Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better
d8aec10fab91d118d68008633cab7580.jpg
Tupia sosi ili tufuatilie, ila naona kama ni mtego, idadi hii inaweza kuliteketeza taifa la Nigeria

Most likely kila bint ameacha mtoto mmoja huko, hivyo kuna jeshi la watoto takriban 100 wanaanza mafunzo ya ugaidi mara moja, ni vema dunia akaingilia kati kuwaokoa hawa watoto kutoka mikononi mwa Shetan
 
Hao wasichana Nigeria iwe makini nao,hakika hawapo kama awali wanaweza kuwa wamelishwa sumu watakuwa maadui wa ndani
 
Hakuna la kweli hata moja ktk haya uliyoyasema...

Tatizo lililopo Uislamu unapingwa vikali na mataifa makubwa na yenye nguvu duniani, hivyo imekuwa rahisi kupenyeza fikra chafu kwa watu ili tu uislam/waislamu waonekane kituko ktk jamii, ndio hizo propaganda zikaenezwa!!

Angalia porn vid ktk mitandao utaona huo uchafu wote umekithiri ktk mataifa yenu hayo pendwa!!

Nchi za kiislamu zote zinasifika kwa kumstiri mtoto wa kike kimavazi na kiakili, lakini nyie ndio wa kwanza kushambulia, hebu tugeukie huko kwenu.. Sio ajabu kukuta baba, mama watoto na wajukuu wanaoga pamoja uchi kabisa baharini.. Ukweli lazima usemwe!!

Turudi hapa hapa kwetu Tanzania, angalia, chunguza mikoa inayokaliwa na waislamu wengi na ile ya wakristo wengi, utagundua ukatili, mila za kishenzi zimetawala sana ktk mikoa hiyo inayokaliwa nanyi wenzetu.. Nyie wenzetu ustaarabu kwenu ni sufuri kabisa na ndio chanzo cha haya yote!!

Uislam ni dini ya kimaumbile, dini inayomuandaa mtoto hata kabla hajazaliwa awe wa aina gani, nikiri kuwa elimu sahihi ya uislamu imekosekana kwa miaka mingi hivyo kupelekea kuingizwa mambo yasio ktk misingi ikaitakidiwa kuwa ni sehemu ktk uislamu.

Wanaharakati wametuharibia sana dini yetu. Ila na nyie muwe mnachambua mambo kidogo, tofautisheni kati ya UISLAM na WAISLAM..!!
Mimi nataka ujenge hoja kwamba bokoharamu ni wapentekoste siyo waislamu ,isis siyo waislamu nimashahidi wa yehova,alshababu ni warc siyo waislam,alkaida ni wamoravian siyo waislam hapo nitakuelewa.
Kuvaa vazi refu kwa mwanamke bila kuvaa chupi haisaidii,kuficha uso wakati macho yanaona hakukuepushi usishawishike na unayoyaona.
Kufunika masikio yasionekane haimaanishi kuwa husikii unapoitwa ama kutongozwa,kutengana wakati wa ibada hakuzuii tamaa isipenye.
Huwezi kuzuia tamaa kwa kujenga ukuta,kuweka walinzi,kuvaa dela na mbwa wakali.Tamaa ikikuingia hata uwe ibadani utaanza kumuwaza hadija wa marekani na jane wa uswisi hata mawazo ya kumsikiliza shehe wala mchungaji hayatakuwepo tena.
Tamaa hutenganishwa na mindset yako pekee na siyo hayo mavazi.Mnatenda dhambi sirini lakini matokeo yanakuwa hadharani.
Tunajua leo wanawake wakibeba mimba zanzibar bila ndoa mnawatesa nusu ya kuua na ndio maana mkiwabebesha mimbanawaleta bara wajifungue na kuishi huku.Tunaona mengi.Nataka ujenge hoja niko nawe kolikoli.
 
Hii dini nina wasiwasi nayo!! Matendo yao yote ni ushetani mtupu
Unaonekana kutokuwa na uwezo wa kudadavua mambo. Kwanza fahamy kuwa Kuna kitu kinaitwa waislam ambacho ni tofauti na uislam.

Ufahamu kuwa Waislam ni watu na uislam ni dini. Ivi vitu ni tofauti,

dini ya Islam iko very straight ktk kukataza maovu si kwa waumini wake tu Bali kwa watu wote dunian kwa ustawi mpana wa dunia. Sasa akitokea muhuni kwa kuunasibisha uislam ilo ni la kwake mkuu na atahukumiwa yeye km yeye.

Labda nikukumbushe tu wale maaskofu na mapadri walokuwa wakiwafi**** watoto wadogo uko ulaya.... kwako wewe Yale yalikuwa maamrisho ya dini ya kikristu??
Na majuzi tu tumeshuhudia askofu wa anglikan shoga ikimaanisha ana mumewe je ayo ni maamlisho ya biblia?? Nawe una mume kwa sasa au twambie mkuu mmeo hajambo kwan askofu wako naye ana mime...

Muache uzushi na ushabiki wa kuzinasibisha dini na matendo ya kihuni ya wahumini wake km ya hawa mabokoharamu...

Kwa taharifa yako Islam ni dini ya haki na usawa kwa wote
 
Huhitaji kuwa na uprofesa kuujua ukweli.Katika makundi yote duniani ya ugaidi hakuna kundi lililopo la mlengo wa kikristo kuanzia isis,bokoharamu,alshababu,alkaida na wengineo.
Na uthibitisho ktk hayo waliowateka watoto nigeria ni bokoharamu ambao wamewafunza imani zao za kiislamu na mavazi hayo.
Unataka nini ili uelewe.
Wewe umechelewa kweli,makundi ya kigaidi yapo katika ukristo mengi tu duniani na yasiyokuwa wakristo pia wapo..
1.Army God,mkubwa wako ni Scott Roeder
2.Eastern Lightning,the church of almighty God,Zang Lindog,mkubwa wao,,ameshauliwa yeye na Bint yake,walikuwa magaidi.
3.The Lord Resistance Army (LRA)
Mkubwa wao Joseph Kony..
4.The National Liberation Front of Tripura(NLFT).Hawa ni kikundi cha kikristo kiko India,cha kigaidi,kiliwahi kuwa wahindu,zaidi ya 30,wakati wakifanya ibada zao za kihindu (durga buja).Ni waprotestant.
5.The Phineas Priesthood
Hawa ni kikundi cha wazungu,cha kigaidi.
6.Ku Klux Klan.
7.Aryan Nations
8.Phineas priesthood
9.The Concerned Christians,hawa ni wakristo,wanaowauwa Jews,ili waingia ukristo kwa nguvu.
Kwa vile vyombo vya habari,vikubwa duniani,vinamilikiwa na wa Magharibi,habari za magaidi Hawa hazitangazwi kwa wingi.Mpaka upate vyombo vya habari,vyisivyopendelea upande wowote,ndio utapata habari zao.
 
Kuna watu wafiraji kama waarabu mkuu???? Au ndiyo Yale matangopori mnayomezeshwa bila kushirikisha akiri. Hizi ni sumu mnazo pandikizwa boko haramu kwa wafuasi wao,kumbe yenyewe yanafirana kweli kweli. Kama hujui kitu bora ukafanya uchunguzi kwanza : sikulaumu mkuu,maana hata wewe unaimani utapata makira 72 aheraa.....
Bora huyo atakayepata bikra 70,kama ingekuwa kweli,(wakati hayo ni maneno mnayodanganyana kwenye vijiwe vya gongo,hakuna ushlahidi wowote.Kuliko Lazaro,aliyekwenda pakatwa na Ibrahimu.
Luka 16:23
" Basi ,kule kuzimu aliyainua macho yake,alipokuwa katika mateso,akamwona Ibrahimu kwa mbali ,na Lazaro kifuani mwake".
 
Wewe umechelewa kweli,makundi ya kigaidi yapo katika ukristo mengi tu duniani na yasiyokuwa wakristo pia wapo..
1.Army God,mkubwa wako ni Scott Roeder
2.Eastern Lightning,the church of almighty God,Zang Lindog,mkubwa wao,,ameshauliwa yeye na Bint yake,walikuwa magaidi.
3.The Lord Resistance Army (LRA)
Mkubwa wao Joseph Kony..
4.The National Liberation Front of Tripura(NLFT).Hawa ni kikundi cha kikristo kiko India,cha kigaidi,kiliwahi kuwa wahindu,zaidi ya 30,wakati wakifanya ibada zao za kihindu (durga buja).Ni waprotestant.
5.The Phineas Priesthood
Hawa ni kikundi cha wazungu,cha kigaidi.
6.Ku Klux Klan.
7.Aryan Nations
8.Phineas priesthood
9.The Concerned Christians,hawa ni wakristo,wanaowauwa Jews,ili waingia ukristo kwa nguvu.
Kwa vile vyombo vya habari,vikubwa duniani,vinamilikiwa na wa Magharibi,habari za magaidi Hawa hazitangazwi kwa wingi.Mpaka upate vyombo vya habari,vyisivyopendelea upande wowote,ndio utapata habari zao.
Dunia nzima chombo pekee kinachotoa taarifa kwa wakati na muda muafaka na za kweli kabla ya vyombo vyote ni ya uarabuni.Iweje watangaze zaidi matukio ya bokoharamu,isis,alkaida,alishabu wasiache kutangaza hayo ya wakristo.
Kama yapo kwanini hayavumi kuliko hayo mengine sababu ni nini?.
Wakristo wauaji wapo lakini si kwa level unayotaka nikuamini.Na si makundi yanayojitambulisha kidini.
 
Duh lazima uuyo jamaa asepe akseh... Umemdadavulia kila kitu. Vikundi vya kigaidi vya kikristo hivi huwa hawataki visikike masikioni mwa dunia ili tu propaganda zao against Islam ziwe na mashiko.

Akseh asante sana
 
Mnaziponda nchi za christian majority kuwa ni makafiri leo nchi zenu za kiislamu hazina amani na mmekuwa wakimbizi ktk nchi ambazo ni za makafiri.
Wasomali kutwa kucha wanasafirishwa kwenye malori kama magunia kuelekea afrika ya kusini nchi ya kikristo ili waingie kambini kuu ya wakimbizi then waende marekani na uingereza wakaishi kwa amani wakati huko ni nchi za kikristo kwanini wasikimbilie uarabuni?.
Ijueni kweli ili mpate kuwa huru.Leta hoja kutofautisha uislam na ugaidi ili nasi tuwe wafuasi wenu.Nami nasema kuwa njia iliyo salama ya kumuona Mungu ni kukubali na kuiamini injili ya yesu kristo aliye hai.Tazama imeandikwa ana heri mtu yeyote asiye na mashaka nami(matayo 11:6).
Mimi ni njia,mimi ni kweli,mimi ni uzima tena wa milele asema bwana wa majeshi.
Mtamkataa sana huyu yesu lakini nafasi bado iko wazi kwa ajili ya wote alisema tuyahubirie mataifa yote yaani hata waarabu waujue ukweli na waiamini injili.
Bado naamini uislamu ndiyo ule ule ugaidi mpaka kesho.
Wanaosafirishwa na malori ni wa Ethiopia,nchi ya kikristo.Wengi wanaokamatwa ni waethiopia.Nchi nyingi za waislamu ziko na AMANI
1.Dubai
2.Abudhab
3.Qatar
4.Bahrain
5.Kuwait
6.Oman
7.Brunei
8.Singapore
Nk
Hao magaidi ni zao la nchi za magharibi,na sasa mnapata mkong'oto,wewe na magaidi wenzako.
 
Hivi wasomali siyo waislamu ni wapentekoste, ama ethiopia hakuna waislamu tunayo macho hapa kwetu mbeya wanapita kutwa kucha wanakamatwa tunatoa misaada kuwasaidia hasa chakula na mengineyo wanaenda south kwa sababu ktk nchi zao kwa moto.Jengeni hoja mupone.
 
Dunia nzima chombo pekee kinachotoa taarifa kwa wakati na muda muafaka na za kweli kabla ya vyombo vyote ni ya uarabuni.Iweje watangaze zaidi matukio ya bokoharamu,isis,alkaida,alishabu wasiache kutangaza hayo ya wakristo.
Kama yapo kwanini hayavumi kuliko hayo mengine sababu ni nini?.
Wakristo wauaji wapo lakini si kwa level unayotaka nikuamini.Na si makundi yanayojitambulisha kidini.
Wewe kwa vile lugha ya kiarabu hujui,ndio unafikiria habari zao hazitajwi.Wazungu ndio wanaficha habari za vikundi hivi vya kikristo,lakini kuficha ugonjwa,kifo kitakuumbuwa.Hivi vikundi vya kikristo,pamoja na hivyo vinavyoitwa vya kiislamu,ambavyo waanzilishi wako ni hao hao wazungu.aatp.org>home>religion
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Nadhani kabla ya kuattack iiman ya watu ungeweka ushahidi wa kile unachokisema, usichukue watu wa chache wanaofanya uharifu kwa jina la uslamu na kujumuisha iman ya uislam.
Hivi umewahi kufuatilia historia ya makundi hayo uliyoyataja kwa kina? Yalianzaje? Yaliundwa kwa lengo gani? Na nani anayafadhili ?
 
Hivi wasomali siyo waislamu ni wapentekoste, ama ethiopia hakuna waislamu tunayo macho hapa kwetu mbeya wanapita kutwa kucha wanakamatwa tunatoa misaada kuwasaidia hasa chakula na mengineyo wanaenda south kwa sababu ktk nchi zao kwa moto.Jengeni hoja mupone.
Tanzania tunao wakimbizi wa Rwanda,Burundi,Kongo,hawa pia ni waislamu?Waethiopia sio waislamu,na sio nchi ya kiislamu,ni wakristo.
 
mabinti wengi wamegoma kurudi kwao kwa raha walizokuwa wanapewa na Boko Haram
Siyo raha bali wanaona aibu ya kurudi majumbani kwao.Kama msichana amefanywa mtumwa wa ngono kwa miaka zaidi ya mitatu unafikiri akirudi atapata mwanaume wa kumuoa? Kila mtu atakuwa akimnyoshea kidole na kumsema alikuwa mke wa maboko haramu.
 
Back
Top Bottom