Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South of Nairobi CBD

Image
Eti south of Nairobi na CBD yote ndani mbavu zangu mie 🤣🤣🤣🤣
 
Kenya has 1.24 million fixed internet subscribers while Tanzania has only 77,000 fixed internet subscribers. Bongoslum bado watu wengi wanategemea internet bundles za simu.

Image


Source: CAK https://www.ca.go.ke/sites/default/files/2023-12/Sector Statistics Report Q1 FY 2023-2024.pdf

Source: TCRA https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Communication Statistics for Q4 2023_1689602781.pdf
Kwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!
 
Kwenye hili kweli mmetushinda!! TTCL ingechangamkia hii fursa!! Maharage angechamgamka pale. Miundombinu tayari ipo kwa TTCL, na waweke bei RAfiki kama za zuku!!
Wametushind wapi mzee hawa watu ni wazew wakupika data ili waweze kujidanganya ndio maana data zao ukizifatilia over 95% zote zimepikwa, ikiwa wanapika mpaka data za uchumi wao watashindwa kupika data za internet 😅😅😅

Kuna kipindi walileta link hapa kua 60m kenyans wanatumia internet tukawauliza mpaka watoto wachanga wanaozaliwa leo wanatumia internet wakakimbia 😅😅😅😅

Usimuamini mkenya hasa anapoleta data tuulize sisi tuliotembea kila mara kenya tunaijua in out
 
Back
Top Bottom