Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Ahsante kwa takwimu na maelezo mazuri.
Naamini praise team wakituliza vichwa vyao watakuelewa.
Naamini praise team wakituliza vichwa vyao watakuelewa.
Propaganda zitakuuwweni nyie wanafunzi wanakaa chini, purchasing Power imepungua, demokrasia imekufa,export imeshuka, uwekezaji toka nje umepungua,vyoo tunategemea misaada, uchumi upi wa Kati huoLeo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati
Sisi ni matajiri
Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020
============
View attachment 1494690View attachment 1494691
Kama kuwa kwenye uchumi wa kati wenye nchi tunakuwa na hali hii, bora tu tungekuwa kule kule kwenye ahueni kuliko huku. Ugali moto mboga moto😚Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati
Sisi ni matajiri
Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020
============
View attachment 1494690View attachment 1494691
Tuko sawa na DRC kwenye list!
Unajua tofauti ya Lower Middle Income na Middle Income, BBC na Aljazeera ni vyombo vya kimataifa zinafatiliwa na wachumi wa kimataifa haziwezi kulishwa matango pori kama inavyolishwa TBC.Ndio unataka kusemaje hapo mkuu.
Translator ni MakondaLabda hakuelewa kilichoandikwa, na pia inategemea aliye watafsiria hiyo taarifa kwa kiswahili alikuwa nani.
Kasome tweet yake utapata majibu.Hivi Magufuli ndiye aliyetangaza TZ kuwa middle income au ni WB? Kwa nini anashambuliwa Magufuli?
Amekuacha hoi vipi.hapo?ELEWENI 2014, GDP per capita ya Tanzania ilikuwa $ 1,030 IKASHUKA ikawa $947 2015. Leo tunambiwa tuko $1,090. Tumepanda kwa $40 Kwenye miaka 6. Tunashukuru sana Mh. Rais. Tukiendelea hivi 2025 GDP per capita itafika $1,130. Kwa mwendo HUU tutakuwa tajiri baada ya miaka 150-Fatma Karume on twitter
Masikio yangu mabovu?nilichosikia umekua kufikia $4,045
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "