Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi wapuuzi tutawaburuza kwa miaka mingi sana, wakati sisi tunajipanga na vitu vya umuhimu zaidi na vyenye kujenga uchumi wa kweli kama electrified SGR, bridges, hydroelectric power plant, ships, ports etc nyie bado mpo na vitu vidogovidogo vya kipumbavu na vyenye kunufaisha wakenya wachache kama malls.
Usiwaamshe mkuu waache waendelee kulala siku si nyingi watakuja kuuza bidhaa zetu nyingi tuu kwenye hizo malls zao.
 
Kisumu ni bling bling and hatungojei magorofa tujengewe na serikali
View attachment 2919635
Hiyo serikali yenu ubavu wa kujenga itoe wapi??
Serikali yetu ina uchumi tegemezi unaochagizwa na ulipaji kodi wa raia wake kama sisi.
Hivyo ikijenga serikali ni sawa na tumejenga sisi maana serikali inaendeshwa na kodi ama mapato ya raia wake kama sisi.
A question to ask,where are the Kunyans taxes gone and how are they used??
 
🙄🙄
Tumepigwa 🙆🙆,Haya mandege sio salama soon tunaanza kuyakimbia.

Manufacturer walisema myarudishe huko kiwandani hamtaki,Toka 2022 yamekuwa na shida za engine,nani anataka Kufa kizembe?


View: https://www.instagram.com/p/C351oOyrZB6/?igsh=MWo0amJvMjcxZ2w0OQ==

Nawakumbusha tuu 👇👇
1709152066160.png
 
Back
Top Bottom