Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi nye nye nye tuna GDP kubwa 😁😁
Short story about kenya 2023
Uongo wa wakenya duniani 👇👇👇👇
20230310_064838.jpg






Mambo kwa ground sasa 🤣🤣🤣
20230310_064841.jpg
 
Ni matokeo ya yale waliokua wakidanganya dunia kua wana GDP kubwa ili kuonekana kwa watu kumbe ndani ya pazia wana hali mbaya sana

Nitakupa mfano mmoja mdogo tu
Kq inaendesha hasara ya mabillion ya pesa over 10 yrs na hasara ile inatokana zaidi na leasing aircrafts cha ajabu ni kwamba pamoja wanaendesha hasara still inabidi watafute pesa za mkopo kulipa madeni ya kq ya leasing deals kwa takriban zaidi ya miaka 10 sasa hebu chukua hesabu ya haraka haraka kua watakua wamekopa pesa ngapi kulipa madeni yasioweza kurudisha pesa za mkopo ambayo itabidi tena watumie pesa za maendeleo kulipa madeni au wachukue tena loan from peter to pay juma 🤣🤣
economics za jikoni hehe! umeona kenya ikianguka wapi? nyinyi fuata sarakasi tu za politics mkidhani kenya inaanguka lakini baada ya mwaka tutatona matokeo
 
Dar is slum ndio utatuambia ni nini", hiki sio Kiswahili Sanifi, ulipaswa kusema, "Utatuambia nini". Sio " Utatuambia ni nini"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndio maana wala sijamjibu. Mombasa imejaa maghorofa kama yake yaliyoanguka Turkey na Syria earthquake. Magorofa below standard yanayipatikana sana kule Yemen na nchi kama hizo.
 
Back
Top Bottom