Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernity
Ni hivi Mama ameweka Nguvu kubwa sana kwenye sekta zinazowagusa wanawake na Watoto.

Kuanzia Zahanati Hadi Hospitals Kuu kama hizo za Kitaifa Kuna vifaa tiba vya kutosha na kazi inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C34oaemqMmQ/?igsh=MWcyZ3o3dDB0cHR6Mg==

View: https://www.instagram.com/p/C3xJ88VLFU6/?igsh=dXJicGlpNGg2ZGQ2
 
Back
Top Bottom