BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

View attachment 3452694

Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
huyu mwanamke kachemka. Kwani Polepole ni polisi au chombo cha uchunguzi???. Yeye anaeleza anayoyajua na aliyoshuhudia.

Ubinafsi na unafiki uliotopea kwa watanzania hadi anakera. Mtu kaamua kuwaunga mkono tena kapata uungwaji mkubwa wa hoja na wananchi kuliko nyie na kwa kiasi kikubwa anaungana na nyie indirect na kuwapa hoja za kusimama nazo na kuwaeleza watanzania. Nyie mnatoka hadharani kumkejeli. Ni upumbavu uliozidi viwango vya rami. Mnataka asiseme ukweli au mnamfundisha namna ya kusema ukweli??
 
Sasa huyu ndio anasema kitu ambacho hata Heche aliogopa kusema. Wasemee na lang Ben Saanane.

Pole pole alikuwa sehemu ya kikosi kilichosimamia uhalifu wa Dodoma.

Mapumbavu mengine ya chadema yanashindwa kum-fix yanabaki kushangilia siasa nyepesi
 
Hilo janajike hata mimi limeniudhi sana...

Huu sio muda wa kufanya siasa za mabishano na mipasho..

Huu ni muda wa kuungana kwa nguvu moja na kumpiga muovu.. muda wa kulikomboa taifa dhidi ya wahuni ambao ni chanzo cha shida zote tulizonazo kama nchi...
 
Mla mla leo mla jana kala nini? Na ndiyo maana Polepole katanguliza kuomba msamaha hadharani kwa kushiriki kwake mambo ambayo hayafai - katubu na tumemkubalia.

Kwa sasa HOJA mezani ni nani na kwa
nini database 3 zinasomana?? Ya CCM, NEC na NIDA. Na je tushukue hatua gani kabla ya tarehe 20 Oct.

Tuangalie tunachomokaje hapa tulipo na hii ndiyo hoja iliyo mbele yetu.
Badala ya Bavicha kuhoji hilo au kuunga mkono hoja hii na kuipa nguvu zaidi. Wanatoka hadharani kumkejeri Polepole. Ni upumbavu kabisa.

Taifa limejaa watu wabinafsi sana, akili zao zinafikiria Polepole kawazidi ujiko. Ni kweli Polepole yuko vizuri sana ku lay facts na anaongea kitu ukimwangalia unajua kuwa huyu anaongea ukweli anaoujua siyo mambo ya kuambiwa au kusimulia.

Chadema acheni ubinafsi, unganeni na mtu yoyote anayeongelea masilahi ya Taifa siyo ya kisiasa.
 
Sasa huyu ndio anasema kitu ambacho hata Heche aliogopa kusema. Wasemee na lang Ben Saanane.

Pole pole alikuwa sehemu ya kikosi kilichosimamia uhalifu wa Dodoma.

Mapumbavu mengine ya chadema yanashindwa kum-fix yanabaki kushangilia siasa nyepesi
Mnatia huruma hivi sasa...
Siamini kama mnaanza kujipendekeza CHADEMA..
 
Hilo janajike hata mimi limeniudhi sana...

Huu sio muda wa kufanya siasa za mabishano na mipasho..

Huu ni muda wa kuungana kwa nguvu moja na kumpiga muovu.. muda wa kulikomboa taifa dhidi ya wahuni ambao ni chanzo cha shida zote tulizonazo kama nchi...
Sijui liko kwenye siku zake au halijatiwa siku nyingi. Maana mengi ni manungayembe.
 
Huyu mama duu badala kutumia kujua yatakayo jiri wapate ajenda ye kaharibu kabisa
 
Lile limwanamke halina akili. Ndo maana kuongozwa na mwanamke ni shida. Huwa yanaropoka tu.

Ukute hapo linaongea hadi matako yamelowana.
Itakuwa kishanunuliwa. Siyo mzanzibari huyo? Maana wazanzibari wote wanamuunga mkono mzanzibari mwanamke anayeitawala nchi jirani.
 
Huyu naye sijui uliupataje uongozi huko bawacha! Ndio waliomwalika samia kufungua kongamano lao hawa.

Anapwaya sana nikimlinganisha na Mdee.

Waliokuwa wakuu wa polisi na Usalama wa taifa wakati Lissu anapigwa risasi wapo hai. Alielekeze swali lake kwa hao.
 
View attachment 3452694

Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
Ilo ni swali la kujibiwa na Serikali iliyopo madarakani na sio HP ,alipaswa aihoji Serikali maana kiongozi mkuu ni yule yule aliekuwa ni makamu nyakati tukio linatokea na uyo uyo ndie aliye kuwa akimtembelea TAL ktk nyakati tofauti akiwa ni kiongozi wa juu wa Serikali.

NB:HP ni adui alie amua kutupatia yaliyoko upande wa Uaduini ,hivyo hapaswi kubugudhiwa ili kufunika hoja alizoziibua na hazijajibiwa.
 
Slow slow yupo makini sana katika kulipua mabomu yake, Upande wa Jiwez hataugusa sana maana huko ndiko alikopewa shavu.
Na huko ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?

Aliyeanza kuteka na kuua wakosoaji ni Magufuli
 
1. Enzi za Mkapa, alikimbia nchi kwa kutetea wachimbaji wadogo waliofukiwa hai mgodini.

2.....akapigwa risasi.

3. Baada ya kusema kuhusu makaa ya mawe, akapewa kesi ya uhaini

Tukuulize ww Stuxnet ni nani hao?
Ni Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom