Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Scholarly articles zimethibitisha hivyo mara nyingi tu wewe ni nani unlearned ubishe watu wenye fani zao?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo jamaa najiuliza hivi hata udadavuzi huwa anafanya?
Maana anavyobisha na kujibu vichekesho.
Na ashaanza kusema kirumi kinaoana na kilatini.
 
your country with a gdp per capita of 900 dollars a year is a real failed state,,,,nyinyi ni burundi iko na kelele tu na big land mass nothing much.
Ninyi ndio Burundi ilochangamka.
Nchi inayojinasibu imeendelea inakuaje na madeni kufika asilimia zote ya GDP yake?
Nchi inayojinasibu imeendelea inakuaje na njaa na kushindwa kudhibiti njaa?
Nchi inayojinasibu kuendelea inakuaje na akiba ya fedha za kigeni isiyomudu hata wiki tatu??
Nchi inayojinasibu kuendelea ruzuku ya mafuta inawashindaje??
Nchi inayoendelea mnapataje uhaba wa dawa muhimu kama za saratani?
Nchi inayojinasibu kuendelea hata DAWA ZA TB ZIMEWASHINDAA!!???
Kenya nchi ya wala rushwa tu.
 
lol....in reality mmeshindia tu Kenya uchawi....poor third world tanganyika...the noisy burundi
 
lol....in reality mmeshindia tu Kenya uchawi....poor third world tanganyika...the noisy burundi
Nijibu hayo maswali.
Usikwepe.
Kwani ni uongo kuwa Ruto alimfuata Mama kizimkazi mwaka jana kuhusu akiba ya fedha ya kigeni?
Kwani ni uongo kama Kenya kuna njaa kila mwaka?
Kwani ni uongo kuwa ruzuku ya mafuta imewashinda?
Kwani ni uongo kuwa madawa muhimu yanawakatikia??
Kuna mahaba ila sasa mahaba yako ya upofu.
Wewe sawa na Ethiopia kujinasibu uchumi mkubwa kumbe kila mwaka vijana zaidi ya 5k wanahama nchi kwa ugumu wa maisha.
 
1607391287.jpg

View: https://www.instagram.com/p/C2jULDrt7h3/?igsh=NGdubTI4djY4cXFt
 
Back
Top Bottom