Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pamoja na nyenzo na technology tuliyonayo tunahandle 2 million tons kwa mwezi, hao dp world wanaosemekana wanaingia rasmi march wanatakiwa kuhandle 4 mpaka 5 million tons per month kutokana na sifa zao walizokua wakinadiwa na hapo ndio kitakua kifo cha Mombasa
Actually bado haimake sense kuwapa Dp world kama TPA ime improve efficency , wangefanya kuajri ma Managing director kutoka Nje kama wako more reliable na wanaweza kuongeza efficency, Hela ya ku invest kwenye cranes na vifaa TZ haiwezi kosa,

Actually ipo haja ya kujenga Container terminal mpya angalau berth 3 nimeona wana plan , ya kujenga 300m berth 3 berth 12-15 ,

Na Pia , Bagamoyo port, nimeona wananza kuejnga Berths
 
Hakuna niliko potosha.

Ni behewa chache sana zilizofika, upo mzigo mkubwa bado na vichwa vyake huko Germany, Lückemeier Transport & Logistik GmbH.

View attachment 2870557

View attachment 2870556

Hii Lugha si yetu kaka, hivyo ni tuendelee kujifunmza taratibu bila ukali.

"Tanzania receives the first second-hand German double-deck coaches for SGR"​

THE first six of 30 former DB Regio double-deck coaches exported to Tanzania arrived by ship from the Baltic port of Mukran in Germany in early June." ~ railjournal.com

Na huu ndio Mzigo halisi tulio nunua toka kwa DB Regio kama unavyoonekana pichani ukipiga mzigo kabla ya kununuliwa na TRC.

View attachment 2870576

View attachment 2870583
Kwa taarifa yako neno double decker origin yake si neno la Kiingereza ni neno limeazimwa toka neno la lugha nyingine za Kimagharibi! Ndio maana nimejaribu kukusahihisha! Kule twitter unachapia kinoma halafu inaua hata arguments unazo-push! Sasa usianze kusema lugha imeletwa na meli jaribu kuchunguza maana hata Kiingereza huazima maneno kutoka lugha kama za Kifaransa au Kispanishi au Kireno au Kijerumani!
Anyway the choice is urs baba...

Wanaozitengeneza wenyewe

Una-copy the Citizen mara ngapi wanachapia! Hivi unajua some of those Journalists ni form IV failures?
 
Actually bado haimake sense kuwapa Dp world kama TPA ime improve efficency , wangefanya kuajri ma Managing director kutoka Nje kama wako more reliable na wanaweza kuongeza efficency, Hela ya ku invest kwenye cranes na vifaa TZ haiwezi kosa,

Actually ipo haja ya kujenga Container terminal mpya angalau berth 3 nimeona wana plan , ya kujenga 300m berth 3 berth 12-15 ,

Na Pia , Bagamoyo port, nimeona wananza kuejnga Berths
Ndio maana nikasema wanatakiwa kuhandle 4 mpaka 5 million sababu haiwezekani wa handle 2 au 3 million halafu tugawane faida kwa kazi ambayo hata sisi tunaiweza, sababu walishawaingiza na hatuwezi kuwatoa bila kuumia sisi lazima wafanye mara dufu ya tulipofikia
 
Wapumbavu tu hao wana ready market la vyakula since wanaimport 80% ya chakula, Maana yake wanaweza lima na kupata soko la haraka sana kuliko kwenda kujitesa na kuwa vituko ila sababu ni mivivu imelemaa haina akili ya kujiongeza tofauti na kupigana miti 24/7
Watalima wapi wakat arable lands zote zinamilikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa wanalima chai na kupanda maua 🤣🤣🤣
 
International road in Kunyaland, Kunyaland inapakana na nchi chache sana compared to Tanzania yenye neighbors 8 lakini Kunyaland ina barabara mbovu sana to the borders na majirani zake, Tanzania kuna tarmacked roads kwenye almost roads zote to the border with our neighbors cha kushangaza fake statistics zao zinawadanganya wana long paved roads

View: https://twitter.com/ledamalekina/status/1746046146856792404?t=sLx4fGImUwu3Dp1kZ42agQ&s=19

Haya yana mwisho wake juzi nimeangalia bridges wanazojenga Mombasa yaani ujenzi wao haukosi kasoro!
 
Ndio maana nikasema wanatakiwa kuhandle 4 mpaka 5 million sababu haiwezekani wa handle 2 au 3 million halafu tugawane faida kwa kazi ambayo hata sisi tunaiweza, sababu walishawaingiza na hatuwezi kuwatoa bila kuumia sisi lazima wafanye mara dufu ya tulipofikia
DP World wamepewa hizo berths hapo Dar port si kwasababu hakuna efficiency bali DP ni mdau mkubwa duniani wa usafirishaji mizigo na pia huwa ana tender sehenu mbalimbali duniani za logistics. Mfano DP world kwa ukanda huu ana mizigo toka Congo, Burundi na nchi nyingine inayosafirishwa nje na nilazima watatumia port ambayo wanaiendesha wao na mizigo mingine toka ports zaidi ya 100 wanazoziendesha duniani inawapa economies of scale kuweza ku reroute hata Dar port for transhipment to other regional ports. Issue kubwa hapa ni kuongeza mzigo kwenye port ya Dar na wala sio kuongeza efficiency.
 
International road in Kunyaland, Kunyaland inapakana na nchi chache sana compared to Tanzania yenye neighbors 8 lakini Kunyaland ina barabara mbovu sana to the borders na majirani zake, Tanzania kuna tarmacked roads kwenye almost roads zote to the border with our neighbors cha kushangaza fake statistics zao zinawadanganya wana long paved roads

View: https://twitter.com/ledamalekina/status/1746046146856792404?t=sLx4fGImUwu3Dp1kZ42agQ&s=19

Duh hawa jamaa wanapenda neno International 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom