Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Kwani hiyo aya ya Luka imesema watu wafute upanga kisha wawakate waislam??
Qur'an 5:51 imesema adui wa Allah ni wakristo na wayahudi,ndiomaa waislam wanajilipua kuwaua wakristo ambao kwa dini yenu ya kjinga mnawaita makafiri.
Yaani Allah ni mungu wa ajabu sana siamini kama Allah ni muumba wa ulimwengu.Kwani alah ni gaidi namba moja,namba mbili ni Muhammad
Daaah wee noma mkuu?.Jiwe gizani.
 
Magaidi ya kikristo yanatumia akili na yanaua watu wengi kuliko hayo magaidi ya kiislamu.Mfano gaidi lililotengeneza virusi vya UKIMWI,magaidi yanayotengeneza migogoro katika nchi nyingine ili watu wauwane kisha yajizolee maliasili.Bila kusahau magaidi ya kikristo yaliyokuja kutugawa kwa kutuletea utamaduni uliofanya mpaka sasa tunapigana wenyewe kwa wenyewe ili kutetea maslahi yao.Kubwa zaidi ni GAIDI LILILOANZISHA DEMOCRACY AMBAYO IMEKUWA NI CHANZO KIKUBWA CHA MIGOGORO KWETU SISI WAFATA MKUMBO WA MAGHARIBI.Ugaidi upo kila kona hata kwenye jamii za kiafrika,mfano magaidi yanayoua albino na yale yanayovamia maeneo ya wakulima na kulisha mifugo.Kama sipo sawa nirekebishwe...
Alieanzisha democracy sio gaidi wala sio mkristo aliabudu miungu ya kigiriki.
Walioamzisha ukimwi hawakutumia jina la Yesu kuua watu, wala wengi wa wanasayansi ni wapagani. Hawamuamini Mungu,
Waliamua kupunguza idad ya watu kwa makusudi tu,

Ebu muache Socrates alale zake, ungesoma The Republica ungejua maana ya demokrasia. Kwahyo nimekirekebisha
 
Kwani hiyo aya ya Luka imesema watu wafute upanga kisha wawakate waislam??
Qur'an 5:51 imesema adui wa Allah ni wakristo na wayahudi,ndiomaa waislam wanajilipua kuwaua wakristo ambao kwa dini yenu ya kjinga mnawaita makafiri.
Yaani Allah ni mungu wa ajabu sana siamini kama Allah ni muumba wa ulimwengu.Kwani alah ni gaidi namba moja,namba mbili ni Muhammad
Yaani wewe kweli hujielewi,upanga ni mauaji,na kazi yake kumuuwa adui yako,sio lazima uambiwe umuuwe fulani.
Kumb.la torati 5:9
"....,ni Mungu mwenye wivu,nawapatiliza wana ouvu kwa baba zao ;hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao".
Kutoka 34:13
" Bali utabomoa madhabahu zao,na kuvunja vunja nguzo zao ,na kuyakata kata mayashera yao."
Hapo unasemaje,Mungu anayewaadhibu watu kwa kosa la babu zao ,mpaka kizazi cha tatu,na asema ana wivu,hapendi wengine,wasikuwa wa kwake.Na anaamrisha hayo yafanyike.Ndio magaidi wakristo wamefuata hapa?
 
Nadhan tuwape muda mabinti watasimulia tu yaliyowasibu huko walikokuwa...! Muhimu ni kufahamu kuwa wapo watu wanaoamua mambo yaweje na lip lisemwe na lipi lisisemwe.
 
Badala 2shukuru mateka kuachiriwa,,,cc ndyo kwanzaa 2mekimbilia kwenye udini na kukashifu dini za wa2. Watanzania cjui 2merogwa na nani
 
Yupo canada huyo ameufuata huo huo. Hatujakataa kuwa hakuna waislamu mashoga. Hatuoani
Wewe una matatizo sio siri...viongozi wa kiislam mashoga ni wengi sana na Muasisi wao ni Arafat.

Unafikiri kubinuliana makalio juu kwa marijali wenzio wakati wa kuabudu ni kazi ndogo eeh
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Japo u mla panya lkn nimekuelewa
 
inasikitisha sana, sijawahi sikia mashekh au maimamu wamebaka watoto wa kiume.
Hahaha...Mbona Mtume wenu Bwn. Mudy alimbaka mtoto wa miaka 9 na bado ni Mtume wa Allah

Hahahahah....!
 
Hahaha...Mbona Mtume wenu Bwn. Mudy alimbaka mtoto wa miaka 9 na bado ni Mtume wa Allah

Hahahahah....!
Tafsiri yako hiyo kaka hatuwezi kukulazimisha,,,,,,km hapa Tz waruhusiwa kuoa au kuolewa ukiwa na miaka 14 kisheria. Tafuta elimu kaka usiwe mvivu.
 
Kwa ulawiti Mwarabu anaongoza duniani
Kwa hiyo walioamua kuoana jinsia moja ni vipi na viongozi wenu wa dini wanathubutu kuwafungisha ndoa makanisani
ff4baf8862d08b95c80cdf15a345a455.jpg
 
kumbe boko haram walikuwa wanawasiliana na serikali muda mrefu.

lakini kwanini wanashindwa kuwamaliza boko haram?

nakumbuka na ile hadithi ya kwenye biblia ambapo shetani na mungu wanapiga stori na shetani anamuambia mungu naomba nikamjaribu mtu wako lazaro na mungu akamwambia nenda ukamjaribu ila usimuue.
pale ndio nikaja kugundua kwamba mungu na shetani ni marafiki na huwa wanawasiliana.
Mkuu ni Lazaro au Ayoub?
 
Hongera kwa kuwa na fikra finyu. Yawezekana hata hiyo bible unayiiamini hauielewe. Hakuna haja ya kulumbana kwani kwa dalili ya uandishi uliyonayo ni vigumu kuelewa
Mkuu unafahamu vitendo vya mauaji vinavyoendelea pwani vinasababishwa na nini!?
 
Back
Top Bottom