Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu mbona kama unapotosha hizo double decker (na si double deck) za kutoka Ujerumani zipo Pugu tayari! Au hukuziona zikishushwa bandarini?
Hakuna niliko potosha.

Ni behewa chache sana zilizofika, upo mzigo mkubwa bado na vichwa vyake huko Germany, Lückemeier Transport & Logistik GmbH.


1705150964174.png


1705150928432.png


Hii Lugha si yetu kaka, hivyo ni tuendelee kujifunmza taratibu bila ukali.

"Tanzania receives the first second-hand German double-deck coaches for SGR"​

THE first six of 30 former DB Regio double-deck coaches exported to Tanzania arrived by ship from the Baltic port of Mukran in Germany in early June." ~ railjournal.com



Na huu ndio Mzigo halisi tulio nunua toka kwa DB Regio kama unavyoonekana pichani ukipiga mzigo kabla ya kununuliwa na TRC.

1705152843595.png


1705152980255.png
 

Attachments

  • 1705152845911.png
    1705152845911.png
    2.2 MB · Views: 22
  • 1705152946051.png
    1705152946051.png
    2.2 MB · Views: 22
instagram_1705157167602.jpg

Wazee kimkakati tupo, kidogo kidogo tunakaa kwa picha.

By the way wachezaji haiwezekani kupenyezewa taarifa kuwa mechi ya Morocco iwe ya kutaka sifa kimataifa, maana Morocco walifika Nusu WC.

So Tz ikaze hamna cha kupoteza ili kuibuka na ushindi ili kesho yake Media zote za mpira ni Tz beats Morocco.

Hamna cha kupoteza hivyo uoga pembeni.
 
Wewe nyang'au kipchirchir Arap Teargas ona miradi hiyo sio hivyo vijibus vyako unavyoturingishia humu kila siku😎😁

View: https://m.youtube.com/watch?v=pBMQYLqPp3c

Watu wanachukulia poa, lakini huu mradi utaleta sifa nyingi mno Africa, na utailipatia heshima kubwa sana bara la Africa kwasababu utakua ndio mradi wa kwanza mkubwa uliofanywa na waafrica wenyewe, mmiliki wa mradi ni muafrica, mkandarasi ni muafrica na sio pesa ya mkopo.
 
Back
Top Bottom