UNA UTINDI WA UBONGO.
Halafu kwa kutaja Ferri umejichimbia kaburi mwenyewe.
PALE FERI KUVUKA ULE UMBALI AMBAO HATA MITA 500 HAZIJAFIKA INACHUKUA NUSU SAA NZIMA MIMI NAVUKAGA.
SASA PIGIA MAHESABU KWA KILOMETA 30 MTAVUKA KWA MASAA MANGAPI??
PIA USIFANANISHE SHUGHULI ZA DAR NA MWANZA,WATU WA KIGAMBONI NA KIVUKONI WENGI WA MAOFISINI NA WAFANYABIASHARA,WENGI WAO UHAKIKA WA MSHAHARA UPO.
Watu wa kigogo Busisi wengi wao asipoenda kujishughulisha MKONO HAUENDI KINYWANI HIYO NDIO MAANA HALISI YA HAND TO MOUTH.
Yani bila kazi ya kila siku mkono hauendi kinywani.
USIKUTE NABISHANA NA WEWE HATA MAANA YA HAND TO MOUTH HUKUITAMBUA.
Narudia tena kama Kigamboni kwenda Kivukoni umbali wa nusu kilometa kivuko hutumia nusu saa je umbali wa kilometa 30+ utatumia masaa mangapi??
We huoni utakua unachelewesha uzalishaji na shughuli za watu za kiuchumi???