Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

Mimi nataka ujenge hoja kwamba bokoharamu ni wapentekoste siyo waislamu ,isis siyo waislamu nimashahidi wa yehova,alshababu ni warc siyo waislam,alkaida ni wamoravian siyo waislam hapo nitakuelewa.
Kuvaa vazi refu kwa mwanamke bila kuvaa chupi haisaidii,kuficha uso wakati macho yanaona hakukuepushi usishawishike na unayoyaona.
Kufunika masikio yasionekane haimaanishi kuwa husikii unapoitwa ama kutongozwa,kutengana wakati wa ibada hakuzuii tamaa isipenye.
Huwezi kuzuia tamaa kwa kujenga ukuta,kuweka walinzi,kuvaa dela na mbwa wakali.Tamaa ikikuingia hata uwe ibadani utaanza kumuwaza hadija wa marekani na jane wa uswisi hata mawazo ya kumsikiliza shehe wala mchungaji hayatakuwepo tena.
Tamaa hutenganishwa na mindset yako pekee na siyo hayo mavazi.Mnatenda dhambi sirini lakini matokeo yanakuwa hadharani.
Tunajua leo wanawake wakibeba mimba zanzibar bila ndoa mnawatesa nusu ya kuua na ndio maana mkiwabebesha mimbanawaleta bara wajifungue na kuishi huku.Tunaona mengi.Nataka ujenge hoja niko nawe kolikoli.
Hoja ya msingi ni kwamba kuna tofauti ya UISLAM NA WAISLAM, UKRISTO NA WAKRISTO, suala la nani anafanya nini haliwezi kujumuisha jamii mzima kuwa ni waovu/wema!!

Ugaidi sio dini japo matendo yake yanaweza kuakisi itikadi/kisasi ktk dini.

Gaidi anaweza kuwa muislamu, mkristo na hata asiyekuwa na dini au wa dini nyinginezo...

Makundi uliyoyataja yanajinasbisha na uislamu ila uislamu uko dhidi yao kwa hakika, lakini pia yapo makundi ya kigaidi ambayo hayajinasbishi na uislam.. Rejea matukio ya kogaidi AFRIKA YA KATI. Hatuwezi kuwahukumu wao kwa dini yao aslan.
 
Wakristo wamesimama kupinga ushoga duniani kote hata marais ktk nchi ambazo ni christian majority wamepinga vikali mfano zimbabwe kwa mugabe.Nchi nyingi za kiislam ambako sheria za kufanya mapenzi kabla ya ndoa ilikuwa ni kosa la jinai ndiko ushoga ulianzia ila wengi hawajui.
Pwani yote ambayo ni muslim majority ndiyo matukio hayo ni mengi na ushoga umetokea zanzibar na kusambaa pwani yote.
Wazungu nao wanaujua vizuri ila ulikuja muda mrefu sana na ulifichama zanzibar kwa waislamu.
Ni vema wote bila kujali itikadi tukapinga haya maovu ila waislamu muwe mbele nasi tuwafuate.
Tuwe mbele ??? unataka mutuweke mbele nyie muwe nyuma yetu aaaahhh hiyo michezo yenu hapana mmzoea kuwekana midume mbele midume nyuma hiyo huku hapana. Mkitaka tuwe bega kwa bega
 
Nani kasema ushetani haupo? Ushetain upo, kama vile uchawi utaendelea kuwepo hadi Yesu atakapokuja kuwahukumu!. Ungelikuwa na ufahamu sahihi, ungegombana na waislam hao unaoema wanaharibu uislam ndani ya usilam. Sasa ukanza ku attack watu wanaoona ushetani mtupu, na wewe unayeona wanamsingizia mungu wako, bado hudiriki kutengeneza jambo la kuwazuia, kwa nini tusiamii kwamba uboko harabu na hayo mengine ni matawi ya uislam ambao hata mafundisho yake yameamurisha kufanya ushetani?

Wewe pigana na hao wanaokuchafua kama vinogozi wako watakubali. Inavyoonekana wewe ni mpchanga sana katika hili eneo. Waasisi wako, hao walio kwenye chungu, wananodoto za kuondoa watu wengine wote duniania wabaki peke yao. Na huo ni mkakati tu wanafnay.

Kwamba wakiwa sehemu ambayo wanazidiwa nguvu, wawe wapole na waonyeshe ushirikiano.

wakiwa sehemu wako wachache, waonyeshe upole and ushirkiano.

Sehemu wakipata nguvu, na wakiwa wengi, waanzishe vita vya kuhakikisha wanabadili watuwote kwa mapanga ama kubadki peke yao.

MIfano hapa tz. Wakti wa mwal. kwa sababu aikuwa mtu mwenye macho ya ndani ya nje, wakati huo mkiwa wachache sana, mliishi na binadamu kama watu bila kuwa na nia ovu na tulishirikian wote kwa upendo kama vile wote tu ni watu wa Mungu.

Baada ya nyerere, mkaanzisha mambo kwa kujua mmepata nguvu, tukaona na nyaraka za Kigom. Mlaima zinakwenda kwa tilte za "Huu ndio wakati wetu".

Mara tunaona maanznisha na vurugu za vita vya maguruwe kwa uwongo uwongo tu,. Hivi asingekuwa Mrema Augustino, mngetufikisha wapi? Mkaanzisha ma mihadhara ya matusi, kwa fujo sana mkidhani mmebak i peke yenu sasa, mkasahau kwamba kichwa bila mwili hakiweza kufanya yote.

Baadae tena hapo kati kati mkabaki mmedumaa baada ya kugundua kwamba kumbe hapa kwetu ninyi hamjafikia kimo ch akuanzisha fujo.

Tumeona hatua iliyofuata tena mkaja na mengi sana hadi kuchinja Mchungaji kule geita kwa sababu tu amehubiri washirkia wake "Wachinje mifugo yao, na wale wenyewe". Tumeona mmefanya mengi ya kipumgavue na bile watu wa Mungu, sijui ingekuwaje. Tumeona namna kichwa chenu kilivyoua elimu nchini eti kuwapa anfasi na nyinyi muwe wengi. Lakini uwezo mdogo na ndiyo sababu mnapwaya sana.

Mmeanzisha mambo mengi sana ikiwa na kuwaambia vijana wenu wa kike na wakiume waolewe ama waoe wa Kristo ili muwapunguze kwa idadi, na kisha mzae watoto wengi ii muongezeka. Kuna wengi waliotimiza hili jukumu walituzwa na fedha si kwa sababu ya kuwasaidia katika sherehe za arusi ama ndoa, bali ni kuwapongeza.

Mkajigundua bado mnapwaya, mkaanzisha shuruti eti kwenye sensa kuwe na tawkimu za dini!. Nani hakujua nia yenu? Eti mkantaka ujua mmekuwa wengi kiasi sgani mijpange kwa vurugu. Mengine ninaficha sitaki kuwapa faida.

Ninaomba nisizungumze mengi.

Kwa ufupi, mnatakiwa kushawishi dunia kwmba hizo vurugu si sehemu ya usislama. Mnavyozidi kuwa attack watu wanaolalamikia mienndo yenu ya vurugu, n akuwalinda hayo matawi yenu ya growth and sustainability (those who are waging war), mnazidi kuonyesh adunia kwamba ninyi ni tatizo kwa ulimwengu.

Njooni na matusi yenu, ambayo ndiyo karama yenu kubwa hapa mtukane kwa kuwa ni ibada kwenu, lakini kamwe hamtaubadilisha ukweli kwamba "shetani kazi yake ni kuiba, kuchinja na kuharibu', na kwamba kwake hakuna amani, na diyo sababu kila mahala alipo, (kwa maana ya wafuasi wake, wanaotumia roho zake shetani), hapana amani.

Asomaye na afahamu, na mwe macho haambiwi tazama.
Huu ni upuuuzi ambao si kutegemea utaandikwa na mtanzania. Hujui lolote wewe ndio mbaguzi
 
Tuwe mbele ??? unataka mutuweke mbele nyie muwe nyuma yetu aaaahhh hiyo michezo yenu hapana mmzoea kuwekana midume mbele midume nyuma hiyo huku hapana. Mkitaka tuwe bega kwa bega
Kama ugaidi waislamu na wakristo wote ni watuhumiwa tutakuwa bega kwa bega kuupinga lakini ikiwa waislamu ndiyo watuhumiwa ktk hiyo kashfa basi sisi webgine tutakuwa nyuma yenu tukiona mnapinga hadharani kuwa hamhusiki.
Tuwe mbele wakati njia hatuijui.
 
Yaaani sisi waafrika jamani tupotupo tu duniani yaani kama wale nyumbu wa serengeti na masai mara.
 
Boko haramu inaonekana wanawatunza vizuri hao waschana
Wanaonekana wana afya njema
Sasa hao wengine wanaowashikilia watawatoa lini na kwa masharti gani ?
Nampongeza Buhari (raisi wa Nigeria) kwa juhudi alizo fanya hadi waschana wakawaachia, ajitahidi waachiwe wote
Raisi Jonathan, wa zamani wa nchi hiyo, alifanya uzembe sana kutokutii masharti ya Bokoharamu
 
Kama ugaidi waislamu na wakristo wote ni watuhumiwa tutakuwa bega kwa bega kuupinga lakini ikiwa waislamu ndiyo watuhumiwa ktk hiyo kashfa basi sisi webgine tutakuwa nyuma yenu tukiona mnapinga hadharani kuwa hamhusiki.
Tuwe mbele wakati njia hatuijui.
Yaani wewe huoni ugaidi unaofanywa na nchi za magharibi? Hao waliopo kwenye migodi yetu hapa nchini ni waarabu. Waliowaua wacongo milioni 10 mauaji ambayo hayazungumzwi wala hayakuwekwa kwenye historia ni waarabu. Aliewaua wayahudi milioni 6 ni waarabu. Aliewaua wairaqi milioni 1.5 kwa mabomu ni waarabu. Yaani tukihesabu ugaidi uliofanywa na mataifa ya magharibi hatumalizi na leo. Lakini hamuwaoni. Na hao magaidi kuonyesha kuwa si waislamu ni kuwa watu waliouliwa na wao 99.9% ni waislamu wenzao. Cha ajabu alshabab wakifika kenya eti wanaua wakristo lakini wakiwa somalia wanawaua waislamu. Kea sababu mnapenda na mumepata sababu ya kuupaka matope uislamu endeleeni na uislamu hautayumba
 
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na kukubali masharti ya kundi la Boko Haram la kubadilishana wafungwa na mabinti waliotekwa
Ni miaka mitatu sasa tangu mabinti hao walipovamiwa shuleni kwao na maharamia wa Boko Haram katika mji wa Chibok ...kwa muda wote huo wazazi na hata ndugu waliishi kwenye sintofahamu kubwa kuhusiana na mustakabali wa watoto wao
Wamepitia mengi pengine mabaya kuliko mazuri.. Hakika wanaorudi sio wale walioenda kiufahamu na hata kiumri.... Walifundishwa mengi kwa nguvu, walifanyishwa kazi za kitumwa na walikuwa watumwa wa ngono kwa sehemu kubwa
Ni kushukuru kuwaona hai tena ni jambo la furaha sana lakini wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kisaikolojia ili waweze kurudi katika hali yao ya awali., kimwili kiafya na kiakili
Sisi tunamalizia wiki kwa majonzi wenzetu wanamalizia kwa furaha
Kifo na uzima vyote hutokea kwa wakati mmoja... God knows better
d8aec10fab91d118d68008633cab7580.jpg
mabinti ndo wamesema hivyo kwamba waliishi kitumwa ,kufanywa ngono kwa lazima au ni fikra zako kutokana mazingira?
 
Yaani wewe huoni ugaidi unaofanywa na nchi za magharibi? Hao waliopo kwenye migodi yetu hapa nchini ni waarabu. Waliowaua wacongo milioni 10 mauaji ambayo hayazungumzwi wala hayakuwekwa kwenye historia ni waarabu. Aliewaua wayahudi milioni 6 ni waarabu. Aliewaua wairaqi milioni 1.5 kwa mabomu ni waarabu. Yaani tukihesabu ugaidi uliofanywa na mataifa ya magharibi hatumalizi na leo. Lakini hamuwaoni. Na hao magaidi kuonyesha kuwa si waislamu ni kuwa watu waliouliwa na wao 99.9% ni waislamu wenzao. Cha ajabu alshabab wakifika kenya eti wanaua wakristo lakini wakiwa somalia wanawaua waislamu. Kea sababu mnapenda na mumepata sababu ya kuupaka matope uislamu endeleeni na uislamu hautayumba
Hatuna mpango wa kuyumbisha uislamu maana waislamu ni ndugu zetu wa damu ila matendo ya makundi hayo yanayojinasibu kuwa waislamu ni wapendwa wenzao ndiyo yanayofanya tuseme haya.
Kenya magaidi kabla ya kufanya lolote walisema waislamu wote waondoke haraka sasa wewe unataka ushahidi upi.
Basi acheni kutumika na nchi za magharibi kama ni kweli.Iweje bokoharamu iwe ya mmarekani iwatumie waislamu kuua ilihali imani yao inakataza mauaji inahamasisha upendo.
Uislamu hauko kama matendo ya hao magaidi tunajua sasa semeni hapana mubashara tuwaelewe.
 
Huo ndio uislam. Kuchinja, kuiba na kuharibu. Hawana watoto? Au wameambiwa waache watoto ili waongeze nguvu kwenye kundi hili la mashetani?
huu ni uislamu ni kauli yako wewe ,naona unamwaga mboga sasa acha tupige teke na sufuria lenyewe...boko wamefanya haya wakishinikiza wenziwao watoke je MAPADRI "WANAOWALAWITI" WANAOWALAWITI WATOTO "WAKIUME" TENA "KANISANI KANISANI " NDO UKIRISTO????acha upuuzi wewe mshamba ulojawa chuki ya dini
 
Jamaa wapiga vitu mpaka wamezalisha ndio wanawaachia hapo hakuna binti tena kuna Agent wa Boko haram
 
Na ikiwa kweli nchi za kiislamu zina upendo kwa wapendwa wenzao kwanini wasomali ambao ni waislamu wanakimbilia south afrika ili waende uingereza,marekani na ufaransa kiurahisi wasikimbilie oman,afghanstan,palestina na dubai?.
Ujue waalipo wakristo ni amani tele na hata juzi raisi wa marekani amewapiga bann marufuku waislam kukanyaga nchini mwake mpaka mtakapoacha ugaidi.
Kwanini hajawazuia wa nchi za kikristo?.Tafakari chukua hatua mlango uko wazi.
Itakuwa uelewa wako mdogo sana.Huko nchi za kiarabu,Dubai,Oman,Katar,Kuwait,nk,Wakimbizi wa kisomali,wakiethopia,wapo wengi sana.Na hizo nchi za kiislamu,zinatoa mchango mkubwa katika mashirika ya umoja wa mataifa,likiwemo shirika la UN,la wakimbizi,michango hiyo ndio inayotumika dunia nzima kuwahudumia wakimbizi.Kwa hiyo hata mkimbizi,akikimbia nchi za ulaya,anatumia miongoni mwa michango na misaada kutoka nchi za kiislamu,kupitia shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa.
Na lazima pia ujuwe,wapo wakimbizi wa aina mbili,wapo wakimbizi ambao hawakujihusisha na siasa wala chama cha siasa, wale wanakimbilia nchi jirani,kwa kukimbia vita au machafuko.
Lakini mkimbizi,aliyejihusisha na siasa,kwa kuhfia usalama wake,na familia yake,ndio hukimbilia nchi za mbali,ambazo anaamini madui wake,hawezi kumfuatilia,yeye na familia yake.
Kwa hiyo ufahamu,na uelewe ni mikataba ya umoja wa mataifa,pamoja na michango inayolipwa na nchi wanachama wa umoja wa mataifa,zikiwemo nchi za kiislamu,zinazolipa michango hiyo,ambayo michango hiyo inatokana na hao hao wakimbizi,walipokuwa wakifanyakazi katika nchi zao,na kulipia kodi na gharama kadhaa serekalini.Kwa hiyo nchi iminazopokea wakimbizi,sio hisani,ni mikataba waliotia wenyewe hizo nchi,na pia wanapata michango kutoka hizo nchi zenye wakimbizi,kupitia Un, kitengo cha wakimbizi.
 
Back
Top Bottom