President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Which is trueWanaumia watu kuambiwa mlima Kilimanjaro upo Tanzania! 😂😂😂
Which is trueWanaumia watu kuambiwa mlima Kilimanjaro upo Tanzania! 😂😂😂
Nani kakukataza ku post Mount Kenya? 😀 😀 😀Mna utoto na inferiority complex. You people need to grow up. Nafurahi dunia imeanza kuwajua. Kitambo unafiki wenu ulijificha kwa Kiswahili lakini tangu muanze kujikakamua na Kiingereza mmeanza kutambuliwa tu.
Juzi analalamika kwanini tumemjibu yule mshenzi aliyesema mbolea yao feki imetoka Tanzania.Which is true
Mpumbavu kweli!Juzi analalamika kwanini tumemjibu yule mshenzi aliyesema mbolea yao feki imetoka Tanzania.
Leo analalamika kwanini tunasema mlima Kilimanjaro upo Tanzania.
😂😂😂
Kwamba wakifanya ushenzi wanataka tukae kimya!
Inferiority ni yule ana-fake vitu! Use ur energy to advert kichuguu Kenya!Mna utoto na inferiority complex. You people need to grow up. Nafurahi dunia imeanza kuwajua. Kitambo unafiki wenu ulijificha kwa Kiswahili lakini tangu muanze kujikakamua na Kiingereza mmeanza kutambuliwa tu.
Aisee Kenya ni Mavi, yani hili dege la mkoloni wanalitumia mpaka leo?Hata lile lipipa nalo ni kama mtumba tu sababu toka wapewe uhuru na Muingereza wakanyimwa ardhi bado wanalitumia, kama unalifuatilia wakati linatake off huwa linaenda upande
Mkoloni nae alidonate, sasa hatujui yeye alilitumia for how long
View attachment 2976117
Ndio maana mount Meru unajulikana kuliko hiko kichuguu chao.Mpumbavu kweli!
Hakuna cha pole mm huwa nafurahi wakenya wakiwa kwenye matatizo.Poleni majirani
Nani kafake? Mpumbavu ni yule anayependa kulialia bila sababu. Nimekuuliza swali, Kelis ni Mkenya?Inferiority ni yule ana-fake vitu! Use ur energy to advert kichuguu Kenya!
Wanuka mavi wenyewe wanajua kwamba mziki wao ni takataka 😂😂😂 skia hawa jamaa 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C6UfSWeLLCF/?igsh=a2RqMWhyOXNtaTYx.
View: https://x.com/MsigwaGerson/status/1783510138688548889
Kagusia issue ya kutoa running tracks kwenye UHURU STADIUM ambayo nilikuwa naisema watu wakaniona mimi mjuaji, a soccer stadium does not need running tracks hata MKAPA ikiwezekana waitoe tu uwe full soccer stadium runniing trucks zibaki ARUSHA , plus kaongelea kujenga Dodoma stadium
Wacha upuuzi tuna viwanja vingi nchi hii vya CCM na vyote vina running track, ifike mahali tukubaliane kwamba sio lazima kila kiwanja kiwekwe running track, hiyo running track ni kwa ajili ya riadha na sisi watanzania hatuna hobbie na riadha, wacha watoe hayo ma running track kama hupendi jenga uwanja wako weka ma running track, just simple like that.wewe mpumbavu wa wapi ikija michezo mingine kama ya riadha itafanyika wapi sasa?
tumemwambia whose Mt is that! That's confidence!Nani kafake? Mpumbavu ni yule anayependa kulialia bila sababu. Nimekuuliza swali, Kelis ni Mkenya?
Hope keshajua tofauti ya Tanzania na Kenya, hakuna mtalii anarudi Kenya baada ya kufika Tanzania, no wonder tunawazidi tourist receipts tena kwa mbali sana.Ndio maana tunawaambia hizi beef zenu na hasira zimetokana na inferiority complex na utoto. Kelis mwenyewe ashawai kuja Tanzania anajua mlima upo Tanzania. Hapo amesema tu anaupna Kilimanjaro ndio nyinyi Watanzania mmeanza kelele zenu. Ndio maana Kila siku mnasema tunawaibia vitu.😂😂
I bet Max inakuja kwa ajili ya RaisHehe 😂 ngoja na 737 BBJ ije, sijui utasema nini....😂