kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Mijamaa shule amna kabisa iulize kpeleka watt madrasa puu!!@!@!!
Kutwa kucha wakimbizi wote toka somalia wanakimbilia marekani,uingereza na ufaransa kwanini wasiende uarabuni?.Tafakari .Aliyekwambiya kwamba wanapigana vita vya kidini ni nani?hao Wagalatia ndio wanawavuruga ..... .wanawafitinisha...ili wagombane..wasiwe wamoja...CHQNZO CHA VURUGU ZOTE DUNIANI NI MAREKANI....kwn nani asiyejuwa kama ADUI namba moja wa WAISLAM PIA NI marekani?akiona inchi ya ISLAM imetulia...anaanza kuifitinisha....mradi tu... Wauane...haya niambie ktk inchi hizo zinazogombana ni.ipi HAKUNA mkono wa MGALATIA HAPO?Afghanistan.. Iraq..syria..misri..libya..SOMALIA..SUDAN.....NK..NA..CHANZO CHA RUSSIA KUVUNJIKA PIA NI YEYE MGALATIA.....alijaribu mapinduzi turky...ikashindikana..
Huko ndy kwenye maisha.. Ha haki za binadamu....hapa nazungumzia marekani ndy ADUI namba moja wa INCHI ZA KIISLAM... au ukubali kuwa KIBARAKA kama SAUD ARABIA... KUWAIT..nk..mtakwenda sawa..KAMA hufati amri zao za KIGALATIA..kazima utokeKutwa kucha wakimbizi wote toka somalia wanakimbilia marekani,uingereza na ufaransa kwanini wasiende uarabuni?.Tafakari .
Chunga sana maneno yako Mungu,hadhihakiwikumbe boko haram walikuwa wanawasiliana na serikali muda mrefu.
lakini kwanini wanashindwa kuwamaliza boko haram?
nakumbuka na ile hadithi ya kwenye biblia ambapo shetani na mungu wanapiga stori na shetani anamuambia mungu naomba nikamjaribu mtu wako lazaro na mungu akamwambia nenda ukamjaribu ila usimuue.
pale ndio nikaja kugundua kwamba mungu na shetani ni marafiki na huwa wanawasiliana.
Amani haitopatikana ila kwa ncha ya upanga. .... asema bwanaSura na aya ya ngapi mkuu?
muslim means peace hao sio waislam ni watu wanaoichafua islamHuo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
Huo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
Hii imani ya ajabu , Mungu anisamehe bure
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Yesu alizaa watoto??Maria Magdalena alikuwa na miaka 7 ..! alizaa nae bila kufunga ndoa alikuwa anazini mkuu
Yaan Yesu alioa kumbe,,mbona tunaambiwa kuwa hajaoamariamu magdalena alikuwa mke halali wa yesu mkuu,babake yesu yaani mzee Joseph akiwa na miaka 85 ndo alimwoa bikra maria akiwa na miaka 10 lakini baada ya kuzaliwa yesu huyo mzee akagundua yesu hakuwa mwanae wa halali kwani kumbe bikra marry alitembea na askari wa kirumi ambae ndo alimpa mimba bikra mary wakati joseph kasafiri na aliporudi kamkuta mkewe mjamzito ndo akaamua kumpa talaka kabla hajaambiwa na mary kuwa ile mimba ni ya roho mtakatifu