BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

Hatuwezi wote kuwa na akili kama ya kwako kwa vile mimi siyo Kalamu bali ni Stuxnet.

Hii ni nchi huru ambayo Katiba yake inatambua uhuru wa maoni na pia JF ni Jukwaa huru. Sina haja ya ku comment kukuridhisha wewe kwa kuwa mimi ni independent person siyo bendera fuata upepo.
Sijasema uwe na akili kama zangu, na huko nyuma tulipokuwa tukijadili maswala ya nchi yetu tukitofautiana sikukutaka uwe 'kalamu'; ila sasa ni wazi wewe ni mmoja wa watu hatari, adui mkubwa wa nchi yetu. Kwa watu wa aina hiyo sina mipaka ya kuwananga.
"Hii ni nchi huru"? Uhuru upo wapi wakati mnatupeleka kuwa kama mifugo yenu.
Lugha za kipuuzi za aina hii ndizo mumebaki nazo, mkiziimba kana kwamba mnaimbia watu wasiokuwa na akili za kufikiri.
Katiba ipi mnaiheshimu, iwapo hata kuruhusu waTanzania wapige kura kuwachagua viongozi wanaowataka hamtaki. Halafu unakuja kusema hapa hii ni nchi huru?

Sitaki ukomenti kuniridhisha mimi. Ninapokupinga ni kukuonyesha kuwa huna tofauti na mizoga mingine iliyomo humu. JF.
 
Dah Dunia ina mengi sana, yani vijana wa Chadema wanamtukana kiongozi wao sababu kuwa amemnanga pole pole.
 
Mla mla leo mla jana kala nini? Na ndiyo maana Polepole katanguliza kuomba msamaha hadharani kwa kushiriki kwake mambo ambayo hayafai - katubu na tumemkubalia.

Kwa sasa HOJA mezani ni nani na kwa
nini database 3 zinasomana?? Ya CCM, NEC na NIDA. Na je tushukue hatua gani kabla ya tarehe 20 Oct.

Tuangalie tunachomokaje hapa tulipo na hii ndiyo hoja iliyo mbele yetu.

Lile limwanamke halina akili. Ndo maana kuongozwa na mwanamke ni shida. Huwa yanaropoka tu.

Ukute hapo linaongea hadi matako yamelowana.
Kwa hiyo hata mama yako hana akili sio
 
Kwenye hili, nimekuwa na mashaka ya siku myingi sana ndani ya chama changu cha Chadema

Kama tu chama kinaweza kuwa na viongozi mamluki wa CCM kwa kupewa kitu kidogo kukihujumu chama?

Hata hili la kuhujumiana wao kwa wao kwa kupewa kitu kidogo inawezekana kabisa kwa hao waliokuwa mamluki kutoka ccm

Siamini kilichotokea huku mwiahoni mwishoni kisa tu mtu kapigwa chini uongozini ati anaamua kumyuti utazani hakuwahi kuwa kiongozi wa wa juu kabisa kwenye chama
Na wengine wanahama chama kwa kupewa hongo bila kujali roho za watu waliokufa wakipigania chama

Hawa wahuni wapo kwa maslahi yao na matumbo yao
Pumbavu kabsaa
Ndiyo maana sitaaa nipige kura
 
Sasa huyu ndio anasema kitu ambacho hata Heche aliogopa kusema. Wasemee na lang Ben Saanane.

Pole pole alikuwa sehemu ya kikosi kilichosimamia uhalifu wa Dodoma.

Mapumbavu mengine ya chadema yanashindwa kum-fix yanabaki kushangilia siasa nyepesi
Hapo kabla mlidai ni kazi ya ndani ya chama chake, mkadai amlete dereva wake. Sasa mwasema Polepole alikuwa front squad......
 
Hv Bavicha hamuoni makonda alivyokuwa mpole? Makonda anajua siku polepole akichafukwa anamtaja live na kutoa details zote kama alivyofanya kwa kulitaja li waya la nida na tume ya uchaguzi lilivyoungana na ccm
 
Pole pole ndio muhuni zaid + mnafiki


M njaa Mshamba limbukeni. Kwangu uyu ndio Msukuma
wa kwanza zaifu zaifu sana kumjua.

WASUKUMA ni watu makini sana na wanamisimamo yakueleweka !!!

mfano kama John Mnyika uyu mwamba kweli kweli kawaeshimisha Wasukuma kweli kweli..!!!

Wasukuma wamenyooka sana uyu Polepole kalelewa mjin mjini kawa Msukuma wa mjini jamaa nikama anawaibisha Wasukuma OG.
 
Huko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .

Huu mwaka kwa mara ya kwanza tutashihudia akigoma kwenda kufanya campaign nyie tulieni .

Hivi unadhani akatajwa aliyemuua Mdude na aliyewatuma na ushahidi wote ukawekwa hadharani Sa100 atathubutu kutia mguu Mbeya?

Hivi unadhani akatajwa aliyetoa oda ya kifo cha Mzee Ally Kibao na akaambatanisha na ushahidi usiyo na shaka unadhani campaign Tanga zitafanyika ?

Ngoma bado mbichi sana hii bro
Utajidhalau mwenyewe Kampeni zikianza Unaongelea CCM kijana sio chama cha upinzani!!

CCM ndio imeunda Serikali kwenye mipaka ya nchi hii CCM wapo kila kona unayoijua ww,,

Kampeni zitatembea maeneo yote.. Wadudu wenyewe wa Arusha wanaijua CCM !!!

yani kifupi tukiwa na jambo letu tunautetemesha mji mzima.
 
Polepole kashaomba msamaha Kwa mambo aliyoshiriki bila hta kukusudia akiwa ktk awamu ya Tano.

So hawa matako BAWACHA wanawashwa wapi.. kmAnyoko zao
 
Mbona Hilo kasema muda mrefu.kasema aliyempiga risasi ni msaidizi mkuu wa JPM wa kipindi hicho.Na msaidizi mkuu anajulikana na Kwa Sasa ana nafasi ya juu kabisa
Nani kasema hilo? Polepole? Kama kasema weka ushahidi wa picha sauti hapa
 
Huko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .

Huu mwaka kwa mara ya kwanza tutashihudia akigoma kwenda kufanya campaign nyie tulieni .

Hivi unadhani akatajwa aliyemuua Mdude na aliyewatuma na ushahidi wote ukawekwa hadharani Sa100 atathubutu kutia mguu Mbeya?

Hivi unadhani akatajwa aliyetoa oda ya kifo cha Mzee Ally Kibao na akaambatanisha na ushahidi usiyo na shaka unadhani campaign Tanga zitafanyika ?

Ngoma bado mbichi sana hii bro
Mbeya ipi inaiongelea? Mdude alikuwa maarufu Vwawa wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe. Ni hao CDM wachache wa Mbeya ndiyo wanamtambua kama Kamanda wao. Acha kutoa mikwara mbuzi hapa
 
Back
Top Bottom