Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mshindi wa mashindano ya wiki 2 tu kalamba 100M, huko kasikazini mshindi wa mashindano ya Mwaka mzima analala na 20M wachezaji wanagawiwa laki mbili mbili alafu bado tunabishania GDP? View attachment 2870983😂😂😂
Na mshindi wa pili ?👇👇👇
FB_IMG_1705180260965.jpg
 
Wazee wa sevisi ikonomi 😂😂 wanataka kwenda kutoa service kwa vikongwe wa Kijerumani, Kunyaland ni aibu na fedheha ya Africa mababu zao walipinga utumwa lakini wao wanalazimisha umanamba kwa kupiga magoti kabisa 🚮🚮
Juzi kati nilipita airport 1 ya hapo gulf,transit ilikua ya muda mrefu so lounge niliyokaa nikawaona kunyan kibao wanapiga kazi za usafi vyooni na maeneo mengine,nikasema nifanye reasearch ya kuwatafuta,aisee wamejaa pale airport na kazi yao kubwa usafi vyooni cha kusikitisha mshahara wao usd 400!pesa kama ile wanawezaje kuishi abroad na kutuma pesa kwao na maisha yakaenda!?
Kunyan wana dhiki mno!
 
In the last six months with increased efficiency Dar port handled 12m tons. Ikifika June lazima ifike 25m tons.
 
Juzi kati nilipita airport 1 ya hapo gulf,transit ilikua ya muda mrefu so lounge niliyokaa nikawaona kunyan kibao wanapiga kazi za usafi vyooni na maeneo mengine,nikasema nifanye reasearch ya kuwatafuta,aisee wamejaa pale airport na kazi yao kubwa usafi vyooni cha kusikitisha mshahara wao usd 400!pesa kama ile wanawezaje ku8shi abroad na kutuma pesa kwao na maisha yakaenda!?
Kunyan wana dhiki mno!
Hawa jamaa nyumbani kwao wana maisha ya tabu sana hiyo 400 dollars mbona kwao ina maana kubwa sana.
 
Juzi kati nilipita airport 1 ya hapo gulf,transit ilikua ya muda mrefu so lounge niliyokaa nikawaona kunyan kibao wanapiga kazi za usafi vyooni na maeneo mengine,nikasema nifanye reasearch ya kuwatafuta,aisee wamejaa pale airport na kazi yao kubwa usafi vyooni cha kusikitisha mshahara wao usd 400!pesa kama ile wanawezaje ku8shi abroad na kutuma pesa kwao na maisha yakaenda!?
Kunyan wana dhiki mno!
Wapumbavu tu hao wana ready market la vyakula since wanaimport 80% ya chakula, Maana yake wanaweza lima na kupata soko la haraka sana kuliko kwenda kujitesa na kuwa vituko ila sababu ni mivivu imelemaa haina akili ya kujiongeza tofauti na kupigana miti 24/7
 
In the last six months with increased efficiency Dar port handled 12m tons. Ikifika June lazima ifike 25m tons.
Pamoja na nyenzo na technology tuliyonayo tunahandle 2 million tons kwa mwezi, hao dp world wanaosemekana wanaingia rasmi march wanatakiwa kuhandle 4 mpaka 5 million tons per month kutokana na sifa zao walizokua wakinadiwa na hapo ndio kitakua kifo cha Mombasa
 
Back
Top Bottom