ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mambo ya Samia haya ambayo haters wake Huwa hawataki kuyasikia 😂😂
View: https://youtu.be/_SS1HDFQKzc?si=5QpbnhZ3r5kp5kUq
Wamepita wengi hapo hakuna Cha maana wamwfanya.Hata Mwanza mnaenda kutibiwa na Samia 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C38GTLAiifS/?igsh=MWNtamIyMWI5NzNvcA==
Jengo lishajengwa ww unaongelea jengo ambalo lipo kilichobakia ni kuweka vifaa😂😂 na tena linaoneshwa jengo lenyewe
Jengo la mbeya same limeshajengwa muda mrefu ilibakia ufunguzi 😂😂😂😂😂😂
Hakuna mtanzania mjinga SASA hvi