Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar Port Traffic

1706277256542.png
 
Unajua kitu kinachoitwa possession katika mpira?
Pass accuracy,shooting accuracy ,attempts e.t.c.
Hivyo vyote Tanzania tulifanya kwa ubora kuliko wao na wao ni timu kubwa kwetu.
Possession yetu ikiwa 58%+ katika mechi zote mbili.
If this was true, especially shooting accuracy, hamngetoka na bao Ivory Coast
 
Are you stupid or some thing.
smelting
the extraction of metal from its ore by a process involving heating and melting.
Nyie wakenya elimu ya Physics wapi na wapi.

Ehe tuambie njia ipi mnatumia to extract metal from ore?
Kwamba metal processing ni somo la physics? Alafu unajiona mwerevu sana!😂😂😂
 
The question is, aren’t you ashamed despite all this wealth, you are among the bottom poorest nations on Earth. If this was Kenya,, we would be a first world country by now… Bongo is cursed…🤣🤣🤣
Mbona wewe hushangai kuwa despite having good arable land in Central Kenya yet you are dying of hunger?
 
Unataka tuanze kujadili mambo haya? Sisi tuliyasoma Secondary School. Nyie huwa mnasoma Physics au mnasoma English tu?
Bongolala, wacha kujifanya mjuaji wakati hakuna kitu unajua. Tangu lini metal processing methods ikawa somo la fisikia? Alafu kemia watu watasoma nini?

Hivi, mbona mibongolalala mnapenda ubishi za kijinga hivi?
 
Back
Top Bottom