Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanaendelea kuzunguka kuomba omba sisi tunafanya investment

1706271578235.png
 
NIT - Tanzania ni ya moto sana. Tunataka kuanza kutengeneza aircraft zetu sisi

Aeronautical Engineering​

  1. Aircrafts Maintenance Engineering
  2. Aeronautical Engineering
  3. Airframe
  4. Power Plant
  5. Avionics – Electrical
  6. Avionics – Instrumentation
  7. Avionics – Radio Communication and Navigation
  8. Avionics – Radar
1706273511285.png

1706273570589.png

1706273635180.png
 
NIT - Tanzania ni ya moto sana. Tunataka kuanza kutengeneza aircraft zetu sisi

Aeronautical Engineering​

  1. Aircrafts Maintenance Engineering
  2. Aeronautical Engineering
  3. Airframe
  4. Power Plant
  5. Avionics – Electrical
  6. Avionics – Instrumentation
  7. Avionics – Radio Communication and Navigation
  8. Avionics – Radar
View attachment 2883390

View attachment 2883395

View attachment 2883396
Hawa jamaa nilianza kuwapigia salute baada ya kuanzisha mradi wa kuunda bajaji za umeme kuanzia engine mpaka bodi.
Mwanzo walikua wana assemble asa hivi wanaunda kila kitu.
Na wamesema 2025 wataanza kutizamia EV .
Wenzetu majirani wao wanahangaika na ruzuku ya mafuta wenzao tunatafuta nishati mbadala.
 
The question is, aren’t you ashamed despite all this wealth, you are among the bottom poorest nations on Earth. If this was Kenya,, we would be a first world country by now… Bongo is cursed…🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂.
Leta hiyo list inayosema Tanzania is amongst wolrd's poorest nations.
Kenya hata mngepewa nini msingefika popote zaidi mali zingezidi kukaliwa na kina Mama NGINA.
Nchi ya tribalism,nepotism and extreme intensive corruption haiwezi endelea hata ardhi yote ijae almasi.
Sanasana mtageuzana nyama tu kisa mali.
 
Hawa jamaa nilianza kuwapigia salute baada ya kuanzisha mradi wa kuunda bajaji za umeme kuanzia engine mpaka bodi.
Mwanzo walikua wana assemble asa hivi wanaunda kila kitu.
Na wamesema 2025 wataanza kutizamia EV .
Wenzetu majirani wao wanahangaika na ruzuku ya mafuta wenzao tunatafuta nishati mbadala.
so kwa sasa kwa sasa tunaweza tengeneza bajaji ya umeme from crach mkuu nlikuwa sijaipata hii
 
so kwa sasa kwa sasa tunaweza tengeneza bajaji ya umeme from crach mkuu nlikuwa sijaipata hii

Mwaka jana mwezi wa 12 UTV walionesha kabisa DIT wakiunda bajaji za umeme na watu washaanza kununua.
Betri yake inatembea umbali wa kilometa 140 ndio chaji inakata, na unaichaji kwa umeme wa unit 6 mpk 8 sawa na umeme wa elfu tatu.
Lumumba na mitaa ya Posta washaanza kuzitumia bei yake inazidi laki nane toka bei za bajaji za mafuta.
so kwa sasa kwa sasa tunaweza tengeneza bajaji ya umeme from crach mkuu nlikuwa sijaipata hii
 
Back
Top Bottom