MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Na ikiwa kweli nchi za kiislamu zina upendo kwa wapendwa wenzao kwanini wasomali ambao ni waislamu wanakimbilia south afrika ili waende uingereza,marekani na ufaransa kiurahisi wasikimbilie oman,afghanstan,palestina na dubai?.Wewe umechelewa kweli,makundi ya kigaidi yapo katika ukristo mengi tu duniani na yasiyokuwa wakristo pia wapo..
1.Army God,mkubwa wako ni Scott Roeder
2.Eastern Lightning,the church of almighty God,Zang Lindog,mkubwa wao,,ameshauliwa yeye na Bint yake,walikuwa magaidi.
3.The Lord Resistance Army (LRA)
Mkubwa wao Joseph Kony..
4.The National Liberation Front of Tripura(NLFT).Hawa ni kikundi cha kikristo kiko India,cha kigaidi,kiliwahi kuwa wahindu,zaidi ya 30,wakati wakifanya ibada zao za kihindu (durga buja).Ni waprotestant.
5.The Phineas Priesthood
Hawa ni kikundi cha wazungu,cha kigaidi.
6.Ku Klux Klan.
7.Aryan Nations
8.Phineas priesthood
9.The Concerned Christians,hawa ni wakristo,wanaowauwa Jews,ili waingia ukristo kwa nguvu.
Kwa vile vyombo vya habari,vikubwa duniani,vinamilikiwa na wa Magharibi,habari za magaidi Hawa hazitangazwi kwa wingi.Mpaka upate vyombo vya habari,vyisivyopendelea upande wowote,ndio utapata habari zao.
Ujue waalipo wakristo ni amani tele na hata juzi raisi wa marekani amewapiga bann marufuku waislam kukanyaga nchini mwake mpaka mtakapoacha ugaidi.
Kwanini hajawazuia wa nchi za kikristo?.Tafakari chukua hatua mlango uko wazi.
