Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie mnaita Mbeya sisi tunaita nyumbani
Mara ya kwanza kufika huko niliishangaa sana. Tena ukienda Tukuyu viwanja vya "mchangani" wanavyocheza mpira watoto, jani lake, stadiums nyingi duniani zinaona aibu. Ndiyo maana niliwashanga waliompinga Magu kudai bwawa litakosa maji, wakati yanapotoka udongo ni tepetepe (Ilibidi nichomekee legacy, usijali)
 
Ndiyo faida ya kuwa na viongozi wazalendo kama Magufuli. Wanaweka vipengele kwenye mikataba kushtaki kampuni za kigeni kwenye mahakama za nchi. Siyo hawa wachumia tumbo wa sasa, wanaotaka tutumie mahakama za kimataifa eti kuwavutia wawekezaji.
wacha kuropoka kama vile unajua sheria za procurement za nchi! hazihusiani na sheria za kimataifa!
 
Back
Top Bottom