BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

Pole Pole nitaanza kumuamini akitueleza haya.

Nani aliempiga risasi Lissu
Ile 1.5 trillion iliopotea ilienda wapi.
zile bilioni 200 zilizoyayuka baada ya magu kudondoka zilipigwa na akina nani?
ben saanane alipotelea wapi? na alipotezwa na nani?
Mradi wa kununua wapinzani ambao yeye ndio alikuwa msimamizi walitumia shilingi ngapi? na hela walitoa wapi?
 
Na huko ndiyo chanzo cha yote haya tunayoyalalamikia kuhusu Reforms. Na aliyeharibu demokrasia na kutufikisha hapa pa NRNE ni nani? Aliyeharibu Mahakama zetu ni nani? Aliyetisha vyombo vya habari ni nani? Aliyeiba uchaguzi wa 2019 na wa 2020 wote ni nani?

Aliyeanza kuteka na kuua wakosoaji ni Magufuli
Ni kweli,
Ila huyu wa sasa anatekeleza yote hayo kwa bidii kubwa na kufuru kuliko muasisi
 
Huko kote tutafika , Bro huyu jamaa Polepole na wenzake wamejipanga siyo kitoto .

Huu mwaka kwa mara ya kwanza tutashihudia akigoma kwenda kufanya campaign nyie tulieni .

Hivi unadhani akatajwa aliyemuua Mdude na aliyewatuma na ushahidi wote ukawekwa hadharani Sa100 atathubutu kutia mguu Mbeya?

Hivi unadhani akatajwa aliyetoa oda ya kifo cha Mzee Ally Kibao na akaambatanisha na ushahidi usiyo na shaka unadhani campaign Tanga zitafanyika ?

Ngoma bado mbichi sana hii bro
Dah,
Na hayo siyo kwa Mbeya na Tanga pekee, ni mikoa mingi tu ndani ya Bara
 
Siwezi kufikiri kama wewe bali nitafikiri na kutenda kama mimi. Hata kama kabla ya Samia tulikuwa na mawazo sawa siyo lazima na sasa tuendelee hivyo hivyo. We agree to disagree. Hayo ndiyo maisha. No need for name calling
Hakuna anayekulazimisha uwe na mawazo kama yake. Lakini elewa kila unapogusa utulivu wa nchi hii ni lazima ujibiwe.
Mnachofanya sasa hivi, nyote mliopo kwenye nafasi hizi za mizoga ni kulihujumu taifa hili kwa sababu tu za imani yenu. Mnafumbia macho uharibifu kwa vile tu mtu wa imani yenu ni muhusika. Hili halikubaliki.
 
Mithali 26: 4 Usibishane na mpumbavu usije kuwa sawa naye
Hujui chochote katika hizo unazoziita Mithali; ni njia tu za kujifichia uovu wenu.
Tabia yako inajidhihirisha katika unayo yaandika kuonyesha unaposimamia; na hili sina shaka nalo tena.
 
Sijui kama baadhi ya watu wanamuelewa pole pole,jamani pole pole hamtetei lissu wala vyama vya upinzani ,pole pole ana deal na viongozi wake wa vyama,kama alishakua muhuni amebadili mienendo yake amegundua alikua anapotea sasa hawa wanaomtaka afanye matakwa yao naona kama wamekengeuka tu
Angeongea mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye team ya Magufuli inge make sense. Albert Enstein aliwahi kusema "Problems can not be solved by the same mind that created them"
 
Pole Pole nitaanza kumuamini akitueleza haya.

Nani aliempiga risasi Lissu
Ile 1.5 trillion iliopotea ilienda wapi.
zile bilioni 200 zilizoyayuka baada ya magu kudondoka zilipigwa na akina nani?
ben saanane alipotelea wapi? na alipotezwa na nani?
Mradi wa kununua wapinzani ambao yeye ndio alikuwa msimamizi walitumia shilingi ngapi? na hela walitoa wapi?
100%
 
Hakuna anayekulazimisha uwe na mawazo kama yake. Lakini elewa kila unapogusa utulivu wa nchi hii ni lazima ujibiwe.
Mnachofanya sasa hivi, nyote mliopo kwenye nafasi hizi za mizoga ni kulihujumu taifa hili kwa sababu tu za imani yenu. Mnafumbia macho uharibifu kwa vile tu mtu wa imani yenu ni muhusika. Hili halikubaliki.
Unaweza kuta wewe ndiyo mzoga wenyewe ila walio jirani na wewe hawakuambii
 
Unaweza kuta wewe ndiyo mzoga wenyewe ila walio jirani na wewe hawakuambii
Mimi nakupa maana halisi ya hali mliyo nayo mizoga wote mnaotetea maovu ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake. Hili nyote mnalifahamu wazi wazi.
 
Pole Pole nitaanza kumuamini akitueleza haya.

Nani aliempiga risasi Lissu
Ile 1.5 trillion iliopotea ilienda wapi.
zile bilioni 200 zilizoyayuka baada ya magu kudondoka zilipigwa na akina nani?
ben saanane alipotelea wapi? na alipotezwa na nani?
Mradi wa kununua wapinzani ambao yeye ndio alikuwa msimamizi walitumia shilingi ngapi? na hela walitoa wapi?
Hayo hayapo kwenye list ya kazi alizopewa.
 
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"

===

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akimtaka kutoa ukweli kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, badala ya ‘kujifanya’ mtetezi wa haki.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Sharifa amesema anashangazwa na kauli za hivi karibuni za Polepole zinazokosoa chama tawala na kutetea viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kesi inayomkabili Lissu kwa tuhuma za uhaini.

“Ninashangazwa na Humphrey Polepole ambaye mara zote amekuwa akisema ‘tuwakatae wahuni’, leo hii amekuwa akimpenda Tundu Lissu na kujifanya kumtetea. Kama kweli una nia njema na unakiri ulishiriki maamuzi mengi wakati wa Magufuli, basi toka hadharani utuambie nani aliyempiga risasi Lissu,” amesema Sharifa.

Sharifa ameongeza kuwa, Polepole hawezi kudai kuungana na Watanzania wanaopinga dhuluma wakati akiwa sehemu ya waliokuwa wakihujumu CHADEMA kipindi cha nyuma.

“Usitupake mafuta nyuma ya chupa. Tunajua ulishiriki maamuzi makubwa dhidi ya chama chetu. Watanzania wakusamehe? Sawa, lakini kwanza sema ukweli- nani aliyempiga risasi Tundu Lissu. Vinginevyo, tuwapuuze wahuni, tuwakatae wahuni, kwa sababu wahuni bado wako kazini,” amesisitiza.

Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni alijiuzulu nafasi ya Balozi wa Tanzania nchini Malawi na kuvuliwa hadhi ya ubalozi, amekuwa akitoa matamko makali dhidi ya CCM na Serikali, akisisitiza umuhimu wa haki, demokrasia na kutaka kesi ya uhaini dhidi ya Lissu iondolewe.

View: https://www.instagram.com/p/DNzsl3Xaoy9/comments/?hl=en

hawa wachoma vitenge bana dah :pedroP:
 
Chadema hawana akili.Mambo ya kupigwa risasi Lissu wamuulize Makonda. Pole Pole hausiki kabisa.
 
Angeongea mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye team ya Magufuli inge make sense. Albert Enstein aliwahi kusema "Problems can not be solved by the same mind that created them"
Albert Enstein is also a human being he makes mistakes too,
 
Mimi nakupa maana halisi ya hali mliyo nayo mizoga wote mnaotetea maovu ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake. Hili nyote mnalifahamu wazi wazi.
Wewe ni mzoga, period
 
Chadema hawana akili.Mambo ya kupigwa risasi Lissu wamuulize Makonda. Pole Pole hausiki kabisa.
Tunataka alitolee tamko tu kwa kuwa yeye alikuwa ndiye mmoja wa top operative wa team Magufuli pamoja na Makonda
 
Albert Enstein is also a human being he makes mistakes too,
Wewe nenda Mirembe ukapime afya ya akili. Unaijua theory of relativity wewe? Acha dharau za kibwege
 
Back
Top Bottom