Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Sawa...!

Sasa mkuu ni kwanini hawa magaidi, mfano Alshabaab wakiwavamia watu wanaua tu Wakristo tena ambao hawajawakosea chochote?
Si kwamba wanawaua wakrito peke yao. Yeyote atakayekutwa sehemu husika atauwawa. Mfano ni uvamizi wa kenya ktk jengo la biashara na chuo kikuu kimoja huko kenya. Kwa ujumla lengo la marekani ni kuuchafua uislam kwa manufaa yao binafsi. Na hawana urafiki na yeyote asiye mmarekeni. Fuatilia sudani kusini nayo ni magaidi wa kiislam pia?. Nadhani tutaelewana tuu, uislam hauna ugomvi na ukristo kwani maelekezo yote yapo.
 
Eti kwa Mugabe. Yule rais wa kwanza wa Zimbabwe unajua alifanya nini?mnafunganishana ndoa za mashoga na masagaji makanisani. Hatujakataa kuwa ushoga haupo arabuni lakini ni jambo la aibu sio kule kwa mabwana zenu ni ufakhari kuwa shoga. Ushoga upo kila sehemu lakini wenzetu wanaushabikia na kujifakharisha nao.
Hebu nitajie mashoga maarufu duniani na dini zao.Mashoga wengi ni watu weupe si waafrika.Ukiona mwafrika shoga ujue huyo kaharibiwa na hao mabwana zenu.Afrika kwanza takataka nyingine baadaye....
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Kunataifa gani ambalo limewahi kusapoti vitendo hivyo kabla hujalaumu kwamba hawapingi??

Yupo mchonganishi ambaye hata wewe unamjua ambaye ndiye mhusika mkuu wa maafa yote yanayoendelea ktk Nchi ulizozitaja ni taifa lipi ktk hayo ya kikristo yamewahi japo kumnyooshea kidole??

Nyie wenzetu mnachuki sana dhidi ya Uislamu hata mnashindwa kujua uislam na waislam tofauti yake ni ipi..??
Waislamu wachache wakifanya jambo ovu tayari laana zote ni kwa uislamu.
 
Nimependa maelezo yako kwani yanavutia mjadala. Chanzo kikuu cha machafuko ya nchi za kiislam ni marekani. Na hii inasababishwa na kuusoma uislam na kuuelewa wakaona mara ukishika dola hakutakuwa na uharamia wowote ikiwemo riba katika mikopo n.k. bush alipomaliza muda wake alisema hatupambani na ugaidi bali tunapambana na uislam. Kama ni mfuatiliaji wa matukia bush alianzisha kundi la alkaida na alipoamaliza madaraka likapotea, obama ISIS na Bokoharam.Faham raisi wa nigeria m.buhari liimbo marekani imsaidie kumaliza kundi la boko haram wakakataa. Uislam uko wazi na hauna ugomvi na ukristo. Haya ni mambo ya kupangwa tuu. Kuna watu hawalali kupanga mikakati ya kuangamiza uislam.lkini kwa kuwa ni dini ya allah hawataweza.
Ndgu tunajua mmarekani alivyo.
Mmarekani alipomvamia iraq mataifa yote ya kiislamu hakuna hata mmoja aliyeinua majeshi yake kumsaidia sadam kama siyo unafiki ni nini?.
Tunachotaka ni kusikia nchi za kiislamu zikilaani makundi haya yanayofichama kwa imani na mgongo wa kiislamu ili uislamu usiendelee kuchafuliwa.
Tambua kuwa kama dini zilizopo ktk nchi yoyote zikikosa amani vivyo hivyo taifa lao hukosa amani na huingia ktk vita.Ikiwa ktk nchi yoyote dini zao miongoni mwao amani ikiwepo basi amani hiyo huflow kutoka ktk dini zao(misikitini na makanisani) kuelekea ikulu na kuzaa taifa teule.
Ili amani ktk nchi za kiislamu iwepo lazima ktk misikiti yao kuwe na amani.Kwa kuwa ktk misikiti yao amani haipo ndiyo maana wamegeuza hekalu za Mungu kuwa mapango ya njama ovu ya kumfukufuru Mungu.
Mwenyezi Mungu ktk uislamu amesema mahali popote penye mabishabano,malumbano ya kidunia,mapigano na makwazo yeye huwa hayupo.
Hivyo basi nchi zote za kiislamu na zisizo za kiislamu kama zipo mnaopigana na kulumbana ibada zenu ni batili.
Bado naamini ugaidi unaanzia msikitini na bado naamini amani itaanzia msikitini ili nchi hizo ziwe huru.
 
Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Kweli,maana
Sudan Kusini
Kongo
Ireland ya Kaskazini
Kaskazini Uganda
Mauji ya Kimbari Rwanda
Korea Kaskazini
Kote huko ni waislamu,ndio wanauwana.
 
Imani siku zote ni kitu chenye nguvu sana tena kuliko kitu chochote duniani, kwenye BIBILIA kuna mistari mingi imeelezea nguvu ya imani,inaelezea jinz imani ndogo inavyoweza Fanya mambo makubwa.

Je unafikiri kama mtu anatokea na kuamini uovu kwa imani kubwa nini madhara yake?

KAMA KILA MTU ANGEAMKA NA KULIFANYIA USAFI ENEO LAKE DUNIA YOTE INGEKUA SAFI
 
Watumwa wa kifikra wamekomaa kutetea mambo wasiyoyajua chimbuko lake.Mababu watusamehe bure..
 
8bb3e99696b4b873c437e3b486a3e399.jpg
. Soma hii Qur'an 5:51
Ongezea na Luka 19:27
 
Hii dini nina wasiwasi nayo!! Matendo yao yote ni ushetani mtupu
Sudani Kusini,wanauwana na ni wakristo watupu.Ireland ya Kaskazini,wakatoliki na waprotestant,wanauwana na ni wakristo watupu.Kongo wanauwana na ni wakristo watupu.Dini inahusika vipi na matendo ya mtu binafsi.
 
Nimependa maelezo yako kwani yanavutia mjadala. Chanzo kikuu cha machafuko ya nchi za kiislam ni marekani. Na hii inasababishwa na kuusoma uislam na kuuelewa wakaona mara ukishika dola hakutakuwa na uharamia wowote ikiwemo riba katika mikopo n.k. bush alipomaliza muda wake alisema hatupambani na ugaidi bali tunapambana na uislam. Kama ni mfuatiliaji wa matukia bush alianzisha kundi la alkaida na alipoamaliza madaraka likapotea, obama ISIS na Bokoharam.Faham raisi wa nigeria m.buhari liimbo marekani imsaidie kumaliza kundi la boko haram wakakataa. Uislam uko wazi na hauna ugomvi na ukristo. Haya ni mambo ya kupangwa tuu. Kuna watu hawalali kupanga mikakati ya kuangamiza uislam.lkini kwa kuwa ni dini ya allah hawataweza.
Buhari inaonekana ana mkono kwenye kundi la boko haram, kwani kuanzia awe raisi hili kundi ni kama halipo tena. Hii inatia wasiwasi ukizingatia kuwa hakuna shambulizi lilifanywa na serikali uliseme liliwapa pigo hawa magaidi. Kuamini nchi ya kiislam ndiye yenye na haki kuliko nchi nyingine hakuna mantiki. Somalia na uislam ilikuwa kama ya pili kwa rushwa Africa.
 
TAtio ni kwango chako cha uelewa. Ndiyo sabbu unamwita shetani Mungu!
Waislsan bwana, sijui mtu akijiung ahuko shetani huwa anakwngua akili zote!

Halo, ebu ishia bwana.
Uandishi wako ni kiashiria cha kupanic. Sina haja ya kuendelea na mjadala
 
Hivi kuna magaidi ya kikristo yanayo chinja hinja ili yachafue ukristo?
Wengi sana,Ireland ya Kaskazini,waprotestant na wakatoliki,wameuwana na kuchinjana,mpaka vyombo vya habari vimechoka kutangaza.
 
Wakristo wamesimama kupinga ushoga duniani kote hata marais ktk nchi ambazo ni christian majority wamepinga vikali mfano zimbabwe kwa mugabe.Nchi nyingi za kiislam ambako sheria za kufanya mapenzi kabla ya ndoa ilikuwa ni kosa la jinai ndiko ushoga ulianzia ila wengi hawajui.
Pwani yote ambayo ni muslim majority ndiyo matukio hayo ni mengi na ushoga umetokea zanzibar na kusambaa pwani yote.
Wazungu nao wanaujua vizuri ila ulikuja muda mrefu sana na ulifichama zanzibar kwa waislamu.
Ni vema wote bila kujali itikadi tukapinga haya maovu ila waislamu muwe mbele nasi tuwafuate.
Hakuna la kweli hata moja ktk haya uliyoyasema...

Tatizo lililopo Uislamu unapingwa vikali na mataifa makubwa na yenye nguvu duniani, hivyo imekuwa rahisi kupenyeza fikra chafu kwa watu ili tu uislam/waislamu waonekane kituko ktk jamii, ndio hizo propaganda zikaenezwa!!

Angalia porn vid ktk mitandao utaona huo uchafu wote umekithiri ktk mataifa yenu hayo pendwa!!

Nchi za kiislamu zote zinasifika kwa kumstiri mtoto wa kike kimavazi na kiakili, lakini nyie ndio wa kwanza kushambulia, hebu tugeukie huko kwenu.. Sio ajabu kukuta baba, mama watoto na wajukuu wanaoga pamoja uchi kabisa baharini.. Ukweli lazima usemwe!!

Turudi hapa hapa kwetu Tanzania, angalia, chunguza mikoa inayokaliwa na waislamu wengi na ile ya wakristo wengi, utagundua ukatili, mila za kishenzi zimetawala sana ktk mikoa hiyo inayokaliwa nanyi wenzetu.. Nyie wenzetu ustaarabu kwenu ni sufuri kabisa na ndio chanzo cha haya yote!!

Uislam ni dini ya kimaumbile, dini inayomuandaa mtoto hata kabla hajazaliwa awe wa aina gani, nikiri kuwa elimu sahihi ya uislamu imekosekana kwa miaka mingi hivyo kupelekea kuingizwa mambo yasio ktk misingi ikaitakidiwa kuwa ni sehemu ktk uislamu.

Wanaharakati wametuharibia sana dini yetu. Ila na nyie muwe mnachambua mambo kidogo, tofautisheni kati ya UISLAM na WAISLAM..!!
 
Hao watoto watakua wamepigwa sana p..mbu na hawa magaidi. Yaan umezaa mtoto lijitu limemchukua for three years linakula tu mzigo.
 
mabinti wengi wamegoma kurudi kwao kwa raha walizokuwa wanapewa na Boko Haram
Mpeleke mwanao huko naye akapate raha.

Ama uwaunganishe na wenzako wale wanaovuka border kuelekea somalia kwa alshabaab halafu wanakuja kuleta shida rufiji,Amboni na kote Pwani ya Tanzania
 
Magaidi
wanachafua Uislamu
Mi ni Mkristo, najua kuwa wako waislamu ambao ni wema sana,
tena baadhi ya Waislamu ni wema kuliko baadhi ya Wakristo.
Namaanisha wako Waislamu wanafanya matendo mema kuliko baadhi ya wanaojiita "sisi ni Wakristo"
Ila haya makundi ya kigaidi yanachafua Uislamu hata yanafanya baadhi yetu tusiwaamini baadhi ya waislamu
Haya magaidi Sera yake kuu ni
Kutawala dunia kwa kutumia miongozo ya Qurani.
Mara nyingi huwateka Wakristo na kuwachinja eti sababu kuu ni kuwamaliza, wasiwepo hapa duniani kwa kusingizia wanabariki matendo maovu kama Ushoga.

Kule Kenya chuo kikuu cha Garisa Al Qaida waliwatenganisha Waislam na Wakristo, kisha wakawapiga risasi na kuwaua Wakristo na kuwaacha Waislam.
Huwa wanawatenganisha kwa kuwaambia wasome sura fupi za Qurani kama Sura Fatiha au wataje nguzo tano za uislam au kwa kukiri kuwa ni dini gani, wakishindwa basi wanawachukulia kama wakristo.

Haya makundi yanachafua sana Uislamu. Wanapochinja wana mwita Mungu kwa jina la Allah.
Wakifulahia ushindi wanapiga Takbir kama wanavyofanya Waislam
Ukiwauliza wanasema wao ndo wanafuata maagizo ya Qurani na Uislamu kwa usahihi, bila woga na wanapigania maadili ya dini hiyo yasivunjwe.
Ninachoshangaa wanawakamata na kuwachinja Wakristo lakini waumini wa dini nyingine kama, Wahindu, Wabudha, Wapagani hawana ugomvi nao, hawa wadhulu kwa namna yoyote.
Adui yao ni Mkristo sababu haijulikani kwani ninavyojua Mkristo hapendi Ushoga, Wizi, Ugonvi, na matendo mabaya kwa ujumla.
Siyo kila jengo linaloitwa kanisa ni nyumba ya ibada ya Wakristo.
Kuna kanisa la Lusifer, Warastafarian, Wamomoni, Wapinga Kristo nk.
Ambayo baadhi ya hayo ndiyo yana fanya vitendo viovu kama kuozesha Mashoga na Wasagaji.

Kanisa la Kristo linafuata Maagizo yaliyofundishwa na Yesu Kristo na ndilo wanalo sali Wakristo, kama Wakatoriki, Walutheli, Wasabato, nk
Siyo kila kanisa, ni la Kristo.

Nina waomba ndugu zangu Waislamu tusiwaendekeze magaidi,
mara kadhaa wanawachinja hata Waislamu wenzao kwa kusema hawaipiganii dini inavyopasika.

Magaidi wanachuki na Wakristo na hawaelezi chanzo cha chuki zao.
Hakuna mahali Ukristo unaruhusu matendo maovu kama Ushoga
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hawa jamaa wamejificha kwenye kivuli cha uislamu lakini uislamu haufundishi ugaidi.Cha muhimu kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu ni kuwa,waislamu watumie nguvu ya ziada ili kujipambanua na ugaidi kwani kiukweli wameuchafua sana na wasioelewa ambao ni wengi wanaamini kuwa magaidi ni waislamu.
Magaidi ni waislam hilo liko wazi kabisa na ndiyo maana hakuna mwislam yeyote anayeweza kujitokeza kuupinga na haijawahi tokea, kama wanaona kwamba hao ni watu wanaowachafua waislam kwanini wasipambane nao? Badala yake huwa wanawasupport na kuwashangilia. Hawa jamaa IQ zao ni ndogo sana wanadhani wanaweza kutudanganya sisi tuamini kama ugaidi siyo uislam.
 
8bb3e99696b4b873c437e3b486a3e399.jpg
. Soma hii Qur'an 5:51
Aya yoyote unayoiona katika Qur'an,imeandikwa kwa sababu maalumu na na wakati maalumu.Hiyo aya haihusiani na sasa,hiyo iliandikwa wakati hao walikuwa maadui wa kuwapiga waislamu na kuwavamia waislamu,sasa kulikuwa na waislamu,ambao sio waislamu wa kweli wakipeleka siri za waislamu kwa hao watu.
Ni sawa sisi Tanzania wakati wa Idi Amini,Uganda alikuwa adui wetu,kipindi chote cha utawala wake,alipoangushwa katika utawala wake,maandishi yanayohusina na uadui wa Uganda kwa Tanzania,hata kama yapo,lakini sasa sisi sio tena maadui na Uganda.Kwa sababu kipindi kimepita cha uadui huo,haupo tena.Tumia akili unaposoma maandiko yoyote.Ujuwe kwa nini andiko hilo liko,ni kama andiko la Yesu
"Asiye na upanga,auze koti anunue mmoja".
Andiko hili ukilisoma juu juu,utaona Yesu ni mtu chinja chinja,anaamrisha wafuwasi wake,wauze makoti wanunue silaha.Na kazi ya silaha ni uwaribifu na uchijanji,kumbe sivyo.
 
Back
Top Bottom