Mbona unakuja personal ndugu! Mimi nimeleta tu ujumbe wa BAWACHA. Tujikite hapoHaya ndiyo majibu ya hoja zake; na wewe umekuwa msemaji wa BAWACHA tokea lini.
Mwanzo nilikuchukulia kuwa mtu mwenye akili inayojitegemea kumbe ni kundi lile lile la Genge la Samia; wengi wao nawaita ni "Mizoga" kwa maana maslahi yao yako juu ya maslahi ya taifa hili.
Ipo siku yaja.'Stuxnet' ni mmoja wa "mizoga" muhimu inayotumiwa na Genge la Samia kueneza mifarakano katika jamii ili waendelee kubaki madarakani.
Mwanzo alijificha ficha asijulikane anasimamia wapi hasa, sasa mambo yamaekuwa mazito imelazimu ajitokeze mbele kumpambania Samia na Genge lake.
Huyu hana tofauti yoyote na hao akina Tlaatlaah, Voicevariable na takataka nyingine zilizomo humu JF; kazi yao kubwa ikiwa ni kupindisha na kuchafua mijadala inayo husu ukombozi wa taifa hili.
Damu nzito kuliko maji, utakuwa umenielewa mzee.huyu mwanamke kachemka. Kwani Polepole ni polisi au chombo cha uchunguzi???. Yeye anaeleza anayoyajua na aliyoshuhudia.
Ubinafsi na unafiki uliotopea kwa watanzania hadi anakera. Mtu kaamua kuwaunga mkono tena kapata uungwaji mkubwa wa hoja na wananchi kuliko nyie na kwa kiasi kikubwa anaungana na nyie indirect na kuwapa hoja za kusimama nazo na kuwaeleza watanzania. Nyie mnatoka hadharani kumkejeli. Ni upumbavu uliozidi viwango vya rami. Mnataka asiseme ukweli au mnamfundisha namna ya kusema ukweli??
Hatuwezi wote kuwa na akili kama ya kwako kwa vile mimi siyo Kalamu bali ni Stuxnet.'Stuxnet' ni mmoja wa "mizoga" muhimu inayotumiwa na Genge la Samia kueneza mifarakano katika jamii ili waendelee kubaki madarakani.
Mwanzo alijificha ficha asijulikane anasimamia wapi hasa, sasa mambo yamaekuwa mazito imelazimu ajitokeze mbele kumpambania Samia na Genge lake.
Huyu hana tofauti yoyote na hao akina Tlaatlaah, Voicevariable na takataka nyingine zilizomo humu JF; kazi yao kubwa ikiwa ni kupindisha na kuchafua mijadala inayo husu ukombozi wa taifa hili.
Wananchi wangapi wanamuunga mkono Polepole? Yaani ukihesabu hawa wa Twitter na JF na Instagram sijui Tiktok unaona ndiyo umemaliza Tanzania??huyu mwanamke kachemka. Kwani Polepole ni polisi au chombo cha uchunguzi???. Yeye anaeleza anayoyajua na aliyoshuhudia.
Ubinafsi na unafiki uliotopea kwa watanzania hadi anakera. Mtu kaamua kuwaunga mkono tena kapata uungwaji mkubwa wa hoja na wananchi kuliko nyie na kwa kiasi kikubwa anaungana na nyie indirect na kuwapa hoja za kusimama nazo na kuwaeleza watanzania. Nyie mnatoka hadharani kumkejeli. Ni upumbavu uliozidi viwango vya rami. Mnataka asiseme ukweli au mnamfundisha namna ya kusema ukweli??
Hapo ndipo CHADEMA mnakosea, mnapiga rungu mawazo mbadala. Ana hoja ya nguvu sana. IJIBIWEHilo janajike hata mimi limeniudhi sana...
Huu sio muda wa kufanya siasa za mabishano na mipasho..
Huu ni muda wa kuungana kwa nguvu moja na kumpiga muovu.. muda wa kulikomboa taifa dhidi ya wahuni ambao ni chanzo cha shida zote tulizonazo kama nchi...
Naijua Dunia ,uliza swali lingine mkuuSasa wewe unajuwa nini?
Wapumbavu ni wale wanaomuunga mkono Polepole ambaye alikuwa kwenye top 5 ya Magufuli iliyoharibu demokrasia ya vyama vingi, iliyobana uhuru wa maoni, iliyoleta Bunge kibogoyo etc.Badala ya Bavicha kuhoji hilo au kuunga mkono hoja hii na kuipa nguvu zaidi. Wanatoka hadharani kumkejeri Polepole. Ni upumbavu kabisa.
Taifa limejaa watu wabinafsi sana, akili zao zinafikiria Polepole kawazidi ujiko. Ni kweli Polepole yuko vizuri sana ku lay facts na anaongea kitu ukimwangalia unajua kuwa huyu anaongea ukweli anaoujua siyo mambo ya kuambiwa au kusimulia.
Chadema acheni ubinafsi, unganeni na mtu yoyote anayeongelea masilahi ya Taifa siyo ya kisiasa.
Mdee mliyemuita majina yote kama COVID-19, msaliti etc leo anaonekana ni bora kuliko huyuHuyu naye sijui uliupataje uongozi huko bawacha! Ndio waliomwalika samia kufungua kongamano lao hawa.
Anapwaya sana nikimlinganisha na Mdee.
Waliokuwa wakuu wa polisi na Usalama wa taifa wakati Lissu anapigwa risasi wapo hai. Alielekeze swali lake kwa hao.
Nitajie matano TU aliyosingiziwa kati ya hayo mengi.Awataje mara ngapi?
Magu alisingiziwa mengi mno.
Wenzenu wanatakatisha fedha, nyinyi CHADEMA mnatakatisha wahalifu. Hata Lowassa mliyemuita Fisadi mwaka 2009-15, kwa ghafla alipokuja kwenu mkamsafisha na kumpa nafasi ya kugombea uraisIlo ni swali la kujibiwa na Serikali iliyopo madarakani na sio HP ,alipaswa aihoji Serikali maana kiongozi mkuu ni yule yule aliekuwa ni makamu nyakati tukio linatokea na uyo uyo ndie aliye kuwa akimtembelea TAL ktk nyakati tofauti akiwa ni kiongozi wa juu wa Serikali.
NB:HP ni adui alie amua kutupatia yaliyoko upande wa Uaduini ,hivyo hapaswi kubugudhiwa ili kufunika hoja alizoziibua na hazijajibiwa.
Mdee ni bora mara elfu kuliko huyu.Mdee mliyemuita majina yote kama COVID-19, msaliti etc leo anaonekana ni bora kuliko huyu