BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

Manadhi ndio mtatutoa kwenye reli kwa kututajia habari za Lisu? Kila siku tumekuwa tukisema Magufuli ndio aliagiza Lisu apigwe risasi, na Magufuli alifanya uchafu mwingi sana. Ila huyo Magufuli naye ameuwawa na utawala wa sasa pamoja na genge lake la wanamtandao. Mnadhani tukiamini asemayo Polepole sasa ndio tunamuona Magufuli alikuwa mzuri? Ni kipi kimebadilika sasa chini ya utawala huu ukifananisha na wa Magufuli?
Bashite marehemu Le mutuz ni mojawapo wa wasuka njama na watekelezaji wa shambulio la Lisu
 
Hawezi kutaja kwa kuwa yeye ndiye alikuwa Mkuu wa msafara, na alilipa waliohusika akiwa na SaaMbaya aliyekuwa Mkuu wa wilaya. Pia katika tukio la Ben saanane
 
Chadema ndo maana wanaitwa Nyumbu mkuu wao wabakuambia huyu ndo mkombozi wao.
Yaani ni nyumbu nyumbu kweli kwelikweli. Wana vinongwa visivyo akili na wanaamini hisia zao ndio ukweli. Mtu akiamua kufanya jambo la maana kwa taifa wanampa jingine afanye. Wanajiita wana akili, wao wanafanya nini? Polepole kasema yake, kwa nini wao wasiibuke wakasema yao? Mbons kuna waliowahi kusema Mbowe ndiye alimpiga risasi Lisu, hawakusikia? Wali chukua hatua gani?
 
Kazi ya CHADEMA ni kutakasa wahalifu wakati wenzao wanatakasa fedha
 
Slow ana objective aliyopewa, hawezi kutoka nje ya hiyo.

Wataalamu wa mambo ya kijeshi wanasema Slow ni ile kitu inaitwa "advance party" au "foward detachment". Ametangulia kuandaa mazingira ya kimedani na kisaikolojia.

Kwamba the "main body" is yet to arrive. Ukifika wakati huo sote tutakuwa kwenye mindset moja juu ya wahuni.
Hahahhaha nimependa hii na anaifanyia kazi vizuri kweli
 
Slow ana objective aliyopewa, hawezi kutoka nje ya hiyo.

Wataalamu wa mambo ya kijeshi wanasema Slow ni ile kitu inaitwa "advance party" au "foward detachment". Ametangulia kuandaa mazingira ya kimedani na kisaikolojia.

Kwamba the "main body" is yet to arrive. Ukifika wakati huo sote tutakuwa kwenye mindset moja juu ya wahuni.
Wewe kweli ni Mzalendo Uchwara , huyo uliyemuita "advance party" kanyakuliwa kabla "main body" haja arrive.

Basi sasa waambie "main body" waje wamkomboe
 
Back
Top Bottom