TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Sukuma Gang wanateseka sana lakini hakuna namna wataweza kuingia ikulu pasipo kutubu dhambi zao, dhambi kubwa ikiwa jaribio la kumuua Tundu Lissu kwa maelekezo ya kiongozi wao aliyekufa. Mungu anawaona.
Msiba hauombolezwi kwa kukumbusha wengine misiba yao, lia utoe uchungu wote kifuani mwako, kuondokewa na jasusi ni msiba mzito lia lia kifua kiwe chepesi, ni wakati wa maombolezo
 
Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!
Well said buddy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom