Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Remember Kenya hatujaoshindwa kulipa deni hadi tukasemehewa kama Tanzania.
Mbona unanileza vitu haviekeweki, nimekwambia always anakopeshwa anaekopesheka (anaeweza kulipa) and vise versa is true) .. nyie ni maskini na ndio maana hamkopeshwi kwasababu hamuna uwezo wa kulipa. 👇🤣🤣
 
Nyinyi ndio hamna uwezo and that's why your planes are confiscated left, right and center.
 
Sikujua kuna comedy humu kutoka kwa wakenya na wanaifanya wakiwa serious, unaambiwa wao wanaingiza mzigo tu Mombasa port.

Unaambiwa RWANDA, BURUNDI, DRC, ZIMBABWE, ZAMBIA, MALAWI, UGANDA wanatumia Dar Port kuleta Tug boats na Meli empty na Meli zinapanga foleni zikiwa empty na Tug Boats.

Na unaambiwa hizo Tug boats na Meli empty zikiona foleni kubwa zinaenda Mombasa mara paap zinageuka kuwa Cargo na si Tug boats wala Empty ship 😂😂😂😂😂

Teargas huree, 😂😂😂😂
 
I deal with facts.

Screenshot_20231231-131039_1.jpg
 
Alafu unaambiwa meli empty as if wao hawana empty zinazokuja, alafu wanakuja kukaza mishipa eti exports ipo juu yetu.

What if kuna mizigo zinatata 🤔

Jana tu kulikua na mzigo wa malori wa Copper kutoka DRC walizinguana na TANROADS.

Na hii wakishindwa tunaambiwa Shanghai haipangi foleni, as if Mombasa iko level moja na Shanghai.

Wapi Shanghai ilikosa meli wiki nzima?
 
Umeona empty ships hapa? Umeona tugboats hapa? Umeona pilot boats hapa?

Look at the size of cargo they are carrying.
Screenshot_20231231-131224_1.jpg
 
Back
Top Bottom