Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is every Kenyan dream destination, you can see that by the number of their gvt executives crowding our country every year
View attachment 2858445View attachment 2858445

View: https://twitter.com/Stats_Kenya/status/1741051541178507649?s=19

Kenya
Bra bra wakenya tunacook data, lakini kwa ground fixed internet inaendelea kuongezeka mitaani kila sikua. Live scenes.

View attachment 2858454View attachment 2858455
Ila kenya kuna maisha magumu
 
Hizi kelele zote zinakuja baada ya kuona msururu wa meli heading to DAR port, mwanzo ulidai Ooh ni inefficiency ndio mana meli nyingi 🤣🤣🤣🤣 saivi umekuja na mpya kwamba Ooh meli zipo empty. 🤣🤣🤣 Ugulia taratibu usije kufa tu kwa wivu, ukivuliwa nguo chutama, sio lazima ufosi kushinda kila battle. Hizi hapa report kutoka TPA ..kunya sasa👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1fYW_jr-wv/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==.

Meli gani zinaenda Dar?All I can see here are tugboats, pilot boats and those passengers ferries plying Zanzibar to Dar.😅😅😅😂

Dar ships

Screenshot_20231231-131039_1.jpg

Mombasa
Screenshot_20231231-131224_1.jpg
 
Poverty and Tanzania are like twins.
View attachment 2858487
Imagine a poor country in the world is capable of investing around $30 billion in different projects and they are all under way simultaneously. 🤣🤣🤣 While a Rich country can't afford even a project worth $1 billion.. hii ni balaa wakuu.
 
As long as they are loans and donations I don't care. Your annual revenue alone isn't even $15B.
 
Out of 20 arrivals at Dar port 12 are pilot boats, tugboats, army boats and passengers boats with no cargo. The remaining 8 carried small cargos.

View attachment 2858488

Linganisha na Mombasa
View attachment 2858489

Hiyo ni one of the 8 carrying small cargo. Yani ni aibu kujigamba na tugboats😅😅😂
🤣🤣🤣🤣 Are you crazy or something.? 🤣🤣🤣 Haya tueleze meli zinazosubiri huduma DAR port for like 16 days ni zipi mzee according to you.? 😂😂😂 Mana meli zote zinakuja na mzigo mdogo na ni chache.. heb tueleze mzee
 
Ni the remaining 8 ships with cargo. Ni nini ngumu hapo kuelewa.
 
Back
Top Bottom