Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Ahsante kwa takwimu na maelezo mazuri.
Naamini praise team wakituliza vichwa vyao watakuelewa.
 
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

View attachment 1494690View attachment 1494691
Propaganda zitakuuwweni nyie wanafunzi wanakaa chini, purchasing Power imepungua, demokrasia imekufa,export imeshuka, uwekezaji toka nje umepungua,vyoo tunategemea misaada, uchumi upi wa Kati huo
 
Kuwaacha watu wanapotosha, Vyombo vya habari vinageuka vuvuzela na wanasiasa wana tumia tangazo LA World bank kupongeza na wengine kuponda sio jambo jema kwa taifa.
Kwa nini serikali inashindwa kutoa ufafanulizi wa maana halisi ya nchi kuwa katika LOWER-MIDDLE INCOME ECONOMY (ambalo ni kundi TZ tupo) na MIDDLE INCOME ECONOMY (lengo la TZ kufikia 2025)?
Sasa kila mtu anasimama kusifia kuwa lengo limefikiwa wakati sio kweli. Magazeti nayo yameingia kwenye kundi la kupotosha habari hiyo, jee ni kwa manufaa ya nani?
Tunaposema uongo wakati balozi za nchi wahisani zipo zinauona uongo, mashirika ya kimataifa yatoayo misaada na mikopo yanatuangalia tunajiweka kundi gani?
Masuala ya uchumi tuyachukulie kitaifa na sio kivyama tutakwama.
 
Nimechekaaa.

Yaani una kijiba cha roho...na wivu!!?

Aliyetangaza uchumi wa Kati Ni benki ya dunia...jitahidi ujue wanaposema uchumi wa kati wanaangalia nini?

Polepole usije ukapaliwa!!!
 
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

View attachment 1494690View attachment 1494691
Kama kuwa kwenye uchumi wa kati wenye nchi tunakuwa na hali hii, bora tu tungekuwa kule kule kwenye ahueni kuliko huku. Ugali moto mboga moto😚
 
Ndio unataka kusemaje hapo mkuu.
Unajua tofauti ya Lower Middle Income na Middle Income, BBC na Aljazeera ni vyombo vya kimataifa zinafatiliwa na wachumi wa kimataifa haziwezi kulishwa matango pori kama inavyolishwa TBC.
 
ELEWENI 2014, GDP per capita ya Tanzania ilikuwa $ 1,030 IKASHUKA ikawa $947 2015. Leo tunambiwa tuko $1,090. Tumepanda kwa $40 Kwenye miaka 6. Tunashukuru sana Mh. Rais. Tukiendelea hivi 2025 GDP per capita itafika $1,130. Kwa mwendo HUU tutakuwa tajiri baada ya miaka 150-Fatma Karume on twitter
Amekuacha hoi vipi.hapo?
Kila mtu ana takwimu zake,ni vizuri mkajibishana na WB sio Tanzania iliotangaza naona mmechukia sana
 
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "

Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali

Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa kuongoza vyema Tanzania kupeleka uchumi wakati

Sisi ni matajiri

Soma pia: World Bank to officially declare Tanzania a Middle Income Country (MIC) on July 01, 2020

============

View attachment 1494690View attachment 1494691

Walitumia Kipimo gani kujua huo uchumi wa kati? Acheni kudanganya watanzania kwa makaratasi kwenye meza kwanza boresheni hali za maisha ya watanzania angalau wapate mlo 1 bila ya shida kwa suku.

Hali ya maisha inazidi kudorora kila uchao, hela mifukoni hamna, matibabu ni shida bado kuna matabaka ya wenye nacho na wasionacho kwanza mungeboreaha hizi hali ndio mkaja na hayo maneno kwenye makaratasi.
 
If it’s not accurate a lower middle a middle hiii angewachia watu wa propaganda

Hiii lower middle status tumekua nayo kwa muda Sasa

Ni kupenda sita tu na kutotaka kutambua juhudi za mtanguulizi wake hata kama mapungufu yalikuwako

Mfano juzi anasema “nimeingia madarakani nikaona haja ya kuwa na SGR ( ya umeme)”

Lakini watu wanajua kuwa alipoingia alikuta mwenzake ashawapa wachina kazi ya kujenga Reli ...alichofanya akawaweka Ndani watu wote waliohusika na mradi wa SGR Kikwete hadi leo wako ndani Alafu akaanza wa kwake ambao ni ghali zaidi na unaumiza Sana budget kwakua hakuna component ya mkopo
 
Back
Top Bottom