That's why nasema I doubt your level of education and reasoning capability.
Watu wanaovuka kuja upande wa pili ni wananchi wa hand to mouth na biashara zao nyingi huzifuata ama kuzifanyia ng'ambo.
Kivuko cha kisasa cha kutembeza watu 30+ kilometa?
Sehemu ambayo mzunguko wa kiutaftaji ni mara kwa mara?!
Pindi kivuko kama cha MV.Magogoni kikibeba round ya kwanza kinaacha mamia ya raia ng'ambo wakiwaza na kuwazua kinarudi saa ngapi ili nao wavuke kwenda kufanya shughuli zao za kipato.
Unataka zitandazwe rami kwanza kesha uache wananchi wakitaabika katika suala la kuendea shughuli za kiuchumi???
Unatakiwa urudi darasani aisee.
Pia ondoa ujinga TZ mji pekee uliojengwa kwa mipango miji ni MWANZA labda Dodoma ndio itakuja kuipiku kwasababu ni mji wa kiserikali.
Ila kimipango miji kwasasa HATA DAR HAIJAJENGWA KIMPANGILIO KUIZIDI MWANZA nimefika.