Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,843
- 26,529
Utaona wanaanza kusema sisi sote ni ndugu wakati walikuwa wanatuponda eti wao ni wazungu, ha ha ha😎Mambo haya yanawakondesha wakenya.
Utaona wanaanza kusema sisi sote ni ndugu wakati walikuwa wanatuponda eti wao ni wazungu, ha ha ha😎Mambo haya yanawakondesha wakenya.
The most efficient port in East Africa.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1745483872341533159?s=19
Hizo ni brands za Kenya idiot. If you look at this picture, one side is written EMIRATA, that's the name of the body. One the other side it's written MF1246. In the middle the a logo for Master.
MF1246 means
M -Master
F - Fabricator
12 -12 meters in size
46 - It carries 46 passengers.
These are informations you won't find in any other body builder except Master.
Ukiskia a bus body known as Emirata and it was not built by Master or Master didn't give permission for other body builders to copy it then come and argue with me.
chini ya matycoon ya kisomali si ndio
oya Best 007 sisi sio saizi yao kabisa watuacheee
Hii ni Tanga iliyochangamka 🤣🤣🤣Mombasa City
Mwaka huu 2024 ndio kiama chao 🤣🤣🤣Picha la kutishaView attachment 2870132we kima endeleae kupost vigorofa kimoja kimoja tu Teargas. 🤣🤣🤣
Tanga ni kijijiHii ni Tanga iliyochangamka 🤣🤣🤣
Ukilinganisha na lile bichwa ngombe la kaskazini ni mbingu na ardhi 🤣🤣🤣
Tatu city tangu Kibaki 🤣🤣🤣mzee hii battle ishakuzidi nguvu ni Bora ujisalimishe kama wenzako tuu, sisi tunapost East Africa Commercial Center, EACOP, Bullet train, BRT, New Government City, JNHPP, one among the Biggest industrial park in Africa worth more than $3b(Sino Tan) wewe bado unapost picha zile zile za tangu mwanzo wa battle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa kuna mauaji yananukia.
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1745735782453694628?t=ooJw93Ss0LfcSM7tzYmBog&s=19
Second hand m_ku_ndu wako!! First batch zilikia 12 hizo super puma!! Mpya!! Hatununuagi mtumba kama nyie huki!!Actually 2 are second hand Airbus helicopters. The remaining 3 are not airworthy.