Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,360
- 1,767
Huyo Mama ni wa Njaa55
Inawezekana huyu Mama Ndio Wale Mamluki, Yuko Chadema Lakini Anawatumikia CCM, hivyo kipindi kama ichi kweli Unaweza kuhuliza Swali kama ili Kwa Pole Pole? Yote kutaka ka kufifisha Oja Nzuri za Pole PoleHuyo mama aache ujinga , huenda isije ikatokea tena nafasi kama hii katika historia ya siasa za Tanzania. Hii ndiyo saa ya CHADEMA kujitathmini, kujifunza kutokana na makosa ya zamani, na kuonyesha kwamba ni chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na wananchi.
Huyo mama anachofanya ni kuharibu, inapaswa wamtumie Polepole kufika wanapohitaji, wakishafika hayo ya Lissu yatafahamika tu, ni mambo madogo sana, kuna kesi watu wanahukumiwa baada ya miaka 20 tukio kutokea... tumieni akili sio hisia.. kwa hio wakimjua aliyempiga Lissu risasi leo hii watafanya nini kama dola haipo mikononi mwao?
Siwezi kufikiri kama wewe bali nitafikiri na kutenda kama mimi. Hata kama kabla ya Samia tulikuwa na mawazo sawa siyo lazima na sasa tuendelee hivyo hivyo. We agree to disagree. Hayo ndiyo maisha. No need for name callingTactics za kijinga unazotumia ku'deflect' mijadala inayomhusu Samia sasa imejulikana wazi. Huna tofauti yoyote na hao wengine; akina Tlaatlaah ambao kazi zao zilijulikana mapema. Wewe uliweza kujificha, lakini sasa umejiweka wazi zaidi.
Kwa hiyo huna hoja za kujadili.
Huwa sina tabia za kinafiki, ni lazima nieleze kinachoonekana; hasa kuhusu maswala mazito ya nchi yetu ambayo mmepania kuifanya kuwa jalala la kufanyia uchafu.
Mithali 26: 4 Usibishane na mpumbavu usije kuwa sawa nayeSijasema uwe na akili kama zangu, na huko nyuma tulipokuwa tukijadili maswala ya nchi yetu tukitofautiana sikukutaka uwe 'kalamu'; ila sasa ni wazi wewe ni mmoja wa watu hatari, adui mkubwa wa nchi yetu. Kwa watu wa aina hiyo sina mipaka ya kuwananga.
"Hii ni nchi huru"? Uhuru upo wapi wakati mnatupeleka kuwa kama mifugo yenu.
Lugha za kipuuzi za aina hii ndizo mumebaki nazo, mkiziimba kana kwamba mnaimbia watu wasiokuwa na akili za kufikiri.
Katiba ipi mnaiheshimu, iwapo hata kuruhusu waTanzania wapige kura kuwachagua viongozi wanaowataka hamtaki. Halafu unakuja kusema hapa hii ni nchi huru?
Sitaki ukomenti kuniridhisha mimi. Ninapokupinga ni kukuonyesha kuwa huna tofauti na mizoga mingine iliyomo humu. JF.
Aseme yote tutamsameheMla mla leo mla jana kala nini? Na ndiyo maana Polepole katanguliza kuomba msamaha hadharani kwa kushiriki kwake mambo ambayo hayafai - katubu na tumemkubalia.
Kwa sasa HOJA mezani ni nani na kwa
nini database 3 zinasomana?? Ya CCM, NEC na NIDA. Na je tushukue hatua gani kabla ya tarehe 20 Oct.
Tuangalie tunachomokaje hapa tulipo na hii ndiyo hoja iliyo mbele yetu.
Hilo hata halihiitaji majibu amri ilitoka kwa yule mwehu.
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=6f1Hv6etY7DCoHCm
Habari njema ni kuwa Kabendera alishatueleza kile kikosi cha kumimina risasi chote kiliishia kwa vifo vya asili na wengine walitengenezewa vifo vyao kimkakati.
Kwanza kuomba msamaha manake nini wakati anatakiwa kwenda kunyea ndoo?Ameomba msamaha kwa kuyasema yote mabaya waliofanya?, Hivi ndugu wa akina Ben saa 8, Rwanda na wengineo wanamuelewa?, baada ya kupambania Tanzania kama nchi, anapambania CCM yake iliyojaa uozo miaka dahali...
Hii ni taarifa njema sana kama itatokea kweli..Slow ana objective aliyopewa, hawezi kutoka nje ya hiyo.
Wataalamu wa mambo ya kijeshi wanasema Slow ni ile kitu inaitwa "advance party" au "foward detachment". Ametangulia kuandaa mazingira ya kimedani na kisaikolojia.
Kwamba the "main body" is yet to arrive. Ukifika wakati huo sote tutakuwa kwenye mindset moja juu ya wahuni.
Utajiri wa Mwendazake aliupata wapi?Politically ni poor strategy akirudi sana huko.
Kwa nn?
To effectively destroy Sa100's regime, people must see how she has critically betrayed her predecessor's (JPM) seemingly praiseworthy track record in leadership viz-a-viz cracking down on corruption, uzembe wa watumishi wa umma, plus building once more a unique sense of nationalism.
Who knows maybe wahuni wale wale ndio wanahusika na lile tukio pia.
Time will tell.
Nadhani kwa mtazamo wa Polepole, mzalendo (JPM) is somehow more justified kutenda alichotenda kuliko kiongozi anayeonekana kutenda hivyo kwa maslahi binafsi au ya kundi fulani la wachache.
The end justifies the means?!
kwani magu urais alilazimishwa? mambo yanafanyika ndani ya nci na yeye ni rais eti hajui. kwa msingi huu hakustahili kabisa kuwa rais mana nchi ilikuwa inajiongoza yenyeweAwataje mara ngapi?
Magu alisingiziwa mengi mno.
Alikuwa na utajiri kiasi gani?Utajiri wa Mwendazake aliupata wapi?
sanaaaAwataje mara ngapi?
Magu alisingiziwa mengi mno.
Kamuulize Lisu atakupa majibu y hela alizoficha Nje na zilizokuwa zimerumdikwa kwake.Alikuwa na utajiri kiasi gani?
Naomba tuanzie hapo kwanza mkuu.
Hujajibu swali. Nimekuuliza swali makhususi.Kamuulize Lisu atakupa majibu y hela alizoficha Nje na zilizokuwa zimerumdikwa kwake.
Nakuuliza wewe Sasa umewahi ona picha za kasri lake la kule kwao Chato?
Pengine huko kwenye nchi za kidemokrasia, kwa Africa Rais ana nguvu kubwa sana, hao jamaa wa Pole pole wataendelea kubwata tu huku mitandaoni na yatafifia kama tone la maji ardhini.Huko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .
Huu mwaka kwa mara ya kwanza tutashihudia akigoma kwenda kufanya campaign nyie tulieni .
Hivi unadhani akatajwa aliyemuua Mdude na aliyewatuma na ushahidi wote ukawekwa hadharani Sa100 atathubutu kutia mguu Mbeya?
Hivi unadhani akatajwa aliyetoa oda ya kifo cha Mzee Ally Kibao na akaambatanisha na ushahidi usiyo na shaka unadhani campaign Tanga zitafanyika ?
Ngoma bado mbichi sana hii bro