Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 7,849
- 8,488
Slow slow yupo makini sana katika kulipua mabomu yake, Upande wa Jiwez hataugusa sana maana huko ndiko alikopewa shavu.
Kila mtu ana boss wake bwana......Bawacha waachane na hayo. Wapambane kiongozi wao awe huru kwanza 😂 😂 😂
Slow amepiga ngumi za chembe kadhaa...