Samia Suluhu Hassan si unaye hapo kila siku; hata siku moja hujawahi kumuuliza akufahamishe ilivyokuwa?Tunataka alitolee tamko tu kwa kuwa yeye alikuwa ndiye mmoja wa top operative wa team Magufuli pamoja na Makonda
Acha Polepole atufahamishe anayo yafahamu vizuri yeye.
Huyo mama wa CHADEMA uliye mweka hapo naye ni mtu kutoka huko kwenu kama yule Makamu Mwenyekiti mwenye kesi mahakamani?
Hata aibu hamna kabisa nyinyi watu?