Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,811
- 730,166
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better