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
mbona umeusianisha visivyo, jaribu kutafakari vizuri.
 
Kekerenkedeeee....

Wanapinga ushoga upi wakati Imam SHOGA anayeitwa Nur Warsame na wenzake 6 ndio maimam wenye waumin wengu zaidi Canada na USA?

Wamjua huyu?

View attachment 505649
Yupo canada huyo ameufuata huo huo. Hatujakataa kuwa hakuna waislamu mashoga. Hatuoani
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
jaribu kuchukua muda hata ukasoma basi, nani alikwambia hivyo.........je anayeiba akajiita muislam uisalm utakua umemtuma, anayezini akajiita muislam uisalam utakua umemtuma???????
 
Hawa jamaa wamejificha kwenye kivuli cha uislamu lakini uislamu haufundishi ugaidi.Cha muhimu kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu ni kuwa,waislamu watumie nguvu ya ziada ili kujipambanua na ugaidi kwani kiukweli wameuchafua sana na wasioelewa ambao ni wengi wanaamini kuwa magaidi ni waislamu.
Wewe Unaonekana kuwa na AKILI unlike hawa ubongo hewa.
 
Back
Top Bottom