Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnajizima data eeh, mnadhani sisi mafala? Sawa wapelekee media zenu hizo data, zilizosema Mombasa benefits from Dar Port ship congestion.

Si umeziita zetu Empty na Tug boats
Yeah, congestion from tugboats and pilot boats.
 
I only know of one country that can't pay her debts, and that country is Tanzania.

Screenshot_20231231-152231_1.jpg
Screenshot_20231231-152231_2.jpg
 
Sikujua kuna comedy humu kutoka kwa wakenya na wanaifanya wakiwa serious, unaambiwa wao wanaingiza mzigo tu Mombasa port.

Unaambiwa RWANDA, BURUNDI, DRC, ZIMBABWE, ZAMBIA, MALAWI, UGANDA wanatumia Dar Port kuleta Tug boats na Meli empty na Meli zinapanga foleni zikiwa empty na Tug Boats.

Na unaambiwa hizo Tug boats na Meli empty zikiona foleni kubwa zinaenda Mombasa mara paap zinageuka kuwa Cargo na si Tug boats wala Empty ship 😂😂😂😂😂

Teargas huree, 😂😂😂😂
Wapimwe akili
 
Mbona unanileza vitu haviekeweki, nimekwambia always anakopeshwa anaekopesheka (anaeweza kulipa) and vise versa is true) .. nyie ni maskini na ndio maana hamkopeshwi kwasababu hamuna uwezo wa kulipa. 👇🤣🤣
Embu kwanza watupe Fitch and Moody rating yao ndio tujue wanakopesheka au hapana.
 
🤣🤣🤣🤣 Are you crazy or something.? 🤣🤣🤣 Haya tueleze meli zinazosubiri huduma DAR port for like 16 days ni zipi mzee according to you.? 😂😂😂 Mana meli zote zinakuja na mzigo mdogo na ni chache.. heb tueleze mzee
Hawa nyang'au akina Teargas hata uwapige makwenzi vipi bado wanajifanya hawasikii; lakini watasikia tu😎😎
 
Screenshot_20231231-144126_WhatsAppBusiness.jpg
Screenshot_20231231-143349_Chrome.jpg

Kunyan zingatia na tarehe kwa picha zote 2,baada ya hapo uingie ndani kwenye kibanda chako cha mabati hapo kibera ukalie vizuri,TZ this time atucheki na kima na hata hii jam bado kabisa,hatutaki nchi yoyote ya central corridor inapitisha hata kiberiti kimoja kwenye bandari ya kunyaland na soon sgr ikifika mwanza tu uganda nayo tunaibeba 100% port mwanza to port bell
 
Back
Top Bottom