Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In short, Dar ni mji Mdogo Sana kama 20km from CBD ndio kumeanza kupata makazi.
KM 6 kutoka CBD unakutana na gigantic slum. The most populated slum in our solar system

1706684575990.png
 
medical tourism Wazambia wanapaswa waje JKCI! tuendelee kujishaua badala ya ku-strengthen our institutions!
Sasa wapi tunajishaua wakati Serikali inazidi kuwekeza sio tuu Kwa vifaa tiba Bali Kwa Wataalamu na miundombinu.

Pili Tanzania tumepindua meza,Kwa Sasa Nchi yetu ndio medical Tourist Centre ya EAC.

View: https://www.instagram.com/p/C17LLe3tmeO/?igsh=ZXZncTg0dGF0ZXFx

Hospital 6 zilihudimai zaidi ya wagonjwa wa Nje 6,000 vs 5,000 wa Kunyaland.
Screenshot_20240131-102033.jpg

Waliokuja kupata tiba miongoni mwao ni Wakunya
 
View attachment 2889461
Waliokuja kupata tiba miongoni mwao ni Wakunya

Mbona kama habari inasema tofauti?
Hapa inasema Kenya inapata watalii wa kimatibabu kutoka maeneo mengine ya Afrika.
Halafu huu uongo.
Hawa tuliowasaidia dawa za TB leo hii wapokee watalii wa kimatibabu!?
 
Sasa wapi tunajishaua wakati Serikali inazidi kuwekeza sio tuu Kwa vifaa tiba Bali Kwa Wataalamu na miundombinu.

Pili Tanzania tumepindua meza,Kwa Sasa Nchi yetu ndio medical Tourist Centre ya EAC.

View: https://www.instagram.com/p/C17LLe3tmeO/?igsh=ZXZncTg0dGF0ZXFx

Hospital 6 zilihudimai zaidi ya wagonjwa wa Nje 6,000 vs 5,000 wa Kunyaland.
View attachment 2889461
Waliokuja kupata tiba miongoni mwao ni Wakunya

sidhani kama tunachofanya ni sahihi wizara ingekuwa na mikakati ya kufungua another JKCI Mbeya kwa ajili ya Wagonjwa wa Zambia na si kupeleka madaktari wetu huko let make use of our advantges to do medical business! Ni upuuzi kupeleka madaktari huko! Thats my humble opinion!
 
Asa mie najiuliza Kenya ekonomiki pawa hausi ov Isti Afrika wako wapi??
Na hii Hospitali kuu ya moyo ingekua kunyaland tusingepumua.
Kwa taarifa Yao tuu
-Muhimbili nyingine inajengwa Kigoma,Kwa Ajili ya DRC,Burundi na Rwanda.

-Udsm inajenga College pekee ya Afya Mbeya na Teaching Hospital Kwa Ajili ya Malawi,Zambia,DRC na Mozambique.

On top of that miundombinu ya MOI na Muhimbili Dar inazidi kuimarishwa
 
Mengine Chamazi inatarajiwa kujengwa.
Najua mwendo wetu wa taratibu ila hawatatukuta hawa.
 
sidhani kama tunachofanya ni sahihi wizara ingekuwa na mikakati ya kufungua another JKCI Mbeya kwa ajili ya Wagonjwa wa Zambia na si kupeleka madaktari wetu huko! Ni upuuzi! Thats my humble opinion!
Serikali Haina haja ya kufungua JKCI Mbeya badala yake Ni kuiwesesha Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya Kwa Utaalamu na vifaa tiba.

Nachofahamu Wizara inaendelea na Ujenzi wa Jengo la Magonjwa ya Moyo Hospital ya Kanda Mbeya Kwa minajili hiyo hiyo unayoisemea.

On top of that Udsm wanajenga College pekee kubwa ya Afya Mbeya plus Teaching Hospital.Kwa Sasa Chuo kipo ila kinatumia majengo ya Dental Clinic pale Rufaa Mbeya but soon wanaanza ujenzi wa Eneo lao Tanganyika Packers Mbalizi Kwa minajiri hiyo hiyo.

Na mwisho Muhimbili wanafungua Chuo Kipya Kigoma kutakuwa ni Chuo na Hospital too just to ads kwenye ujenzi wa hospital ya Kanda ya Magharibi.
 
Back
Top Bottom